naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Huyu mlimbwende amenidharau sana wakuu, naombeni ushauri

    Huku na huku, nikajikuta namingo na toto moja bambataa.... Nikaanza kuilia mongo, siku nakutana nayo kwenye maongezi ikawa namna hii.... Yeye: Yaani kila nikikuona ukitabasamu, hua natamani nikukaribishe nyumbani kwangu ili nikufanyie kitu. Mimi: Waaawuuu...🤗 nikamuuliza kwani upo singo...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wana jamii naombeni ushauri nifungue wapi duka la hardware

    Jaman naombeni ushauri nataka kufungua duka la hardware dar ila sio kariakoo je nifungue sehemu gani ntaweza kupata mzunguko mzuri.au kama Kuna wilaya yoyote tofauti na dar hata mikoani huko ipo vizuri nishaurini nipo tayari kwenda kokote kule ila kuwe na mzunguko mzuri tu
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Naombeni chimbo la matunda Dar

    Hii ya kuuziwa matunda bei za vyakula haija kaa poa kwangu. Naombeni machimbo ya sehemu wanapo jumua matunda kwa Dar. Atleast niwe naenda kuchukua ya week nzima kabisa kwa bei poa. Napenda kwa sababu napenda juice iwe kwa friji, na matunda kwa ujumla Naya penda sana So wanabodi wa Dar...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wadau, naombeni mawazo yenu! Maana nahisi kuvurugwa...

    Mimi ni mwanaume wa miaka 39. Nimeoa na nina watoto kadhaa. Nje ya ajira, pia ni mjasiliamali. Kutokanna na kutingwa na majukumu ya kikazi, ilibidi nipate usaidizi wa uangalizi wa miradi kando ili kuhakikisha mambo yanaenda kwa kuwa kazi hizo baadhi ziliingiliana na miradi ya taasisi binafsi na...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kwenye hizo bilioni 730 za ElNino mimi naombeni bilioni 30 tu

    Wakuu kuna kipengele hapa natakiwa kupata bilioni kadhaa chap. Sasa kwakuwa mvua za El Nino ni kama zimekaidi, naomba Samia aniwekee bilioni 30 kwenye account yangu ili nivuke hiki kikwazo. Bilioni 700 zitakazobaki mtaamua kama taifa mzifanyie nini mimi msinijumuishe huko kabisa. Kama kuweka...
  6. Mtoto wa Jadu

    JamiiForums Tanzania PSRS naombeni msaada wa ufafanuzi kwenye hili tafadhali

    Kwanza hongereni kwa kufanya kazi yenu vizuri sana! Kwa kweli kwa kipindi hiki, kwa style hiyo ya interview imeondoa kubebanabebana!! 1. Kwa uzoefu wangu ni kwamba, huwezi kupata cheti cha NIDA bila kuwa na cheti cha kuzaliwa. Sasa mimi nikiwa nina cheti cha NIDA alafu cha kuzaliwa sina, iwaje...
  7. Mboju

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine...
  8. sepema

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye jambo langu na Bima ya afya

    Salaam wakuu. Nilifunga ndoa ya kanisani mwaka 2022,baadae nikawa na migogoro na mke wangu jambo liliopelekea kutengana. Bila kuvunja ndoa nikapata mwanamke mwingne nikazaa nae mtoto mwaka2023 na nikafunga nae ndoa ya serikali mwaka 2024. Wakati wa kusajili ndoa kwa mkuu wa wilaya niliulizwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini wakuu naombeni msaada

    Wakuu Nina Hali naipitia maeneo ya kazini .Yani maeneo yote nliyofanya kazi Hali hii hunikuta. 1.Nachukiwa bila sababu kazini 2.hata kama Sina pesa hata mia watu hufikilia Nina pesa Yani hata Mtu akisema nimkope nikasema Sina basi huzani nimemnyima 3. Watu huzani labda nipandikizi la usalama...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hodi! Naombeni mbinu ya kujizuia kumwaga mshindo!

    Nifanyeje niweze kujikontrol na kumalizia kwa dakika ninazotaka Mimi?!!! Msaada tafadhali🙏🙏
  11. sepema

    JamiiForums Tanzania Naombeni utaratibu wa kuanzisha Gulio/soko

    Nawasalimu nyote. Nipo Kwa majumu ya kikazi katika kata flani ambayo ina wakazi wengi na imechangamka kwa kiasi cha kuridhisha. Changamoto nikwamba kata hii haina gulio au soko ambalo wakazi wahapa wanaweza kupata bidhaa ndogo ndogo ambazo kwa kawaida hupatikana magulioni. Ili kupata...
  12. Mzee Wa Kaliua

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mikeka naombeni odds Tano tu Leo tafadhali

    Wazee wa mikeka naombeni odds Tano tu Leo niweke 1 mil maisha yasogee..kampuni iwe sportbet
  13. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Wakuu niko na binti ambae nimemtia ujauzito na nilikuwa nina mipango ya kumuoa shida ya yule binti sio mtu anaependa sana ukaribu namimi na mara zote anakuwa mkali kwangu kifupi ni kama anipend sababu hata akija home hata kama unaumwa awez kukufanyia usafi wa ndani. Nikawa najiuliza shida ya...
  14. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nimegombana na mchumba wangu, naombeni ushauri

    Aliniuliza, niaina gani ya harusi natamani tufanye? Nikamjibu...... wageni wetu wote watahudhuria kupitia zoom na kisha tukimaliza watapata chakula majumbani kwao. Hapa nimenuniwa na amesha kusana vyake kwenye begi na lipo mlangoni. Ushauri wenu wakuu, maana sina mwingine wa kunishauri.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnitakie heri ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu

    Mungu amenipa zawadi ya kuingia miaka 29 Juzi tu nilikua mtoto, leo nimekua mtu mzima. Sasa najiona nimekua mkubwa. Naombeni uzoefu wa 30s nianze kuzoea.
  16. masai dada

    JamiiForums Tanzania naombeni duka linalouza iphone og

    plz msiwataje hawa bei zao ni kubwa sana
  17. ibrahim143

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi wakuu

    Wakuu mliopo Dar kijani wenu hapa nilikuwa naomb mwenye connection yoyote ya kazi ya kibarua anisaidie 🙏🙏
  18. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania) niwe na kiasi hicho Cha Pesa. Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana. Thanks in advance
  19. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Wakuu mliofanikiwa naombeni mnipe darasa

    Mimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana niweze kula vizuri, nisiwe na mawazo ya bill mbalimbali, nijenge bungalow lenye floor mbili na gari...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu

    Jana Rasmi Nimeachana na Mpenzi wangu, huyu Binti Tulipendana sana Wakati tupo Chuo, Mimi nikiwa Mwaka wa Pili, yeye wa kwanza, Sote Tumesoma Diploma. Mimi ni introvert hivyo huwa napenda sana kutafakari Sana Mambo, Hivyo Jana Nikaona Nimuulize ikitokea sote Tukapata AJIRA Serikalini Mahusiano...
Back
Top Bottom