naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya mgogoro huu wa ardhi

    Habari za wakati huu, Hapo eneo moja lililopo Dodoma mjini kuna Mama aliuziwa kiwanja miaka ya tisini huko kama sio mwanzoni mwa elfu mbili hivi. Sasa akajenga kijumba kidogo cha kuanzia maisha kisha mambo mengine yatafuata mbele, na hapo mtaani eneo karibu lote wameuziwa viwanja/ mashamba na...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wasabato naomba mtueleze siku ya Jumapili ina maana gani kiroho kwenye imani yenu? je ukisikia Jumapili mnajisikiaje mioyoni mwenu?

    Hamjamboni nyote? Tuwape nafasi Wasabato pekee tafadhali. Ukisikia Jumapili inatajwa huwa mnajisikiaje?
  3. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Naomba nitolee ufafanuzi kuhusu ile mada ya Chupa yenye maji ya MOTO

    Najua wengi hawakunielewa kwanini niliamka nikaanza kuuliza au kujiuliza swali fikirishi la kidadisi lenye kuonekana km kwamba ni swali la kitoto. Lakini ni ukweli ulio wazi lile sio swali la kitoto ni swali ambalo watu wamekaa wakalofanyia uchunguzi wa kina. Sasa ipo hivi; Maji ya kwenye...
  4. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Naomba watu wenye uelewa wa juu wanijibu haya maswali mawili

    Ukichukua Chupa ya lita 1 au lita 1½ ya Plastiki yenye maji ya moto let say 30/35 au 40 degrees Celsius, ukaiweka kweenye ndoo yenye maji ya lita 20 ya baridi. Utagundua kwamba hii chupa yenye maji ya moto baada ya kuizamisha kwenye ndoo ya lita 20 yenye maji ya baridi kwanza itaenda mpaka...
  5. kibaigwa finest

    JamiiForums Tanzania Naomba radhi kwa hii video Kama unaroho nyepesi usiangalie

    Naombeni mnisamehe 🤣🤣🤣
  6. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana mimba ambayo si yangu

    Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi...
  7. RSM Dominik

    JamiiForums Tanzania Kwa wale walioko wilaya ya Mbinga naomba mni dm tafadhali

    Nina dili nanyi wakuu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jina la kampuni ya usafirishaji mizigo toka Dar es laam kwenda Songea

    Ndugu wapendwa! Nataka kusafirisha mizigo yangu toka Dar kuja songea lakini sijui ni kampuni zipi za usafirishaji zinahusika. Mzigo ninaotaka kusafirisha ni freezer na sofa. Hivyo naomba mwenye kujua jina la kampuni inayotoa huduma hiyo pia na sehemu inapopatikana hiyo kampuni. Nawasilisha...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa ccm naomba wasome somo la kwanza na la pili siku ya kuombea waliouwa na serikali ya ccm tarehe 29/10/2026

    Naomba viongozi wa ccm ambao ni wakatoliki kama Philipo mpango na wengine siku ya kuwaombea waliouwa na utawala wa ccm tarehe 29/10/2025. Tunataka wasome masomo yote tafadhali nina hakika Mungu atakujibu Kwanza tunaombea marehemu,pili tunaombea wote walio ua hao watoto wetu Mungu atende atakavyo.
  10. rich1

    JamiiForums Tanzania Mount meru hospital Arusha naomba muwe serous na majibu yawagonjwa,,Yan madaktar wana kaz ya kuingia na kutoka kama mpo sokon

    Mount meru Arusha naomba muwe serous,,,,hasa madaktar upande wa. Kutoa majibu ya vipimo ya wagonjwa,,,, kaz n kuingia na kutoka kama mpo sokon.
  11. Isenye

    JamiiForums Tanzania Naomba ABC za mkoa wa Kigoma, nimepangwa ajira mpya huko

    Habari za leo wakuu? Ebana nimepangwa mkoa wa Kigoma ajira mpya, mwajiri ni National Audit Office of Tanzania. Naomba kupata ABC za huo mkoa wa Kigoma kwa ujumla, kuanzia hali ya hewa ya mkoa, nature ya watu wa huko, totoz kama zipo, vyakula, hali ya maisha kwa ujumla etc. Asanteni
  12. Lavit

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa hizi gari naomba mawazo yenu( Impreza Xv, Mazda Cx3 na Mitsubishi RVR)!

    kulingana na bajeti yangu nimeona naweza pata hizo compact suv mwaka 2015 mpaka 2017! Sasa nimejaribu kusoma soma mitandaoni naona nazidi kuchanganyikiwa! Wakuu kama kuna mtu ana uzoefu kati ya hizi gari naomba mawazo yenu nisije nikajichanganya. Natanguliza shukrani!
  13. chidubweeee

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga

    Mwenye kujua naomba mnijuze katika machimbo ya dhahabu mfuko wa mawe kg50 mpka kg70 ni bei gani kwa ajili ya kusaga
  14. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Kwanini wanajukwaa wa JF hamnipendi?

    Ni dhahiri kati ya watu wanaochukiwa na takribani member wengi humu nami nimo. Je, unawezaje kuchukia mtu usiye mjua? Kwamba maandishi ya mtu yakakufanya umu ignore kabisa. Ni kwanini mnachukizwa hivi.. Naombeni kujizwa sababu za msingi. Asanteni
  15. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza uhusiano kati ya jamii hizi,je wana uhusiano wa damu?

    Kuna uhusiano gani kati ya haya makabila ya kaskazini Wachagga na wairaqw Wachagga na wamasai?
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hili eneo la Kivukoni ni chafu na linanuka. Tunaomba pasafishwe

    Hili eneo la Kivukoni ni chafu na linatoa harufu mbaya, hali inayosababisha usumbufu kwa watu wanaopita na wanaotumia eneo hilo. Tunaomba serikali na mamlaka husika zifanyie eneo hilo usafi na kuliboresha ili liwe safi, lenye mazingira mazuri na linalofaa kwa watu kukaa na kupumzika...
  17. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Naomba kukaribishwa rasmi

    Habari wanajukwaa wa jamiiforums Mimi nni mgeni na ninafuraha kujumuika nanyi. Ni matumaini yangu tutabadilishana mawazo, uzoefu na ujuzi Asanteni
  18. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Naomba ukaribisho

    Nafurahi sana kuwa mwana jumuiya ya jamiiforums.. Ninapenda sana mada nzuri na ni dhahiri nitakuwa mshirika mwema. Nita furahi kuchangamana na watu tofauti ambao tutabadilishana mawazo na ujuzi. Asanteni
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri

    Ushauri, Wakuu naomba ushauri kuhusu rangi ya bati ya chengachenga vikae ambayo haipauki haraka
  20. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 bila mke imekuwa kitu cha kawaida sana

    Hakika zama zimebadilika. Siku hizi vijana wa miaka ya 30 nao bado wanaishi nyumbani, bado wanategemea wazazi wao. Nilivyo kuwa in my early 20s nilidhani by the end of my 20s Nitakuwa na familia yangu na watoto wawili. Ila sasa ndo akili zinanijia kuwa it was just a dream, mifumo imebana...
Back
Top Bottom