Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Mboju

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
283
Reaction score
727
Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu

Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine ni life ndo lilimpeleka puta hivo

Wanajamii kama jamii naombeni msaada wenu wa kutoka Dar kwenda bukoba to kyerwa mimi hata ukiona kuwa wenda nataka kukutapelini we nikatie tiketi online tu usinipe cash nitumie meseji ya tiketi tu niende utakuwa ni msaada ambao sitousahau katika maisha yangu mpaka nakufa, najua hatulingani vipato ndo maana naomba msaada tafadhalini ningeuza hii android yangu ila ni ya mkopo hakuna wa kumuuzia kila unayempa anasema siku hizi simu za mkopo zinapatikana hata kwa 20k tafadhalini naombeni msaada wenu sio kwamba tunapenda kuomba ama kudhalilishwa ni maisha tu hayako upande wetu na.si kwamba hatupambani tunapambani ila maisha yametugeuzia mgongo

Kama utaguswa kwa chochote ulicho nacho tigopesa 0703644801 au kama utakata tiketi nayo ni vizuri zaidi Allah awalipe wale wote wasio choka kutusaidia nimeattach screenshot ya malipo ya simu kuwa ni ya mkopo

Mazishi ni kesho bado hajazikwa kusema nimeshindwa ni kuwa sina uhakika wa kufika huko kwasababu sina nauli
 
Attachments

  • IMG-20261012-WA0019.jpg
    IMG-20261012-WA0019.jpg
    50.1 KB · Views: 44

Pole mkuu unafanya shughuli gani? Mama mbona amezikwa ghafla?
Huna ndugu wa karibu hapo dar?
 
Pia bado hajazikwa
Muhimu kashazikwa , maziko ni muhimu kwa binadamu ili kuondoa kero ,haijalishi anazikwa vipi , ila Pole sana kwa kumkosa mama yako mkuu, ndivyo maisha yalivyo.

Hata si siku moja tutakufa tu.
Mkuu bado hajazikwa mazishi ni kesho kama unavyojua vijijini wanathamini sana ndugu na watoto wakubwa kuwepo
 
Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu

Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine ni life ndo lilimpeleka puta hivo

Wanajamii kama jamii naombeni msaada wenu wa kutoka Dar kwenda bukoba to kyerwa mimi hata ukiona kuwa wenda nataka kukutapelini we nikatie tiketi online tu usinipe cash nitumie meseji ya tiketi tu niende utakuwa ni msaada ambao sitousahau katika maisha yangu mpaka nakufa, najua hatulingani vipato ndo maana naomba msaada tafadhalini ningeuza hii android yangu ila ni ya mkopo hakuna wa kumuuzia kila unayempa anasema siku hizi simu za mkopo zinapatikana hata kwa 20k tafadhalini naombeni msaada wenu sio kwamba tunapenda kuomba ama kudhalilishwa ni maisha tu hayako upande wetu na.si kwamba hatupambani tunapambani ila maisha yametugeuzia mgongo

Kama utaguswa kwa chochote ulicho nacho tigopesa 0703644801 au kama utakata tiketi nayo ni vizuri zaidi Allah awalipe wale wote wasio choka kutusaidia nimeattach screenshot ya malipo ya simu kuwa ni ya mkopo

Mazishi ni kesho bado hajazikwa kusema nimeshindwa ni kuwa sina uhakika wa kufika huko kwasababu sina nauli
Uza simu uwende msiban,
 
Natamani nikusaidie ili Watanzania waongo waongo Wamekuwa wengi sana 😭😭😭
Kwenye haya mambo ukiamua kusaidia fanya hivyo kwa moyo mweupe na uchukulie msaada wako kama sadaka unatoa. Msaada wa aina hii usio na mawaa huwa tunasema ni sawa na kumkopesha Mungu. Hata kama mtu atakuwa ni tapeli basi atakwenda huko kushughulika na Mungu wake lakini wewe utakuwa haumo. Ukiwa na mtazamo huu wa sadaka kamwe hutakaa utapeliwe!

Hitimisho: Kama kweli unataka kumsaidia huyu jamaa (Hata kama ni mjanja) wewe msaidie tu kama sadaka na yeye atakwenda huko kujuana na Mungu wake. Ila kama moyo unasita basi acha kaa na hela yako!
 
Back
Top Bottom