GemMaster II
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 3,599
- 11,307
Huyu jamaa ishu yake ipo dipu aiseee.
Pole sana boss......
Pole sana boss......
Well Said Tonny Kapola Gas StationKwenye haya mambo ukiamua kusaidia fanya hivyo kwa moyo mweupe na uchukulie msaada wako kama sadaka unatoa. Msaada wa aina hii usio na mawaa huwa tunasema ni sawa na kumkopesha Mungu. Hata kama mtu atakuwa ni tapeli basi atakwenda huko kushughulika na Mungu wake lakini wewe utakuwa haumo. Ukiwa na mtazamo huu wa sadaka kamwe hutakaa utapeliwe!
Hitimisho: Kama kweli unataka kumsaidia huyu jamaa (Hata kama ni mjanja) wewe msaidie tu kama sadaka na yeye atakwenda huko kujuana na Mungu wake. Ila kama moyo unasita basi acha usijaribu maana hutapata mibaraka yo yote! 🙏🏿
Wewe msaidie si katoa option ya kumkatia tickets onlineNatamani nikusaidie ili Watanzania waongo waongo Wamekuwa wengi sana 😭😭😭
Kama ni kesho sidhani kama utawahi mazishi labda utoke muda huu kwa magari ya kuunga ambayo nayo ni ngumu.Pia bado hajazikwa
Mkuu bado hajazikwa mazishi ni kesho kama unavyojua vijijini wanathamini sana ndugu na watoto wakubwa kuwepo
Unakusudia tickets ya gari? Utawahi kuzika?? Ni kiasi gani bro?Mkuu usinipe cash kata tiketi na hakikisha kama nimepanda kweli au nimefika wape maelekezo madereva
Nimecheka sana mkuu kuona hii picha 😂 😆
Ni ngumu kwa yeye kuomba ya ndege... Labda mtoa sadaka awiweUnakusudia tickets ya gari? Utawahi kuzika?? Ni kiasi gani bro?
Nitakutumia 50,000 nimategemeo yangu wengine pia watakusaidia,miaka mitatu iliopita nilifiwa na babayangu mkumbuke kwenye duwa brother.Laki na 20 kufika bukoba afu toka bukoba kwenda kyerwa elfu 30 mkuu🙏🏻🙏🏻
Ushauri mzuri,Kama ni kesho sidhani kama utawahi mazishi labda utoke muda huu kwa magari ya kuunga ambayo nayo ni ngumu.
Najua unavyojihisi kukutwa na msiba na hauna pesa, Ilinitokea pia lakini marafiki walinisave chap (faida ya kusaidia watu). Ni hali ngumu sana
Kwa hiyo nakuelewa ila nachokushauri ujitahidi kutulia wakati ukitafuta alternatives. Akitokea wa kukupa ticket chap alhamdulillah ila ukikosa, subiri ya kufunga mwezi au kumaliza msiba maana mtoto mkubwa kufika msibani na hauna kitu. Dharau utakayoipata Itakuumiza mara mbili zaidi mkuu
Nitakutumia 50,000 nimategemeo yangu wengine pia watakusaidia,miaka mitatu iliopita nilifiwa na babayangu mkumbuke kwenye duwa brother.
Shukrani kaka Na Allah atie baraka pale utakapo toa pia baba Allah ampe pumziko la Amani🙏🏻🙏🏻🙏🏻Nitakutumia 50,000 nimategemeo yangu wengine pia watakusaidia,miaka mitatu iliopita nilifiwa na babayangu mkumbuke kwenye duwa brother.
Namba weka na niambie ya mtandao gani. Jina lako sio lazima.Shukrani kaka Na Allah atie baraka pale utakapo toa pia baba Allah ampe pumziko la Amani🙏🏻🙏🏻🙏🏻
JAmani tumsaidie mwenzetu kwa chochote kitu, hata ukiwa na buku Mungu atakubarikiHabarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu
Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine ni life ndo lilimpeleka puta hivo
Wanajamii kama jamii naombeni msaada wenu wa kutoka Dar kwenda bukoba to kyerwa mimi hata ukiona kuwa wenda nataka kukutapelini we nikatie tiketi online tu usinipe cash nitumie meseji ya tiketi tu niende utakuwa ni msaada ambao sitousahau katika maisha yangu mpaka nakufa, najua hatulingani vipato ndo maana naomba msaada tafadhalini ningeuza hii android yangu ila ni ya mkopo hakuna wa kumuuzia kila unayempa anasema siku hizi simu za mkopo zinapatikana hata kwa 20k tafadhalini naombeni msaada wenu sio kwamba tunapenda kuomba ama kudhalilishwa ni maisha tu hayako upande wetu na.si kwamba hatupambani tunapambani ila maisha yametugeuzia mgongo
Kama utaguswa kwa chochote ulicho nacho tigopesa 0703644801 au kama utakata tiketi nayo ni vizuri zaidi Allah awalipe wale wote wasio choka kutusaidia nimeattach screenshot ya malipo ya simu kuwa ni ya mkopo
Mazishi ni kesho bado hajazikwa kusema nimeshindwa ni kuwa sina uhakika wa kufika huko kwasababu sina nauli