kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
kondom nani alikua anaenda kutupa yoteyanawezekana anazichota anaziweka
Lea tu!!Ushauri wako mkuu....😮💨
Kahama.Ndio wapi huko mkuu nije chap...😮💨
Kuwa makini na vitoto vya elfu 2, hawachelewi kukuua Mkuu 😅Ushauri wako nimeuchukua mkuu, hapa hata pombe haipiti kwenye koromeo kabisa walau nisahau hili pigo...😮💨
Mwendakulima mkuu.Isaka ama Kagongwa??
Mara mia hao mashangaziUshauri wa maana kabisa huu, ngoja nitafute lijishangazi hapa ndani
Ushauri wako umenifanya moyo uende mbio hadi unataka kutoka kwenye mfuko wa shati allooo....😪Gen Z wako ana miaka mingap mzee?! unajua wenye miaka 29 ni gen z pia,sio usimuite gen z kumdogosha ,una ishi na malaya bas tu itoshe kusema ivyo.
Haka ndio kale juzi tulienda nako sokoni kununua mahanjam, ghafla kakaanza kumsifia na kumpa maujiko mkata nyama.... wakati mimi mtoa hela nimesahaulika kabisa...😮💨Mara mia hao mashangazi
Akikupandisha kisukari katikati ya safari, anawahi kukupa dawa
Hivyo vibinti ndiyo kwanza vitakuwa vinarekodi TikTok live ukikata moto 😅
Bora tumezeeka sasa 🤗
Hujawaona wale juzi wanatuonyesha style za nyege kwenye video au std 7 wale?Kwani kidato cha nne wamemaliza mitihani?
Nasikia kwenye kuosha marudio kuna wizi mkubwa hufanywa dhidi ya mwenye marudio je ni kweli na huwa wizi unafanyikaje?Njooo huku mwime tuoshe marudio acha ujinga
Acha tu mkuu. Hawa watatuua, dawa ya presha tuwe nayo Kila wakati.Hivi vitoto jau sana mkuu....View attachment 3699532