Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
- Thread starter
- #21
na nyama yao wapewe mbwa waile.Vijana wa namna hii, wachinjwe wanamchango mdogo sana
na nyama yao wapewe mbwa waile.Vijana wa namna hii, wachinjwe wanamchango mdogo sana
Leo MkuuKuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.
NAOMBA USHAURI WANA JF.
ameniambia nikimuacha anajiua.ACHANA NAE NIPO SERIOUS.
hakuna sehemu ambayo nimesema nimezini umejiogeza wew mwenyewKwani ukizini tu ukapiga kimya haautoki tu huo upwilu wako mpk ujitangaze!?
ndy mkuu sina ninaye huyu mchumba tu.Mpaka sahizi mkuu huna mke
Inatakiwa na wewe ubakwe kwanza upate akili.Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.
NAOMBA USHAURI WANA JF.
Aiseeee Dunia ngumu hiiKuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.
NAOMBA USHAURI WANA JF.
duuh sikujua kumbe wew kuwa na akili ulibakw!Inatakiwa na wewe ubakwe kwanza upate akili.
umesema ukweli kuna vitu ambavyo unaweza kueleza na kuonekana mjinga kutoa mimba kwa hali yake duuh.Aiseeee Dunia ngumu hii
Kama una mpenda kweli toa hiyo MIMBA muoe
Nb. Nina rafiki mkewe Wana watoto wawili mkewe alipewa MIMBA ila akatoa now tena mumewe alimsaidia KUTOA hiyo mimba
Ila sisi wengine HATUWEZI ndio maana nikaoa mtu anae nipenda
Yeye ndie anae nipenda Mimi mwanaume siku zote huwezi kushikilia mahusiano
umejuaje mkuu!Huyo ni mpenzi wako ila wewe sio mpenzi wake
Wanasema, huruma sio malezi.Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.
NAOMBA USHAURI WANA JF.
Duh kumbe na mimi nianze kutafuta hata ka girlfriendndy mkuu sina ninaye huyu mchumba tu.
mm mwenyewe najiona peke yang tu mkuu.Duh kumbe na mimi nianze kutafuta hata ka girlfriend
unanitia machozi tu.Hongera ba kijacho