igp wambura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa CHADEMA, kutuma salamu za pole ya msiba kwa IGP Wambura sio ishara ya udhaifu bali ni ukomavu mkubwa sana kisiasa (Political Maturity)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Mimi sio mwana CHADEMA. Mimi sio mwana CCM. Mimi sina political affiliations na Chama chochote kile cha kisiasa hapa Tanzania/duniani kwa ujumla. Baba yangu Lissu (hajanizaa ila ninamheshimu sana) alipokuwa Mahakamani alisema kwa sauti "mpelekeeni mama (Rais Samia)...
  2. n00b

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kumbukizi: IGP Wambura alipotangaza amri ya kutotoka ndani Oktoba 29, 2025 ili ifanyike “KAZI MAALUMU”

    Wakuu, Mnaikumbuka hii amri? ‘Kazi Maalum’ ambayo ilifanywa na Jeshi la Polisi na ‘vyombo vingine’ ilikuwa ipi? Mbona TUME zinazoundwa hazionekani kutaka hata kuanzia hapa? Kwanini target au mlengwa wa Tume zinazoundwa awe mwananchi na sio waliokuwa na ‘Kazi Maalum’?
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Prof Alhad Salumu ampa pole IGP Wambura kwa kufiwa na Baba mzazi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT), Prof. Alhad Salum, ametoa salamu za pole kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillius Wambura, kufuatia kifo cha baba yake mzazi. Prof. Salum ametoa salamu hizo leo, wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachoitwa Usalama wa Taifa...
  4. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aitaka mahakama kumwandalia mazingira mazuri ili akutane na mashahidi wake DCI Kingai CDF Nkunda na IGP Wambura ili kuweka mikakati

    Hivi ndivyo ilivyokuwa wakati akii - impose hoja hii.. Jaji Ndunguru: Bado una mashahidi watatu tutamaliza Natumaini tutamaliza within time mshtakiwa maana tulitegemea Ijumaa mngewasilisha final submissions Mhe.Lissu: Kwanza hao mashahidi wangu nahitaji kuonana nao ili tupange mkakati wa kesi...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Tunawaomba wananchi wajitokeze kusalimisha silaha haramu walizonazo kwa hiari

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillius Wambura, amezindua kampeni ya msamaha wa usalimishaji wa silaha haramu kwa hiari, 2026 jijini Dodoma, akiwahimiza wananchi kutumia fursa hiyo kusalimisha silaha walizonazo kinyume cha sheria bila hofu. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, IGP...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura Azindua Call Centre Ya Dawati La Jinsia Na Ulinzi Wa Mtoto

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, leo Julai 31, 2026, amezindua rasmi Call Centre ya Dawati la Jinsia na Ulinzi wa Mtoto wakati wa kufunga Mkutano Mkuu wa Dawati hilo uliofanyika mkoani Dodoma. Call Centre hiyo imeanzishwa ili kuboresha upokeaji na ushughulikiaji wa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura, CDF Mkunda, Mombo and CCM. Msikilize IGP wa Kenya katika clip hii

    Nisiwachoshe, msikilize
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi IGP wambura na Generali Mkunda wana elimu gani?

    Naomba wenye cv za hao watu wawili waziweke hapa tuzichambue.
  9. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania ya matamko, huyu Wambura ni nani hili agizo la kukaa ndani alitoa kwa misingi ipi?

    Kazi maalumu walizofanya ni hizi baada ya watu kuambiawa wake ndani. 1. KUPIGA RISASI ZA VICHWA WATANZANIA. 2. KUCHUKUA WAGONJWA WOTE WA RISASI WALIOKUWA WAKIPATIWA MATIBABU HOSPITALINI NA KUENDA KUWAMALIZIA. 3. KUPOTEZA MIILI YA WALIOWAPIGA RISASI NA KUENDA KUZIKA KWENYE MAKABURI YA HALAIKI...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura usijitoe Ufaham, Yaan RASIMALI zibagazwe, Vyama Siasa (CHADEMA) Muwaumize Kila siku, alafu ulopoke "Watanzania msikubali kugawanyika"

    Huyu huenda ndio akawa IGP mpuuzi kushinda Upuuzi wenyewe, na Haya yote ni matokéo ya kua na Elimu za Hapa na Pale, Elimu za Kuhonga honga wahadhiri mpaka unapata Degree. Huyu Jamaa Leo ananukuliwa anawaambia Wananchi, eti msikubali Kugawanyika Kwa Sababu za Kisiasa , Wala za Rasimali... LISSU...
  11. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yale matamko ya IGP Wambura naona sasa hivi kapoa kama uji uliochemshwa kuelekea tarehe 09.12.2025

