baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Civilian-Coin wote ni WA Tanzania; Baba na Mama ni WA Tanzania.

    Uvumi na upotoshaji ya kuwa baba ni mMarekani ni habari za uongo na so za kweli. Baba mzazi wa Civilian-Coin Nalimi Kisandu ambaye ni Nalimi Kisandu amezaliwa Busoka manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga(kabiia: Msukuma) na Mama mzazi (Bi. Laurencia Tundule-Msukuma) amezaliwa Kahama hapohapo. Na...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Msibani kwa Baba Wambura

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24...
  3. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ndio maana mchepuko akishajua una visenti anakulazimisha mzae pamoja na ndio maana siku ya msiba wa baba yako watoto wengi hujaa siku ya mirathi

    Hamna pesa ila mnazaana kama panya buku
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU AHANI MSIBA WA BABA MZAZI WA IGP CAMILLUS WAMBURA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 27, 2026 amehani msiba wa Deusdedit Mwita Wambura ambaye ni Baba Mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam Oktoba 24, 2026.
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Prof Alhad Salumu ampa pole IGP Wambura kwa kufiwa na Baba mzazi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi. Prof. Salum ametoa salamu hizo leo, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa Usalama wa Taifa...
  6. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Alex,ananidokeza baba yupo salama na anajishughulisha na shughuli zake ndogo ndogo za kilimo!

    Pia anashangaa yale yanayozungumzwa mitaani,baba yupo salama na amepumzika siasa na anajishughulisha na kilimo pia haitaji bughudha na kelele!
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je Tumuenzi Baba wa Taifa kwa Maneno au Matendo?. Mwaka 1976 Walikufa 4 Akakasirika Sana, Akasafisha!, October 29, 25 Wamekufa 518 Kuna Aliyekasirika?

    Wanabodi, Nilipata mwaliko wa ITV kuzungumzia Kumuenzi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere. https://www.youtube.com/live/BCed6WueJmM?si=pC7ZgWDyWKPHRKAp Karibu. Mzee Pasco
  8. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Suluhu Hassan wamsikilize Baba wa Taifa

    https://www.facebook.com/share/v/18gvMr6aPg/ Baba wa Taifa letu Mwl. Nyerere alikuwa Kiongozi mwenye hikma,busara na maarifa ya kiwango cha juu sana. Naushauri utawala huu warejee alichozungumza Baba wa Taifa kuhusu Watawala(si Viongozi) ambao wanaitawala Tanzania kwa kuvunja Katiba ya ñchi...
  9. H

    JamiiForums Tanzania OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.

    OFISI YA WAZIRI MKUU Nyerere Day Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Baba wa Taifa (1922 - 1999) Mwalimu Julius Kambarage Nyerere 📆 14 Oktoba, 2026.
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mchungaji: Baba ndio anapaswa kutoa Baraka kwa watoto na si Mama

    Moja ya mijadala iliyokuwa na maoni mbalimbali ni hii video clip ya Mchungaji mmoja nchini Tanzania akisema kuwa Baba au Mwanaume ndio anapaswa kutoa Baraka na si Mama. Watu wengi wameunga mkono na wengine kupingana nae. Wengine walienda mbali na kurejea visa mbalimbali kwenye biblia Mwanzo...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Kumbukizi ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere-Octoba 14

  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ashiriki ibada ya kumuombea baba wa taifa Mwalimu Nyerere, Sumbawanga

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Oktoba 14, 2026 ameshiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbulizi ya Hayati Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Epifania (Mamajusi Watatu) Jimbo Katoliki Sumbawanga, Rukwa Katika Ibada hiyo, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Vatican: Kifundo cha pafu la Baba Mtakatifu, Papa Leo XIV kilichoondolewa wakati wa upasuaji kilikuwa na saratani

    Kijiwe (fundo) cha pafu la Baba Mtakatifu Papa Leo XIV kilichoondolewa wakati wa upasuaji kilipatikana kuwa na saratani, imeeleza Vatican. 'Upasuaji huo umekamilika kwa mafanikio, kulingana na ratiba na kama ilivyopangwa, na Baba Mtakatifu amerejea chumbani kwake,' ilieleza taarifa kutoka ofisi...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Yamuadhimisha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://www.facebook.com/share/p/19oZy4YqCD/
  15. blogger

    JamiiForums Tanzania Baba Askofi Azungumza kwa Hasira , Mauaji yanayondelea. Mungu amlinde...

    Mungu anasema haki huinua taifa yaani taifa lolote ili liende linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa rais wa nchi huyo ndio right marker wa haki. Lazima asimame kwa haki aamue kwa haki awe mwanamke awe mwanaume. Akisema haki kwanza taifa linakuwa na amani."Sasa ili watu...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Audio ya wimbo wa Usia wa Baba

    Kuna wimbo unaitwa Usia wa Baba ,umeimbwa na Seif Kisauji naomba mwenye audio yake tafadhali. asanteni sana
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2026: Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://youtu.be/8_rapZFjZ88
  18. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maurice Ogeta - Mlinzi Wa Aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga Afunguka Mazito Kuhusu Maisha Yake na Baba

    Karibu mwaka mmoja baada ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Maurice Ogeta, mlinzi na msaidizi wake wa miaka 29, amefunguka kuhusu matukio mazito aliyodai kuyashuhudia akiwa pembeni ya mwanasiasa huyo, kuanzia tukio aliloamini lingemgharimu maisha Raila hadi kutekwa kwake mwenyewe...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Baba wa marehemu Shukran Amos Said akataa mwili kuzikwa mpaka mahari ya TSh 1,500,000 ilipwe

    Baba wa marehemu Shukran Amos Said, mwanamke anayedaiwa kuuawa na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Khatibu Mfaume katika eneo la Maili Mbili, jijini Dodoma, amekataa kuruhusu mwili wa binti yake kuzikwa na familia ya mume wake wa zamani kutokana na mgogoro wa mahari. Inadaiwa kuwa baada ya...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

    Maneno ya Askofu "Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki." "Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa...
Back
Top Bottom