comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mimi kipindi hicho najiunga nilikua JF ni mtandao wa wafanyakazi wa serikalini tuu, sikujua kama ni mtandao kwa wowote.
Nilivyoingia sikuamin, baada ya kuona post za watu hapa JF nilihisi kila mtu ana nyumba Kali na gari na ana degree.
Wewe ulifukiria Nini kuhusu watumiaji wa JF