Nimegundua Hawa Gym Trainners Wana Kazi Ngumu Sana Wakuu😅

LiFe 2-point-0

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2024
Posts
5,012
Reaction score
13,830
Wakuu habari gani.
Nisiwapotezee muda wenu, niingie tu straight kwenye kilichonifanya nifungue huu uzi.

Kwa namna moja au nyingine huu uzi ni kama mfululizo tu wa matukio kutoka katika mkasa niliousimulia juzi katika uzi huu

Nasema ni kama mfululizo wa matukio kwakua hili nalolileta mbele yenu leo pia linanitokea katika enviroment setup kama hilo tukio la mwanzo hapo juu.
Ni masuala ya clients tu.

Iko hivi, ni kama miezi kadhaa toka nije pembezoni kabisa katika mojawapo ya wilaya za mkoa huu nilipo. Nipo kwa project maalumu ya kipindi flani na mpaka sasa nimemaliza miezi kadhaa.
Katika maisha yangu ya karibuni 2 years sasa toka nirudi mkoa, niliamua kuchagua solitude life, yani ile alone alone huku ukifanya harakati zako na hasa kwakua niliamua kuwekeza maisha yangu kuishi pembezoni mwa miji. Sipendelei sana siku hizi kukaa mijini sana.

Katika kipindi chote cha miaka hii miwili, company yangu kubwa mbali na kazi imekua ni Gym. Yan nimekua mpenz sana wa kufanya weight workouts. Kwa kuanzia kabla sijazama pembezoni mwa mji huku nilikua natumia Gym centres za kulipia huko mijini. Na nilipoamua kuingia mashambani nikatengeneza zile za concrete na mara moja moja nazama town kutumia za Kisasa zile Gym za kulipia.

Baada ya kuja kwenye project nyingine huku wilaya nyingine ya mkoani hapa ,ambapo ni ndani ndani zaidi ya nilipokua, moja ya kitu nilipata shida sana ni kukosa mahala pa kufanya mazoezi so nikawa aidha natumia muda mwingi kwenye majukumu kwakua sina cha kufanya nikirudi gheto (mahala nilipo panga). Na ikitokea nimewahi kurudi basi naweza lala hata saa 1 jioni mpaka kesho.

Nikaona hii hali hapana, basi katika akiba zangu nikaamua kutumia muda kutengeneza Gym equipments za chuma nzuri za kisasa.
Nikatengeneza:

Dumbbell
Bench press
Pull-up station na
Cable station

file_00000000e824820eb400b6995b26d5de.png

Nikaziweka ndani kwangu. Kwakua nilipopanga ni master bedrom yenye sitting room ya kawaida sio kubwa kivile na mimi huko si mwenyeji wala sitegemei eti wageni ghetoni, nikaamua sitting rum kuifanya ndio Gym place na space nyingine nikapa arrange kama jiko kwaajili ya kuandaa chakula.

Nyakati zote nilipokua naingiza hivi vifaa ndani hakujawahi tokea mpangaji mwingine akaona kwakua ni nadra sana kuwepo mchana.
So nikaendelea na maisha yangu kama kawaida. Saa 10 alfajiri daily naingia Gym mpaka saa 11 asubuh najiandaa kwenda kwenye majukumu yalionileta. Jioni saa 10 nikirudi nakamua tena saa 11 mpaka 12 jioni.
Muda wote huo, asubuhi na jioni nakua na company ya muziki tu.

Sasa hapo napokaa kuna jirani, mpangaji mwenzagu ambaye ni client mahala ninapofanya shughuli zangu huku. NI sister mdogo kiumri kwangu ana 32 years, ni mzuri ,si haba. Shape anayo na nyama nyama za kutosha tu. Basi kwakua ni jirani na ndio mwenyeji wangu hapa hivyo namba yake ninayo kwakua ndio kama msimamizi wa nyumba hapa. Japo hatujawa na mazoea kivileee zaidi ya kusalimiana tu asubuh na jioni tukibahatika kuonana. Kuna wakat mnaweza kaa wikend nzima mpo hapo hapo home lakini ngumu sana kuonana kila mmoja ndani kwake na ishu zake. Utafahamu tu kama yupo kwakua utasikia sauti ya muziki ndani au taa zinawaka.

Sasa mimi ni kawaida tu toka zamani ,kuna time na share clips zangu za tizi kwa whatsapp. Na huyu jirani sio viewer sana wa watsap status . Ni nadraa sanaaa kuona ame view status yako. Yeye ku post ndio kabisa sijawahi ona.

