yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. econonist

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu: Lema ni dalali na anataka CHADEMA irudi kwenye udalali

    Kwa press ya Jana ya Lema amekiri kwa kauli zake kwamba yeye ni dalali na anataka CHADEMA irudi kwenye udalali. 1. Kwanza kabisa, Lema kanishtua sana aliposema ya kwamba alikutana na Makamu wa Rais pamoja na Mwanasheria Mkuu wa serikali. Nimeshangaa sana, kwa sababu hata machawa wa CCM na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Sasa CHADEMA ni Kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli huku CCM ikiendelea kuchanja Mbuga Mioyoni Mwa Watanzania. Furaha Yangu ni CHADEMA Ikifarakana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa CHADEMA ni kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli. Wanaruka na kukanyagana utafikiri Walevi wa gongo . Kila mtu anaruka kivyake na kutoka kivyake . Kila mtu anapuyanga kivyake ,kila mtu na njia yake . Chama kimeota Mapembe na kila mtu ana ndevu utafikiri Mabeberu...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ili la Anger linaumiza, je wako wangapi? 29/10/2025, ebu ingia the chanzo yaani nimejikuta nalia,ila machozi yangu hayajadodondoka bure.

    Baada ya tarehe 29/10/2026, kupita Kuna clip mbili zinasambaa kwa kasi, ya kwanza ni ya Bwana mmoja akilalamika mwanae kuuwa tarehe 29/10/2025,analalamika kutokupewa mwili wa mwanae ambaye alimkuta mochwari na baada ya siku kadhaa hakumkuta mwanae hata hapo mochwari maswali yake U wapi mwili...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uwezi kutoa siku za ikulu ikabaki salama,R.I.P Mzee.

    Nina kusihii wewe aliyeenda nae ikulu mkaketi, uwe makini sana la sivyo watapita na wewe kama walivyopita nae chapu. Nakushii kuwa makini sana.
  5. min -me

    JamiiForums Tanzania Kuhusu maoni yangu binafsi kwa warembo wa jf😅

    Nilitoa maoni yangu binafsi, nilio ona nipisi kali niliwataja selfika 😊,pisi mbovu pia zilikuwepo kwa maoni yangu😅😅 , haya ni maoni binafsi mno 🤣 yalichukuliwa kwa uzito na makasiriko sijui kwanini😅😅 Kwamba zile mamsi zote ni kali? Acheni ufala namnitoe kwenye huo mkumbo wa kipumbavu...
  6. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mpenzi wangu ana mimba ambayo si yangu

    Kuna muda unahisi dunia umeibeba kichwani, ninampenzi ambaye amepata matatizo ya kudodoka kifafa tangu apate hayo matatizo ni miezi 9 sijamgusa kimwili wiki 2 nyuma alidodoka njiani watu wakambeba wakaenda kufanya naye mapenzi hajitambui watu wakamuokota amebakwa tumeenda kupima hana maambukizi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nashukuru october 29 imepita salama kwangu na familia yangu

    Nashukuru, October 29, 2025 imepita salama kwangu na familia yangu. Sio mjomba, shangazi, kaka, dada, shemeji, ndugu au jamaa. Ijapokuwa watu wangu wamesambaa ktk miji mbali mbali yaliotokea vurugu, lkn mwaka sasa sijasikia taarifa ya athari kwa upande wangu iliotokea. Namshukuru sana Allah...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari wa Barabarani Arusha wanatunyanyasa sisi madereva Bajaj

    Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki. Tukiingia maeneo hayo na...
  9. min -me

    JamiiForums Tanzania Kuna maumivu halafu kuna haya maumivu yangu🤔

    Leo nimenyoa ila sioni akitokea , 🤔 napiga simu ananiambia nisubiri tu , hapa dude lina pumulia mipira tu, kama black mamba , huku likifutuka kama cobra 😄 NawZa nipotezee au niilowekee tu , au niipime kwanza halafu niiloweke kibabe mno, kwa hawa wahaya hapa nilipo au ni vunge tu🤔
  10. min -me

