Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,610
- 13,270
Kama humuamini tulia mkuu... Watu wanatuma sadaka bila kuomba ushahidi.Pole sana Mkuu.
Kyerwa ni Mbali kweli kweli.
kuna aboud zinafika hadi Umurashaka. Alaf hapo ndio utafute utaratibu wa kufika Kyerwa.
Kama anazikwa kesho hauwezi kuwahi kaka.
alafu nadhan tafuta 200k.
Atleast
Option naona ni 2:-
Je ww hauna vitu vya gharama uweke bond?. Ukiacha simu.
Huna kitanda, godoro? TV,
Yaan nn kingine una miliki?.
Option ya pili.
Watu wakiwiwa watoe hata elfu 2 au zaid au pungufu. Kwa jinsi wanavyowiwa.
Uweke mkeka hapa.
Shida naona ni moja.
Hebu toa ushahidi mwingne kuonyesha kuwa umefiwa kweli.
Nina maanisha screenshot hata chats mnazochat kwenye group lenu la familia kuonyesha mipango yenu ya mazish nk nk. au chat za ww na ndugu zako.
Na ziwe za muda uliopita.
Au wewe umeguswa kuliko sisi wote humu?