Basi, siku moja,juzi juzi tu hapa nika post status sitting rum yangu section ya Gym, na equipment zake.
Wadau wangu wengi katika ku chat chat kuhusu status,wakawa wanahis ni gym centres tu maana huwa naenda tofauti tofauti nikiwa mjini na huwa na post so kwao haikua big deal.

Ila kwa huyu jirani yangu ikawa tofauti. Yeye alifahamu kuwa pale ni ndani kwangu na kwa mara ya kwanza mteja huyu ambaye pia ni neighbour aka "like" status yangu.
Hakuishia hapo, akani text kuwa, "nilishawahi kuwa nafanya mazoezi zamani ila toka nije huku niliacha na naona naanza kunenepa sana, natamani nianze upya tena"

Mimi: "karibu jirani, umekua ukifanya mazoezi yapi hapo zamani?"

Yeye: Nilikua naruka zaidi kamba na mazoezi ya tumbo

Mimi: na sasa una lenga nini zaidi ukitaka kuanza zoezi, maana kuna mazoezi ya kupunguza uzito, ku controll uzito, kutengeneza shape, n.k

Yeye: natamani ya kupunguza mwili/mafuta na kupunguza uzito na ku maintain tu shape

(hii ku tengeneza shape aliiongea kisiasa kidogo hakua straight)

Mimi: sawa, basi nitakuandalia program kwa kuanzia, unadhani utakua tayari kuanzia lini?

Yeye: nitakua tayar hata kesho, wewe tu unapopata nafasi, maana kwa kutumia hvyo vifaa mimi siwezi na sijawahi kwahiyo nitaomba uwe unani TRAIN.

(😅😅😅😅😅😅😅😅😅)

Mimi: sawa haina shida , tufanye keshokutwa tuanze.

Basi bwana nikaweka mazingira fresh ndani kwangu. Siku ikafika, maana tunarud kazini mida haitofautiani sana.

Nikasikia "hodiiiiiii"
Nikafungua mlango.

MDada wa watu kapiga tight ndefu ya mpira imebana fresh,yani mapaja yoote yamejichora vizurii 😅.

Kapiga top tight ya mikono mirefu halafu akapandishia na tshirt kubwa kubwa nyepesi inayoangaza na juu kala kapelo yake.
Nikasema "enheeeeee, hapa sasa kazi imeanza." kimoyo moyo hiyo.

Mimi: karibu Rey, ingia.
Yeye: ahsante.

Nikamkaribisha akakaa kwenye bench, mimi nilikua nimevaa trucksuit. Nikampiga shule pale ya vifaa na misuli.
Kila kifaa kazi yake na target muscles zinazohusika kwa kila kifaa katika tizi atakazokuwa anapiga.

(Nje ya mada kidogo: binafsi nilitokea kuwa mdau sana wa workout za weights na kwa muda ambao nimekua nao, nimekua sio tu nanyanyua weights ila nimekua napata pia muda wa kusoma muscles physiology kupitia AI apps, kwaajili yangu tu binafsi, so niko knowledgable kimtindo hasa kwakua nina interests sana na hiz vitu,sikujua kama siku itatakea nitakua namfundisha mtu)

So badala ya kuanza tu kumpigisha tizi, nikampa kwanza shule kisha tukaanza na exercise nyepes kuu introduce mwili wake tena back to exercises.

Bwana bwana wakuu. Sasa kuna aina ya mazoezi mengine kama squarts, mapozi yake kwa zinavyofanyika inakua ni mikao ya hatari hatari. Japo nashkuru sana Mungu na hata mimi nilijishangaa sana maana i was very serious katika teaching. So sikua naona aibu, kumsisitiza katika baadhi ya pozi kuji position sawa sawa , na kuna muda nikaja kugundua kumbe sio makusudi ila ina lazimu ili kumfanya a align inavyotakiwa unajikuta unalazimika kumshika baadhi ya maeneo mwilini mfano mikono huku juu au mabega kuyapindisha vizuri. Japo nilikua na avoid sana kumgusa maeneo kama kiunoni ,au miguuni juu(mapaja) huko nikawa naacha tu hata kama haikai sawa.

Basi bwana, program kwa siku kadhaa imekua ni serious tu, japo nikiri wazi, kwakua mimi mi mwanaume na nina afya njema ,kuna mida najikuta kabisaa, mazingira yangu yanachachamaa balaaaaaaa mpaka trucksuit inatuna kidogo, basi nazuga kuingia chumbani dakika moja kisha narudi.
Ikumbukwe Gym iko seblen, so chumbani ni just a second away.

