Mimi ni mwanaume wa miaka 39. Nimeoa na nina watoto kadhaa.
Nje ya ajira, pia ni mjasiliamali. Kutokanna na kutingwa na majukumu ya kikazi, ilibidi nipate usaidizi wa uangalizi wa miradi kando ili kuhakikisha mambo yanaenda kwa kuwa kazi hizo baadhi ziliingiliana na miradi ya taasisi binafsi na za kiserikali..
Ilinilazimu kumchukua kaka yangu mkubwa kwa ajili ya kusimamia zoezi hilo ili aweze kujikimu yeye na familia yake..nilimuhamisha yeye na familia yake ili waje nilipo.
Tumefanya kazi takribani miaka 3 bila shida ,miradi ipo mingi pesa ipo mambo yanaenda vyema na familia yake inastaawi vyema ..lakini isivyo bahati mambo hayawezi kuwa mteremko kila siku baadhi ya miradi ilisizi kipato kikapungua zile pesa za usimamizi zikawa si nyingi kama zamani niliyumba kwa upande huo
Baada ya muda naanza kuona uzito wa utendaji kazi wake ..hata nikimuagiza kazi hafanyi kwa ukamilifu hayuko commited tena ,mzito ukimuita hafiki kwa wakati ..
Nikaanza yafutayo:
1. Nilibadili usafiri niliokuwa natumia awali so inawezekana hakupenda au alitaka nimtendee hivyo hivyo kama nilivyojitendea mimi
2. Nilianza kuwekeza kwa kununua mali zisizohamishika na kuwekeza kwenye real estate
3. Nilianza kupanua biashara nyingine zaidi
Na yote hayo nilikuwa nikimshirikisha hatua kwa hatua ili asijiskie vibaya kuona namtenga ndugu yangu na kiukweli alikuwa msaada mkubwa kwangu nahisi aliona hafaidiki kwa upande wake..nilijitahidi kumfanyia yafuatayo..
Kumtafutia uwanja, japo alinyanyua boma, nikamsaidia renta na kupaua ili akae pazuri na familia yake.
Iwe shida yoyote kwenye familia yake ikitokea auamwe yeye mtoto au mkewe nachukua jukumu la kuwatibia kugharamia matibabu ..mahitaji mengine ya kifamilia nikienda bush lazima nigawe kwenda kwake na kwangu pia pia nimechukua jukumu la kumsomesha wanae wawili private ada nalipa mimi
Kilichonileta kwenu wadau naomba ushauri ..kwa sasa imekuwa mvuruganao takribani yapata miezi mi4 hatuko sawa natupiwa lawama simjali nimemleta mjini kumnyanyasa ..ametumia nguvu akili na muda kufanya kazi lakini naonekana sijali bidii zake..ni kama sijafanya chochote kwao..kweli ndugu lawama