mawazo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wadau, naombeni mawazo yenu! Maana nahisi kuvurugwa...

    Mimi ni mwanaume wa miaka 39. Nimeoa na nina watoto kadhaa. Nje ya ajira, pia ni mjasiliamali. Kutokanna na kutingwa na majukumu ya kikazi, ilibidi nipate usaidizi wa uangalizi wa miradi kando ili kuhakikisha mambo yanaenda kwa kuwa kazi hizo baadhi ziliingiliana na miradi ya taasisi binafsi na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kufikiri kuwa mtuhumiwa ahukumiwe ili wewe utoe msamaha ukidhani itakuongezea umaraafu ni mawazo potofu

    Unashauriwa kwamba mwache huyu mtu ahukumiwe, kisha wewe utangaze umempa msamaha dhidi ya hukumu yake, ukidhani kuwa inakupa ujiko nchini na kimataifa ni kufikiri kuliko potoka sana. Suluhisho hapo ni kuacha ionekane hana hatia, hata kama kwa namna fulani itakudhalilisha.
  3. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya me na ke wapumbavu

    Mawazo ya mwanaume mpumbavu anafikiri kila mwanamke mzuri anafaa kuwa mke na mawazo ya ke mpumbavu anafikiri kila mwanaume tajiri anafaa kuwa mume
  4. E

    JamiiForums Tanzania NYERERE alianzisha TANU na baadae CCM kuepuka ukabila na utanganyika na uzanzibar, mawazo yake yamefeli CCM imekuwa kitu cha hovyo kuliko ukabila

    Nyerere ni muasisi wa CCM, alitumia short cut kuukwepa ukabila kwa kuanzisha CCM. Naweza kusema hakuona mbali kwa sababu mfumo haujaweza kufanya kazi bila yeye kuwepo. CCM ni zaidi ya makaburu wa south ambao Nyerere alipigana nao
  5. Lavit

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa hizi gari naomba mawazo yenu( Impreza Xv, Mazda Cx3 na Mitsubishi RVR)!

    kulingana na bajeti yangu nimeona naweza pata hizo compact suv mwaka 2015 mpaka 2017! Sasa nimejaribu kusoma soma mitandaoni naona nazidi kuchanganyikiwa! Wakuu kama kuna mtu ana uzoefu kati ya hizi gari naomba mawazo yenu nisije nikajichanganya. Natanguliza shukrani!
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukimuamini Mungu usiwe na mawazo yachini, mawazo ya kiogaoga. Mungu anaaminiwa na wazee wa kujilipua. Risk taker

    UKIMUAMINI MUNGU USIWE NA MAWAZO YACHINI, MAWAZO YA KIOGAOGA. MUNGU ANAAMINIWA NA WAZEE WA KUJILIPUA. RISK TAKER. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Shahidi. Usiwe too low. Usiwe na mawazo mufilisi. Usiyahofie maisha hata kama yanaogopesha. Oooh! Sasa itakuwaje, mimi sina pesa. Mimi sina...
  7. manaina jr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mwongozo: MSc Data Science UDSM

    Wakuu habari ya muda huu Mimi ni mwajiriwa serikalini nimeomba admission UDSM ya Msc in Data Science na Mungu amesaidia nimepata. Naomba mwongozo kwa wazoefu waliosoma au wanaosoma hii kozi hapo chuo. Ni nini ugumu wake, gharama za zaidi ukitoa ada ni zipi (zile zinazohitajika zaidi kulipwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Mim nipo Banana ,hapa Dar Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid . Mwenye wazo naomba
  9. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania Uzi wa mawazo ya usiku

    USIKU HUU NIMEKAA KIMYA, LAKINI NDANI NINA KELELE NYINGI SANA. Sina mzuka wa kitu chochote leo. Hata jambo la kawaida kabisa kama kupata chakula cha usiku limekuwa jambo kubwa kwangu. Nimekaa tu nikitazama maisha, nikijiuliza nimefika hapa kwa sababu gani na kesho nitainukaje. Kuna muda mtu...
  10. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Makonda alitumia methodology gani kusema jezi ni mbaya? Au yeye mawazo yake ni sheria? Kikao cha wizara kinasemaje?

