Haka katoto katakuja kuniua, nimeishiwa pawa aiseeee....

Haka katoto katakuja kuniua, nimeishiwa pawa aiseeee....

Nimetoka sokoni kumnunulia mahanjam ili arekebishe lunch....
Sasa nilipofika nimemkuta hana raha kabisa huyu katoto ka Gen-Z....
Nilipo muuliza kipenzi, nini mbaya...??
Akaniambia eti amepata ujauzito....
Mimi nikashangaa sana na kumuuliza, mbona sikuzote tunatumia kinga...??
Akanijibu eti.... kwani nimesema nimimba yako...??

Wakuu, hapa nimeamua nije huku kilabuno soko la zamani karibu na wanapo uza supu ya pua, sikio na matiti ya ng'ombe.

Haka ndio kale kamenisevu eti "mubaba wangu"
hahahhahaahhaah hiyo kali kaka
 
Haka ndio kale juzi tulienda nako sokoni kununua mahanjam, ghafla kakaanza kumsifia na kumpa maujiko mkata nyama.... wakati mimi mtoa hela nimesahaulika kabisa...😮‍💨
Hapo kimbia Mkuu 😅

Naona dalili akikupea yote ili ukate moto aondoke na pension yako 🤭
 
Nasikia kwenye kuosha marudio kuna wizi mkubwa hufanywa dhidi ya mwenye marudio je ni kweli na huwa wizi unafanyikaje?
Usipowekewa carbon wakati wa kwenda kupima kiwango cha dhahabu, basi utapigwa kwenye kuchoma, miwani zinakuwa chache wewe unakosa, gesi ikiwashwa utaondoa uso bila kupenda, wajumbe wanamimina pembeni mbele ya macho yako.
 
KUNA HAWA WA 2009,10, 11. motoo.
men suala la kuoa bikra tusahau, ilanda iwe na bahati.
 

Attachments

  • Screenshot_20261015_133448_Gallery.jpg
    Screenshot_20261015_133448_Gallery.jpg
    111.3 KB · Views: 5
Nimetoka sokoni kumnunulia mahanjam ili arekebishe lunch....
Sasa nilipofika nimemkuta hana raha kabisa huyu katoto ka Gen-Z....
Nilipo muuliza kipenzi, nini mbaya...??
Akaniambia eti amepata ujauzito....
Mimi nikashangaa sana na kumuuliza, mbona sikuzote tunatumia kinga...??
Akanijibu eti.... kwani nimesema nimimba yako...??

Wakuu, hapa nimeamua nije huku kilabuno soko la zamani karibu na wanapo uza supu ya pua, sikio na matiti ya ng'ombe.

Haka ndio kale kamenisevu eti "mubaba wangu"
Nifanyeje ili nisiwe naona hizi upumbavu zako? Kila siku huwa unaandika kama vile hufikirii hivi, au kuna mtu amekuibia account yako?
 
Nifanyeje ili nisiwe naona hizi upumbavu zako? Kila siku huwa unaandika kama vile hufikirii hivi, au kuna mtu amekuibia account yako?
Hata mudi wanajua mimi ni mpumbavu mkuu....😜
We endelea kukerwa tu, maana hakuna namna....🤣
Wengine humu tunaandi kama tumekatwa shingo...😂
 
Back
Top Bottom