Kwa uchungu mkubwa Nabii ROLINGA amesema watanzania wamechoshwa na Polisi na Serikali kumwaga damu za Watanzania wasio na hatia. Ametaka watawala waache mara moja kutesa na kumwaga damu ya watanzania kwani inaleta LAANA katika nchi.
Ametaka kuwepo na mazungumzo ya kumaliza tofauti zilizopo.
Je akina Samia, Wambura na Muliro watasikia au ndio wataendelea kushupaza shingo?
Sikiliza maneno ya Mtumishi wa Mungu kwenye LINK:
View: https://www.youtube.com/watch?v=gRFTQaTOCUg