Prof Alhad Salumu ampa pole IGP Wambura kwa kufiwa na Baba mzazi

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,686
Reaction score
46,842
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi.

Prof. Salum ametoa salamu hizo leo, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa Usalama wa Taifa: Nani Awajibike?, kilichoandikwa na mwandishi mwandamizi wa vitabu, Hendry Kanje.

Katika salamu zake, Prof. Salum amemfariji IGP Wambura na familia yake katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 
Lini Sheikh Alhad amekuwa Profesa ??
 
mhiii
 
Mjomba badilisha utambulisho wa huyo Alhad Salum kutoka kuwa Prof hadi kwenye cheo chake halisi cha Sheikh.
 
Tulieni nyie wagalatia, sindano zimeisha

1792958644450.png
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi.
Wakati IGP Wambura aki-celebrate miaka 100 ya maisha ya baba yake, akumbuke wale walio chini ya miaka 20 alioona ni sawa kuwaua, akikatiza maisha yao asubuhi na mapema na kuona hu ulikuwa uamuzi na amri sahihi.

Kuna wakati sielewi kwa nini watu hawa wapewe pole pale wanapofiwa, ukifiria matendo yao maovu ya uuaji. Sijui kafiwa baba, mume, mke nk tumpe pole. Na wale mlioofanya wafiwe kwa uroho tu wa madaraka je, wao hawana uchungu wa kufiwa bali nyie ndio mnao?
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi.

Prof. Salum ametoa salamu hizo leo, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa Usalama wa Taifa: Nani Awajibike?, kilichoandikwa na mwandishi mwandamizi wa vitabu, Hendry Kanje.

Katika salamu zake, Prof. Salum amemfariji IGP Wambura na familia yake katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
Muuaji akifiwa ni stahili yake; hastahili kufarijiwa kwa namna yoyote ile! Faki zati sonofabitch!
 
Pole sana IGP kwa kuondokewa na mzazi.
Mwenyezi Mungu akujaalie wewe na familia yako subra katika kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom