ujumbe

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ujumbe: Methali 10:9

    Methali 10:9 BHN Aishiye kwa unyofu huishi salama, apotoshaye maisha yake atagunduliwa. Maana yake: Unyofu na uaminifu: Mtu anayeishi kwa ukweli, uaminifu, na kufuata misingi mizuri hana hofu, naye huishi maisha ya amani na usalama. Udanganyifu utajulikana: Yeyote anayejaribu kupotosha...
  2. funaku

    JamiiForums Tanzania Lema ametuma ujumbe mzito kwa wote walio nyuma ya Mange!!

    Sisi tuliosoma Saikolojia na wenye weledi wa kufuatilia siasa za kijiografia tumeelewa sana...! Nanyi wote mnaofuatilia eleweni kwa umakini.This is not just a message but its a major Geopolitical Message to the world and all those behind the scene. N.B: Canada voted vs cuba blockade!! KWA...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Lema kuna ujumbe wako toka kwa Quinine. Alitegemea utoe majibu kwa maswali haya. Nanukuhu wito wa QUININE kwako. Anataka majibu

    Prelude..Quinine: Lema, kwenye press yako tunategemea utakuja na majibu ya tuhuma hizi. Thread starter; Quinine Platinum Member Today at 7:52 Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Twaha Mwaipaya. Tuwaombee misa takatofu wahanga wa 29.10.2026

    TUOMBE 29.10.2026
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania tunaelekea 2027 ila hali ya vyoo vya maeneo ya umma vinakupa ujumbe gani

    Jamani, tunaishi mwaka 2026, dunia inazungumzia AI, robots na safari za kwenda Mars, lakini ukiingia kwenye baadhi ya vyoo vya maeneo ya umma unajiuliza kama bado tuko kwenye zama za mawe tena nahisi hata zama za mawe vyoo vyao vilikuwa sio vichafu kama sasa huenda walikuwa wanakwenda porini...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ni Buheri wa Afya na Anaendelea Vizuri Kabisaaa na Anawatakia Kila La Heri Kidato cha Nne Katika Mitihani Yao .Huu Ndiyo Ujumbe Wake .

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni Buheri wa Afya , anaendelea vizuri kabisa ,Yupo Salama kabisa , ni Mzima wa Afya,Yupo vyema kiafya na kimwili na anaendelea kutoa maelekezo na kutekeleza vyema...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatua ya John Heche kutamka kwamba Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa chadema taifa inatoa ujumbe gani mzito kwa wanachadema?

    What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking? Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili? Je, ukiwatazama...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Huu Ndio Ujumbe Mzito Wa Rais Wetu Mpendwa Katika Kumbukumbu Ya Hayati Mwalimu Nyerere

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda viongozi wengi zaidi wa CHADEMA wa kanda, mikoa na wilaya mbalimbali nchini wakajuzulu kabla na mara tu baada ya hukumu ya Mwenyekiti wao Taifa

    My friends, ladies and gentleman, Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea... In fact, sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
  10. PAYE

    JamiiForums Tanzania Ronaldo amwandikia ujumbe wa heshima Messi baada ya kuaga Argentina

    Cristiano Ronaldo amemtumia ujumbe wa heshima Lionel Messi baada ya nyota huyo kucheza mechi yake ya mwisho akiwa na timu ya taifa ya Argentina. Ronaldo amesema Messi ametumia miaka mingi akiitumikia Argentina na ameacha historia itakayodumu milele, huku akimtumia pongezi na heshima kwa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Messi aagwa Argentina, afunga bao na ku-assit katika mechi ya mwisho

    Lionel Messi ameaga soka la kimataifa akiwa na Argentina kwa hisia baada ya kucheza mechi yake ya mwisho dhidi ya Benin, huku mastaa wenzake wakimsifu kwa mchango wake mkubwa katika historia ya timu hiyo, akifunga ukurasa wa safari ya kipekee iliyomfanya kuwa mmoja wa wachezaji wakubwa zaidi...
  12. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kusafiri kwenda Zimbabwe kinyemela kumzika mfanyabiashara mwenye utata wa kimaadili inatoa ujumbe gani kwa Watanganyika?

