Watatu wafia mikononi mwa Polisi K’njaro, Dodoma
SATURDAY SEPTEMBER 17 2022
Summary
Matukio ya watu kufa wakiwa mikononi mwa Polisi, yameendelea kushika kasi kufuatia vifo vilivyotokea katika mikoa ya Kilimanjaro na Dodoma hivi karibuni, huku jeshi hilo mkoani Kilimanjaro likithibitisha...
Mh IGP wetu Hili jambo la jeshi la polisi kuthubutu kutoa taarifa za watoto wa darasa la sita mpaka form four na kuwaita Panya Road eti wameshindwa kuwadhiti ni jambo la kujiuliza uwezo wa jeshi la polisi watoto WADOGO WANAFANYA Jiji la Dsm watu walale saa kumi, hapana hapana uwezo wa askari...
Wakuu kwema,
Kuna habari sina uhakika kama ni ya kweli au ni uzushi tu, kwamba kuna Panya Road eti kuna eneo mjini kati walivamia tena na kufanya uhalifu na kuua! Sidhani!
Nashauri IGP aanze safisha safisha ya wahuni wote kwenye vijiwe vya wavuta bangi, tena ikibidi wenye records za uhalifu...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo ya kuwahamisha baadhi ya Makamanda wa Polisi, ambapo amemhamisha Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ulrich Matei ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya kwenda Makao makuu ya Polisi Dodoma na nafasi...
Kesi 1,840 zafutwa kwa kukosa ushahidi
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali(IGP) Camilius Wambura, amesema kesi 1,844 ambazo zimekosa ushahidi wa kutosha kupelekwa mahakamani zimeondolewa, huku kesi zingine 2,117 zikifanyiwa mabadiliko.
IGP Wambura alikuwa akizungumza jana...
Makamu wa Rais Dkt. Phili Mpango amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Camillus Wambura, kuangazia malalamiko yanayotolewa na #Wananchi kwa Jeshi la Polisi na kuwachukulia hatua askari wachache wanaoharibu taswira yake.
Dkt. Mpango amelitaka Jeshi hilo kutenda haki pasipo kuonea mtu yeyote na kwa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura amefanya mabadiliko madogo kwa baadhi ya makamanda wa Polisi wa mikoa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Ijumaa Agosti 12,2022 na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime imeeleza kuwa katika mabadiliko hayo, Kamishna Msaidizi wa Polisi...
Anawalinda viongozi waishi vizuri, nyie ni wapinzani wa kukosoa serikali ambayo inaongozwa na "viongozi". Mkiwakosoa, mkawasema mmekufa. Safari hii Lissu hawatakosea kulenga.
Kaeni uhamishomi, huku Moto umewaka! Siku ya Kwanza ofisini!
Video ya alichokisema IGP Wambura
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Camillus Wambura, ameahidi kushughulika na yeyote ambaye atakuwa na vitendo vyovyote ambavyo ni kinyume na maadili na kinyume na matendo mema ya Watanzania.
“Nitoe rai kwa mtu yeyote ambaye anadhani anaweza akaleta aina yeyote ya vitendo vya uvunjifu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.