Nimepata tabu sana na naendelea kupata tabu.

Ila sasa baada ya siku hizi kadhaa nimeona anaendelea vizuri kwahiyo nimemkabidhi funguo ya ndani kwangu ili yeye anapowahi kurudi aingie tu aendelee na zoezi, mimi siku hizi najichelewesha kidogo kurudi home.

Mpaka nafika naweza kuta yeye ana wind up kumaliza so hatukai sana pamoja ndani tunaagana ,anaondoka ndio nami naanza program zangu za jioni

Kwahiyo wakuu wangu, mwenzenu siku hizi nimejikuta naikwaa kazi ya u trainner 😂 ,na sitashangaa kuona wengine wanaongezeka.
Gym nilioitengeneza for my personal use, imeshapata extra member.

Ila nilichojifunza , hawa ma trainer kimsingi acha tu wawale wake zenu na ma girlfriend zenu wanapowafundisha maana sio kwa kupenda, ni mazingira yanawa force. Kwa hili kwa sasa nimekua upande wao kuwatetea, hapo kabla nilijuaga wanafanya makusudi.

Mwisho.
Samahani kama nimewakwaza 😂
 
View attachment 3689964

😂😂😂 Mkuu, nimecheka lakini kuna somo kubwa hapa!

Umeingia kwenye biashara ya gym bila kutangaza, na mteja wa kwanza amekuja mwenyewe. Sasa sijui kama utakuwa unahesabu marudio ya squats au utakuwa unahesabu muda wa kumaliza session. 😂😂

Ila mkuu, kuwa makini na mipaka ya kitaaluma, maana ukichanganya mazoezi na hisia unaweza kujikuta project ya gym imegeuka project nyingine kabisa. 🤣🤝

Hongera kwa vifaa ulivyojitengenezea na kwa kuwa tayari kumsaidia jirani yako. Sasa hapo ndipo utaelewa kwa nini trainer anatakiwa kuwa na nidhamu kubwa kuliko uzito anaounyanyua.

Ila swali moja tu mkuu: huyo jirani amekuja kupunguza mafuta, au kuna kitu kingine anataka kuki-maintain? 😂😂😂
 
Hmku

Na nyie na wale madogo mabeach boy mjifunze kuheshimu mashemeji zenu kuna siku litawakuta jambo.
 
Kabisa mkuu ,hata sikua na nia kusema eri iwe biashara hapana. Ila hata mi nimeanza kuona kumbe unaweza kuwa business nikikaa kwa kutulia nikaamua kuiingia
Ila mkuu, kuwa makini na mipaka ya kitaaluma, maana ukichanganya mazoezi na hisia unaweza kujikuta project ya gym imegeuka project nyingine kabisa. 🤣🤝
Kabisaa mkuu, najitahidi sana, ukizingatia huyu ni mteja katika eneo lingune la maisha hivyo napaswa kuwa makini sana
Hongera kwa vifaa ulivyojitengenezea na kwa kuwa tayari kumsaidia jirani yako. Sasa hapo ndipo utaelewa kwa nini trainer anatakiwa kuwa na nidhamu kubwa kuliko uzito anaounyanyua.
Uko sahihi kabisa. Hapa discipline ikikosekana tu, mengine yote yanageuka kutokua na maana kabisaa
Ila swali moja tu mkuu: huyo jirani amekuja kupunguza mafuta, au kuna kitu kingine anataka kuki-maintain? 😂😂😂
Ahahahahah. Naamini ni suala la mazoezi tu kaka. Si vinginevyo
 
Hmku

Na nyie na wale madogo mabeach boy mjifunze kuheshimu mashemeji zenu kuna siku litawakuta jambo.
Heshima muhim sana mkuu ila nimejaribu kuelewa sasa kwanini wengime huwa wanakosa adabu. Inawezekana sio kwa kupenda
 
Kama hutojali mkuu share hata picha ya vifaa ulivyotengeneza. Mimi nimetengeneza vya kwangu ila bado sijamaliza napambana nitengeneze zile plates zenye weight ya walau kilo 5 na kilo kumi. Pamoja na dumbbell ya kilo 12.
 
Brandon Moreno said..
"Maybe not today, maybe not tomorrow and maybe not the next month..... But one day🤣🤣
#Mantra for patience and perseverance..
 
Back
Top Bottom