    https://youtu.be/Zw1pnTKVPKo?si=Q8pUyv0DyV4tfbPh Tuanzie kwa kujiuliza maswali haya: 1. Kuna nini kati ya familia ya Samia na mfanyabiashara huyu Mzimbambwe mtata na mtovu wa maadili ya kibiashara? 2. Kwanini Rais wetu huyu (hata kama yupo hapo kiharamia) ajihusishe na mtu huyu na kumpa...
  13. prida

    JamiiForums Tanzania Kabla sijaenda kufanyiwa Operation Jumatatu nina ujumbe kwa waJF kadhaa

    Jumatatu ambayo ni bafudei yangu nitaenda kujifungua kwa upirashioni na hivyo iwapo nitafia kule fieta sitaki yeyote aliye hai anikumbuke kwa ubaya na iwapo nitajifungua salama nataka ninyonyeshe mtoto wangu maziwa yanayotoka katika kifua safi kisicho sumu za chuki,kinyongo wala hasira juu ya...
  14. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "WANAOTAKA KUTULETEA SHIDA, TUKO TAYARI" - Dangote Atoa Ujumbe Kwa Waliokwenda Mahakamani Kupinga Refinery ya Lamu

    Billionaire Aliko Dangote ameonyesha kuwa kesi ya ardhi inayohusisha eneo linalopangwa kujengwa Dangote East Africa Refinery huko Lamu haitoshi kumfanya abadili msimamo kuhusu mradi huo. Akizungumza na wawekezaji Jijini Nairobi leo, Dangote alitaja changamoto za kisheria nchini Kenya kama jambo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huu ujumbe Mo Dewji anamlenga nani?

    Bilionea, mwekezaji na Rais wa Heshima wa Simba SC, Mohamed Dewji, ameandika kupitia ukurasa wake wa Threads akisema historia imeonyesha kuwa hatari kubwa kwa taasisi haitokani na wakosoaji wa wazi, bali watu wanaoonekana waaminifu huku kwa siri wakipinga misingi ya taasisi hizo.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kina: Wimbo 'No Condition is Permanent' wa Rocha Maria na Ujumbe wa Kifalsafa Kuhusu Maisha

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums, Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la nyimbo zinazovuma kwenye mitandao ya kijamii, lakini wimbo wa "No Condition is Permanent" ulioachiwa mnamo Agosti 2026 na msanii Rocha Maria umeacha alama ya kipekee sana. Huu sio wimbo wa kuburudisha tu, bali ni...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa leo

    Sina cha kuongeza
  18. O

    JamiiForums Kenya HABARI: “NI NINI KINAWASUMBUA WAUMINI KANISANI?” — UJUMBE WA SADAKA WAIBUA MJADALA

    Video yaibua mjadala kuhusu namna baadhi ya waumini wanavyotoa sadaka kanisani, huku kikapu cha sadaka kikionekana kuwa na kiasi kidogo cha fedha. Mhubiri anaonekana kuzungumzia changamoto zinazowakabili waumini na mtazamo wao kuhusu utoaji, jambo linalogusa maisha ya mwananchi wa kawaida ambaye...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa siku

    Wakristo wanaamini ndoa ni ya mume mmoja na mke mmoja..na hivyo si sahihi kiroho kwa mkristo kuhani msiba kwa mume au mke wa pili kwa mtu..! Muwe na jumapili ya Baraka.
  20. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Spy Catcher: Kuna Ujumbe wa siri ulitolewa hapa na Dkt; Nchimbi kabla Kujiuzulu kwake. | Code +255

    Mnamo mwaka 1987 Nchini uingereza kuliibuka tetesi kwamba Idara ya ujajusi wa ndani MI5 kupitia kwa maafisa wake walihusika katika mpango wa kumdhoofisha aliekuwa waziri mkuu "Harold Wilson", na kumlazimisha Kuondoka Madarakani kwa kujiuzulu. Jina la Spy Catcher Linasomeka moja ya vitabu...
Back
Top Bottom