LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
- #41
Ahahahah..kwakua sijamla wala sina mpango wa kufanya hivyo eti???Ngoja ulaumiwe 😆😫
Ahahahah..kwakua sijamla wala sina mpango wa kufanya hivyo eti???Ngoja ulaumiwe 😆😫
Nawajua Wabongo 💯Unapozungumzia wabongo mtu anaweza fikiri unawajua wabongo wote kumbe hata robo ya bongo hujazunguka ukutane na wabongo wenyewe sasa achana na hawa wa mtandaoni ambao hata 10% hawafiki
Ivi izo vifaa si huwa vinanuniliwa au vinatengenezwa vipi kwa matumizi ya nyumbaniKama hutojali mkuu share hata picha ya vifaa ulivyotengeneza. Mimi nimetengeneza vya kwangu ila bado sijamaliza napambana nitengeneze zile plates zenye weight ya walau kilo 5 na kilo kumi. Pamoja na dumbbell ya kilo 12.
Ni muhimu sana kwa afya ya mambo mengi.Kumbe watu mpo serious hivi kwenye mazoezi
Eeeh bruhAhahahah..kwakua sijamla wala sina mpango wa kufanya hivyo eti???
Mkuu wangu wala usijali, kwenye hilo kwakwel sitakuangusha ahaahahah. Yani nirudi kule tena? Aah hell no man, no more kabisaaMzee wangu usije kuleta Uzi Tu hapa client wako anataka umuoe alafu yatokee kama ya yule mwanamke aliomba talaka Kwa tamaa zake.
Asee mwenetu umepona na umevuka yasijirudi yale mambo mana ulikuwa kama umedata.
Ahahaaahah. Uzuri nawaeleza ukweli sasa wakinilaumu watakua wananioneaEeeh bruh
Sana mkuu. Yani badala ya mtu kuhangaika na kujibana bana ku controll diet, ni bora sana ajikite kwenye zoezi. Sema sasa hii nayo ni interest ndio mana si kila mtu anawezaNi muhimu sana kwa afya ya mambo mengi.
Ni kweli vinanunuliwa lakini vya kununua ni gharama sana . Ma kutengeneza ni very affordable kwakua material zake ni zinapatikana madukani kawaida kabisa. Ila tu ukiwa mzoefu wa kutumia sana hizi vifaa unaweza kumuelekeza fundi welding (kama ana akili nyepesi) namna ya kutengeneza hatua kwa hatua na hicho ndio nilifanya mimi.Ivi izo vifaa si huwa vinanuniliwa au vinatengenezwa vipi kwa matumizi ya nyumbani
Ahahaha. Hamna bwana. Ni maisha ya binadamu wa kawaida tu. Not neccessarily wabongoNawajua Wabongo 💯
Wabongo wamezidi sasa, LolAhahaha. Hamna bwana. Ni maisha ya binadamu wa kawaida tu. Not neccessarily wabongo
Wengine hatupendi libeneke, ni wadau wa myakayaWabongo wamezidi sasa, Lol
Na Komoni? Ngati ugana Muni myakaya na libeneke uliganili, maana kwe kuchilabu ndio kwene kwa kutangatilana na vadala vene.Wengine hatupendi libeneke, ni wadau wa myakaya
Nguruwe washa kua kua ututumie kitimoto 😆Ahahaaahah. Uzuri nawaeleza ukweli sasa wakinilaumu watakua wananionea
Myakaya tunanywea kwa Mzee Bob pale Bombambili Maputo huku tunacheza Bao na DraftNa Komoni? Ngati ugana Muni myakaya na libeneke uliganili, maana kwe kuchilabu ndio kwene kwa kutangatilana na vadala vene.
😂😂😂
Kwabwina, ngati myakaya mnywela kwa mzee Bob penapo.Myakaya tunanywea kwa Mzee Bob pale Bombambili Maputo huku tunacheza Bao na Draft
Okay poaNitumie namba yako pm mkuu nahitaji hivyo vifaa