mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Ipo hivi , mama yangu ni mwalimu mstafu, Mimi ndiye kijana wake wa mwisho, mama yangu ni mgonjwa wa Bp, ni mwaka wa tatu tangia amegundulika kuwa na Blood pressure
Ukizingatia umri wake na Hali yake ya kiafya vinanipa wakati mgumu sana, mazingira yalivyo Mimi ni MTU wake wa karibu zaidi,kwa sababu mimi ndiye nahusik na biashara za familia na zangu.
Ukaribu huu na bi mkubwa umenipa majuku ya kutake care kuhusu yeye na nimejitahidi sana kumpatia mama yangu furaha, najaribu kumsogezea huduma zote ambazo she deserve as mumy, changamoto ni hizi
1. Mama yangu ni mkali sana( hili limefanya wafanya KAZi wa nyumbani wakimbie 2. Bi mkubwa alikuwa ni hard worker yaani anataka kufanya kazi muda wote humwambii kitu kuhusu hilo, ukimuliza unafanya kazi zote hizo kwa faida ya nani hana majibu ,yupo tayari kuamka sa kumi na moja , hapo atafanya usafi , ataandaa chakula anataka kwend dukani kwake hili kwangu naliona ni tatizo 3. Mama yangu ni bahili sana kama Kuna mkinga ni bahili zaidi ya mama basi nampa pole, katika umri w miaka 70+ mama pesa yake anaibana na huelewi anafanya huo ubahili kuokoa nini , najaribu kumpelekea karibu kila kitu lakini bado hata ulichompelekea atakibana tu.
Kutokana na mazingira aliyojitengenezea mama anonekana kama mtu mwenye stress za ugumu wa miasha , anaona vitu haviendi na ukimwambia anakosa nini Hana majibu , nimeshuhudia bi mkubwa akiongea peke yake , nimeshudia bi mkubwa akitaka binti wa kazi awe kama yeye yaani afanye kazi wewe (hata umpe elimu vipi kuhusu tofauti ya generation yake na sasa kuwa watoto wa sasa sio kama wao haelewi kabisa , sasa NIMECHOKA kutafta mabinti, nimejaribu kumfanya awe ni mwenye furaha ah ni kama imeshindikana , nyie mnaishijie na wazee wenu