Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana mimba ambayo si yangu

Matunzo 02

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2026
Posts
1,620
Reaction score
3,165
Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.

NAOMBA USHAURI WANA JF.
 
mpeleke hospitali wao ndio watatoa ushauri kwa hali yake azae au waitoe mimba
 
Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.
NAOMBA USHAURI WANA JF.
Yaani huna hata haya!
Ndo unakuja kututangazia kuwa wewe ni Mzinzi!
Ushaona sifa kuzini?
 
Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.
NAOMBA USHAURI WANA JF.
Chai ☕️
 
Back
Top Bottom