Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Huku na huku, nikajikuta namingo na toto moja bambataa....
Nikaanza kuilia mongo, siku nakutana nayo kwenye maongezi ikawa namna hii....
Yeye: Yaani kila nikikuona ukitabasamu, hua natamani nikukaribishe nyumbani kwangu ili nikufanyie kitu.
Mimi: Waaawuuu...🤗 nikamuuliza kwani upo singo??
Yeye: Hapana, mimi ni daktari wa meno.
Wakuu, huyu mwanamke amenidharau sana naomba mnishauri nimfanyeje..😒