Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Nimetoka sokoni kumnunulia mahanjam ili arekebishe lunch....
Sasa nilipofika nimemkuta hana raha kabisa huyu katoto ka Gen-Z....
Nilipo muuliza kipenzi, nini mbaya...??
Akaniambia eti amepata ujauzito....
Mimi nikashangaa sana na kumuuliza, mbona sikuzote tunatumia kinga...??
Akanijibu eti.... kwani nimesema nimimba yako...??
Wakuu, hapa nimeamua nije huku kilabuno soko la zamani karibu na wanapo uza supu ya pua, sikio na matiti ya ng'ombe.
Haka ndio kale kamenisevu eti "mubaba wangu"