Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Pia anashangaa yale yanayozungumzwa mitaani,baba yupo salama na amepumzika siasa na anajishughulisha na kilimo pia haitaji bughudha na kelele!
Kwa hiyo ni lazima aende st peter?/Kwahyo hata kanisani kapumzika kwenda?
ushauri weka pich a ya alex hao watoto watakuja kukushtaki wamehusikaje hapo?Pia anashangaa yale yanayozungumzwa mitaani,baba yupo salama na amepumzika siasa na anajishughulisha na kilimo pia haitaji bughudha na kelele!View attachment 3695310
Suala si yeye hahitaji au anahitaji nini.Pia anashangaa yale yanayozungumzwa mitaani,baba yupo salama na amepumzika siasa na anajishughulisha na kilimo pia haitaji bughudha na kelele!View attachment 3695310
Kwan lazimaKwahyo hata kanisani kapumzika kwenda?
Utakuja kupigwa mimba usijue baba wa mtotoKwan lazima
Msigwa wa kubanikaKwa hiyo ni lazima aende st peter?/
Shortly anatumia zaidi ibada za kila jumamosi vigango!
Elewa maana ya mapumziko binafsi au likizo ndefu ya mapumziko!