    JamiiForums Tanzania Kama nilisema Manchester ni timu yangu nisamehewe🙏

    Kujiita manjesta hii ya wapinga nyeto ni kosa langu la kwanza hapa jf , kwa kweli naomba nisamehewe sana🙏 Hii timu ina wazungu pori na matapeli kwa sasa , nimejitoa rasmi manjesta , hii nguvu nawekeza simba tu , mpaka manjesta atapata tajiri anae jielewa nitarudi🙏
  11. J

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko Kuhusu Makosa katika Transcript ya Mhitimu wa Chuo cha Afya

    Mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo cha afya chini ya NACTE mwaka 2019. Kero yangu inahusu transcript yangu ambayo niliipata baada ya kupitia usumbufu mkubwa. Nilipoipokea, sikuikagua kwa makini, lakini baadaye nilipogundua makosa, nilibaini kuwa somo ambalo nilipata alama ya A lilikuwa...
  12. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu ni kuiona wilaya ya Masasi inakuwa mkoa kamili

    Wanajf habarini.. Ni sakata ama vugu vugu la muda mrefu kidogo... ni lini wilaya ya Masasi mkoaani Mtwara itakuwa mkoa kamili unaojitegemea? litakuwa jambo zuri mno na la kimkakati. naomba hilo lifanyike haraka. Masasi ni mji unaokua sana, mara ya mwisho niliongea na viongozi kadhaa wa...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya mtungi: watalii wenye Pixel na iphone original, Camera zao zinatoa picha kali sana kuzidi simu zetu tunazonunua maduka ya refurbished / used,

    Nina rafiki yangu yupo Arusha ni tour guide, Aliniambia kwamba simu nyingi tunazonunua brand kubwa hazifanani na wanazotumia watalii, kwetu zimejaa Used na Refurbished. na hata wale wanaochana mabox wakidhani ni mpya Brand New, huwa ni simu used au refurbished zimewekwa kwenye mabox feki. simu...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Rugemeleza Nshala: Sitamuogopa mti aliyezsliwa kama mimi: Nitaifia nchi yangu Tanzania, Kwaherini tutaonana Paradiso

    Nitàifia nchi yangu
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mimi nimesema kuna mtu atakufa tu, hata kama anajifanya yuko imara

    Narudia tena kuna mtu atakufa haraka sana kuliko anavyodhania na kujiona. Time will tell
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Alex,ananidokeza baba yupo salama na anajishughulisha na shughuli zake ndogo ndogo za kilimo!

    Pia anashangaa yale yanayozungumzwa mitaani,baba yupo salama na amepumzika siasa na anajishughulisha na kilimo pia haitaji bughudha na kelele!
  18. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Nimempa sim yangu akaanza kuikagua, alipoona kindege shida ikaanzia hapo

    Alipoona kindege akaniuliza, kwanini nimeweka kindege?? Mie nikamjibu.... hiyo ni miss call kutoka Airport...🤗 Au nimekosea wakuu...!!?? Haka ndio kale ka Gen-Z kaliko nisave "mubaba wangu"
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo ratiba yangu ya kila siku

    Naamka saa 9 -9:30 usiku, naenda chooni ,natia udhu. Naswali tahajud pamoja na witri. Baadae naomba dua mbali mbali ikiwemo kuepushwa na moto na kuingizwa pepo , na Allah kuniondoa hali ya kuwa nimo ndani ya radhi zake , nafanya adhkar na nasoma Quran kidogo. Saa 5: 15 naswali swala ya Alfajir...
  20. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ushauri niliompa shemeji yangu baada ya kuniambia anaujauzito

    Kwanza nimemkuta anahuzuni sana..... Nikamuuliza, shemeji kwamba tatizo nini..?? Akanijibu kwamba Peter kampa ujauzito. Sasa mimi nikamwambia kwamba.... kama Peter alimkana Jizas mara tatu, hiyo mimba ataikubali kweli...🤔 Au nimemshahuri vibaya wakuu....🙄
Back
Top Bottom