Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu

Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine ni life ndo lilimpeleka puta hivo

Wanajamii kama jamii naombeni msaada wenu wa kutoka Dar kwenda bukoba to kyerwa mimi hata ukiona kuwa wenda nataka kukutapelini we nikatie tiketi online tu usinipe cash nitumie meseji ya tiketi tu niende utakuwa ni msaada ambao sitousahau katika maisha yangu mpaka nakufa, najua hatulingani vipato ndo maana naomba msaada tafadhalini ningeuza hii android yangu ila ni ya mkopo hakuna wa kumuuzia kila unayempa anasema siku hizi simu za mkopo zinapatikana hata kwa 20k tafadhalini naombeni msaada wenu sio kwamba tunapenda kuomba ama kudhalilishwa ni maisha tu hayako upande wetu na.si kwamba hatupambani tunapambani ila maisha yametugeuzia mgongo

Kama utaguswa kwa chochote ulicho nacho tigopesa 0703644801 au kama utakata tiketi nayo ni vizuri zaidi Allah awalipe wale wote wasio choka kutusaidia nimeattach screenshot ya malipo ya simu kuwa ni ya mkopo

Mazishi ni kesho bado hajazikwa kusema nimeshindwa ni kuwa sina uhakika wa kufika huko kwasababu sina nauli
Ntatuma chochote nikifika road. Pole sana mkuu
 
Kaka naomba nikwambie kitu kimoja hili jukwaa halina msaada mkubwa kabisa kwenye issue za pesa yani ukipata changamoto ya fedha hapa pakimbie

Nenda X, Facebook au instagram haipiti two hours kwisha

Humu ni makapuku tumejaa walipwa kwa mwezi hatuna lolote lile
 
Sawa mkuu pole, mwenyewe ninatokea katika familia ya kuungaunga...lakini ninauhakika nikifiwa majirani hawatanitupa...
Mboju

Unaona huyu ni platinum member unajua what it takes kuwa platinum member?

Moja huyu ni lazima ana umri mkubwa yani ana zaidi ya miaka 35 panga pangua anasema haya maneno

Hili jukwaa la kimasikini kimbia bro kimbiaaa humu njoo furahisha genge, beza watu, jikweze, tukana wabagaze

Msaada upo instagram, X na Facebook tu
 
JF imefikia huku kwa kua na omba omba, twafa. From Great thinkers hadi kufikiw a na ma omba omba. Nimeamini dunia duara.
Wewe huna akili kichwani, alipoomba dili humu nani alimsaidia?

Kama wewe huna shida mshukuru Mungu haya maisha hayana kiapo ni kama gwaride tu, ikipigwa nyuma geuka mwenyewe utaimba Yesu ni bwana.

Screenshot_20261012_180951.jpg
 
Back
Top Bottom