LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
- Thread starter
- #81
setup ya mazingira gheto gym ipo namna hii
Southern Highland chakii Elison Ndalichako Mwizukulu mgikuru Humble be darubin ya mbao
eeh braza zingatia hayo amini utanipa mrejeshoYeahh i hear those stories ila sasa ndio nimeingia kwa game ya hii breed nijionee mwenyewe maana maneno na uhalisia kidogo sio muda wot vina correlate
Pamoja..eeh braza zingatia hayo amini utanipa mrejesho
good luckyPamoja..
Salute Sana mkali.Mkuu wangu wala usijali, kwenye hilo kwakwel sitakuangusha ahaahahah. Yani nirudi kule tena? Aah hell no man, no more kabisaa
Hii imekaa safi sana mkali šView attachment 3690606
setup ya mazingira gheto gym ipo namna hii
Southern Highland chakii Elison Ndalichako Mwizukulu mgikuru Humble be darubin ya mbao
THanks man. So hapa kimsingi pananifanya nikirudi home nisitoke kabisaaHii imekaa safi sana mkali š
Nitajitahidi kwenye hiloSalute Sana mkali.
Ukishika kiuno tu amekwisha