Psalm_23
JF-Expert Member
- Aug 18, 2026
- 2,760
- 5,144
sema naogopa nitakengeuka maana tumeambiwa tusiyachochee mapenz kama mda haujafikamm mwenyewe najiona peke yang tu mkuu.
Huruma sio malezi kuna jamaa kasema.
sema naogopa nitakengeuka maana tumeambiwa tusiyachochee mapenz kama mda haujafikamm mwenyewe najiona peke yang tu mkuu.
Huruma sio malezi kuna jamaa kasema.
asante..alidondoka akabebwa na wahuni tupu wakambaka halafu wakamtupa tena? Pole sana wewe pamoja na familia yako
upo under 20 mkuu?sema naogopa nitakengeuka maana tumeambiwa tusiyachochee mapenz kama mda haujafika
Naelekea 21upo under 20 mkuu?
WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE ABDU JUMBE. MBONA TUTAKOMA NA NAOKuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi ila ana mimba nawaza nimuache roho nyingine kuwa naye.
NAOMBA USHAURI WANA JF.
hatujapishana san kumbe mkuu huo muda tunatakiwa tuwe na wachumba tukifikisha 25 tunaoa.Naelekea 21
WANAFUNZI WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE ABDU JUMBE. MBONA TUTAKOMA NA NAOWTF did I just read?
ni uamuzi wa kijasiri san.lea tu mzee
Wanasema uchumba ukizidi sana ni miezi 6 tu mkuu HUO mwingine ni uchumba suguhatujapishana san kumbe mkuu huo muda tunatakiwa tuwe na wachumba tukifikisha 25 tunaoa.
nan alikwambia hvy apo unakuwa unatumia hisia badala ya akilWanasema uchumba ukizidi sana ni miezi 6 tu mkuu HUO mwingine ni uchumba sugu
Madoctor wa mahusianonan alikwambia hvy apo unakuwa unatumia hisia badala ya akil
sureni uamuzi wa kijasiri san.
mkuu huyu yupo tofauti sio kifafa cha ugonjwa yaan sijui nikuelezeje unielewe.Kwa anaejua hali ya mtu akianguka kifafa hawezi amini ukichoandika
kwanza unamuogopa hata kumsogelea huyo alibakwaje fafanua
mtu akianguka kifafa mwili una vibrate kama jenereta mixa mapovu mdomoni ,mkuu huyu yupo tofauti sio kifafa cha ugonjwa yaan sijui nikuelezeje unielewe.
povu hatoi mwili anakuwa anajinyoga nyoga kama nyoka.mtu akianguka kifafa mwili una vibrate kama jenereta mixa mapovu mdomoni ,
Yeye huyo kifafa chake kipoje ? Na kama kweli umethibisha kabakwa kwanini umuache kwani ni suala la kujitakia Hilo?
hapana nilishuhudia mwenyewe.