    Wakuu tupelekeni watoto shule.
  11. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  12. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu wanaoweza kusoma mawazo ya wengine? 🧠

    KARIBU KWENYE MADA WANA GREAT THINKERS 🧠 ☕️ Unaweza vipi kusoma mawazo ya mtu mwingine au kujua kinachoendelea kwenye akili yake? Unaamini kama kuna watu wanaoweza kusoma akili au mawazo ya watu wengine? Unadhani ni nini huwa kinatokea pale mtu anapoona maandishi ya mtu au akiwa kwenye...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Melo aendelee kupewa maua yake kwa privacy zetu. Wengine si wa kuamini. Roma katofautiana kidogo mawazo na Mange, kamtisha kum-report wam-deport

    “Tukipishana mawazo na makada wa CCM wanatuchoma kwa watekaji tunadakwa tunauliwa!! Haya unapishana mawazo na mwanaharakati mwenzako anakuchomesha kwa ICE udakwe urudi home uuliwe!” Hapo kuna tofauti gani sasa? Hii mambo ya kujifanya tuna hati miliki ya mawazo inatesa sana nchi hii, kupishana...
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tuyalinde mawazo yetu,tukatae kauli hasi,ni sumu kali,inayotengeneza mawimbi ambayo ni lazima yafuate njia hiyo hiyo!,kama agizo!

    Ulimi, wetu na mawazo yetu kwa asilimia kubwa almost 90% ndiyo,hutengeneza channel ya mfumo wetu wa maisha,tukumbuke binadamu kwa jinsi alivyoumbwa ana uungu kwa 5-10, katika matendo yake na maisha yake ya siku kwa siku,kauli zake azitoazo huweza kutengeneza effect fulani hasa pale anapozidi...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mawazo mgando ya Wanaume wengi Mabwege na wenye Akili duni.

    YAFUATAYO NI MAWAZO MGANDO YA WANAUME WENGI MABWEGE na WENYE AKILI DUNI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Yule Shujaa. Moja ya mambo yaliyonifanya nisipende kukaa vijiweni na kuwaelewa wazazi na walezi wangu ni kutokana na mitazamo, fikara, na mawazo ya vijana na wanaume wengi wanaokaa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mnaoshi na wawazi wenu wazee naomba msada wa mawazo

    Ipo hivi , mama yangu ni mwalimu mstafu, Mimi ndiye kijana wake wa mwisho, mama yangu ni mgonjwa wa Bp, ni mwaka wa tatu tangia amegundulika kuwa na Blood pressure Ukizingatia umri wake na Hali yake ya kiafya vinanipa wakati mgumu sana, mazingira yalivyo Mimi ni MTU wake wa karibu zaidi,kwa...
  17. rafikiwamwananchi

    JamiiForums Tanzania Serikali ina data, Vijana wana mawazo: Kwanini APIs za mifumo ya Umma Tanzania zisiwe rahisi kupatikana?

    Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na interoperability kupitia GovESB. Miongozo ya e-GA yenyewe inaeleza kuhusu application integration, data...
  18. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ulikua na mawazo Gani kuhusu watumiaji wa JF ulivyojiunga??

    Mimi kipindi hicho najiunga nilikua JF ni mtandao wa wafanyakazi wa serikalini tuu, sikujua kama ni mtandao kwa wowote. Nilivyoingia sikuamin, baada ya kuona post za watu hapa JF nilihisi kila mtu ana nyumba Kali na gari na ana degree. Wewe ulifukiria Nini kuhusu watumiaji wa JF
  19. Bei Rahisi Stationary

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu

    Naitaji msaada wa haraka Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano. Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani. Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

    Vigezo vya mwenza ninayemtafuta: Awe na watoto wasiozidi wawili. Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45. Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia. Awe mkazi wa Dar es Salaam. Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle). Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija...
Back
Top Bottom