    Wakati wa uchaguzi mkuu mambo makubwa mabaya yalifanyika dhidi ya waandamanaji waliokuwa wanadai Haki siku ya tarehe 29.10.2025 hadi tarehe 04.11.2025 nchi iliingia gizani huku raia wake wakisulubiwa ipasavyo waliokuwa wakidai haki neno ( shoot to kill) lilikuwa nineno rahisi dhidi ya watawala...
  12. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP: Sio Sawa Jeshi la Polisi Kuwabebesha Wazazi Wa Polepole Mzigo wa Kuthibitisha Kwamba Kuna Uhalifu umefanyika Dhidi ya Mtoto Wao

    Utangulizi Mheshimiwa IGP Camilius Wambura, Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia. Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu. Hata hivyo...
  13. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ZCO na mambo yake. Wasiojulikana ni kina nani?

    Wakati wa Chuma, tukilalamikia vitendo vya utekaji na the so called “Task Force” kupoteza watu (Kina Ben Saanane etc), kesi za ajabu ajabu (kina Kabendera, Maxence, Eyakuze etc) Wambura alikuwa ZCO na sasa ni IGP. Wakati huo, ndo ukaibuka msemo wa “Wasiojulikaka”. Kama mtakumbuka, hadi kesi za...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Wambura: Hatuendi vitani lakini tunakwenda kusimamia usalama, amani, utulivu wa taifa letu kabla, wakati na baada ya uchaguzi

    Akizungumza leo Agosti 11, 2025, katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa maafisa waandamizi wa Jeshi la Polisi uliofanyika katika shule ya Polisi Moshi, Inspekta Jenerali wa Polisi, Camillus Wambura ameeleza kuwa hali ya usalama ni shwari na Jeshi hilo linajiandaa na uchaguzi kwa kuweka...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Wambura: Jeshi la Polisi halitamvumilia mtu au kikundi cha watu, watakaojaribu kuvuruga amani ya watu kwa namna yoyote ile

    Mkuu wa jeshi la polisi nchini Camillus Wambura amesema jeshi hilo halitovumilia mtu au kikundi cha watu watakaojaribu kuvunja amani ya nchi kwa namna yoyote ile. IGP Wambura amesema hayo katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 katika Shule ya...
  16. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 IGP Wambura: Anayefikiria kuleta vurugu atafute nchi nyingine ya kwenda

    Wakuu IGP Wambura ametoa onyo kali kuhusu amani kipindi hiki cha Uchaguzi. Kasema kama unataka kuleta vurugu hama nchi nenda nyingine ukapeleke hizo vurugu Source: Uhondo TV
  17. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Huyu jamaa ni nani? Alikuwepo kwa Tundu Lissu na sasa yupo kwa IGP Wambura?

    Nipo kijijini napita pita mtandaoni, naona picha za wakuu wakiwa kanisani kwa Mwamposa. Picha moja wapo iliyonishtua ni jamaa flani ambaye wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 alikuwa kwenye msafara wa Tundu Lissu. Leo jamaa yule yule yupo kwenye msafara wa IGP Wambura. Je huyu ni nani...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Wanaume nao wanapitia ukatili wa kimya kimya

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura amesema wanaume nchini wana haki ya kulindwa, kusikilizwa na kupewa heshima ambapo wametakiwa kutumia ofisi za Dawati la Jinsia kuripoti ukatili wanaofanyiwa majumbani. IGP Wambura amesema hayo wakati akifungua Mradi wa jengo la ofisi za...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Matukio ya ujambazi, utekaji na uporaji yamedhibitiwa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amesema matukio ya utekaji, ujambazi na uporaji yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita. IGP Wambura ameyasema hayo leo, Jumatatu Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga Kozi ya Maafisa na...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Sikiliza ujumbe mahsusi kwa Rais samia na IGP Wambura

    Kwa uchungu mkubwa Nabii ROLINGA amesema watanzania wamechoshwa na Polisi na Serikali kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia. Ametaka watawala waache mara moja kutesa na kumwaga damu ya watanzania kwani inaleta LAANA katika nchi. Ametaka kuwepo na mazungumzo ya kumaliza tofauti zilizopo. Je...
Back
Top Bottom