Lema ametuma ujumbe mzito kwa wote walio nyuma ya Mange!!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Sisi tuliosoma Saikolojia na wenye weledi wa kufuatilia siasa za kijiografia tumeelewa sana...!
Nanyi wote mnaofuatilia eleweni kwa umakini.This is not just a message but its a major Geopolitical Message to the world and all those behind the scene.

N.B: Canada voted vs cuba blockade!!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
FOH 🤣.

Kujifanya kuna kitu deep nyuma ya alichokisema Lema ni utapeli tu.

Alichokisema ndo alichokisema. Hakuna zaidi wala pungufu ya hapo.
will stay FIH...loud and contra message from LEMA!!ha ha ha
 
Shida ya viongozi wa CHADEMA ni uchanga wa uelewa wa siasa.

Na kusikiliza wanaharakati uchwara.

Miaka hiyo ya mjadala wa katiba (yours truly) nilikuwa nawaambia bandugu; muhimu kwenye katiba mpya ni kupunguza madaraka ya raisi.

Wanaharakati wa wakati huo wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3 and other stupid vita yao ilikuwa serikali ya majimbo bara na serikali tatu za muungano.

Hakuna hata mmoja alikuwa anapigania kupunguza madaraka ya raisi.

Na hiyo rasimu ya Warioba aijagusia kuondoa madaraka ya raisi. Ni rasimu ya ujinga mtupu if you know anything about politics.

The whole thing is nonsense, Lissu anaumia bure.

Hata kifo cha Alute ni miscalculated moves za wanaharakati kumtaka aropoke aliyo ropoka kwenye interview aliyofanya kufanya watu wajihami.

Kaazi kweli kweli
 
Kama huna akili huwezi kumwelewa Lema
Lema anajaribu kutumia njia ambazo zitakinusuru chama katika mazingira magumu tuliyopo ila akili fupi haziwezi kuelewa
huwezi kumuelewa mwanasiasa kama huijui siasa
 
Kama huna akili huwezi kumwelewa Lema
Lema anajaribu kutumia njia ambazo zitakinusuru chama katika mazingira magumu tuliyopo ila akili fupi haziwezi kuelewa
Unafikiri Lissu alishindwa alishindwa kutumia njia hizo ili kuita hiyo unayosema kunusuru chama. Siasa za kidalali zimekataliwa, zikiongozwa na Lissu na Heche
 
Shida ya viongozi wa CHADEMA ni uchanga wa uelewa wa siasa.

Na kusikiliza wanaharakati uchwara.

Miaka hiyo ya mjadala wa katiba (yours truly) nilikuwa nawaambia bandugu; muhimu kwenye katiba mpya ni kupunguza madaraka ya raisi.

Wanaharakati wa wakati huo wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji and other stupid vita yao ilikuwa serikali ya majimbo bara na serikali tatu za muungano.

Hakuna hata mmoja alikuwa anapigania kupunguza madaraka ya raisi.

Na hiyo rasimu ya Warioba aijagusia kuondoa madaraka ya raisi. Ni rasimu ya ujinga mtupu if you know anything about politics.

The whole thing is nonsense, Lissu anaumia bure.

Hata kifo cha Alute ni miscalculated moves za wanaharakati kumtaka aropoke aliyo ropoka kufanya watu wajihami.

Kaazi kweli kweli
Alute alikuwa Mgonjwa...tusiunganishe scene
 
Unajua watanzania wangapi wa umri wa Alute Lissu, wanaishi na old age medical conditions.

Na what it takes to exacerbate the condition to cause death?

Hili sio jukwaa la kuandika ujinga kama hujui pathophysiology ya magonjwa.

Unadhani watu ufariki tu kishamba kisa wanaishi na magonjwa.
 
Shida ya viongozi wa CHADEMA ni uchanga wa uelewa wa siasa.

Na kusikiliza wanaharakati uchwara.

Miaka hiyo ya mjadala wa katiba (yours truly) nilikuwa nawaambia bandugu; muhimu kwenye katiba mpya ni kupunguza madaraka ya raisi.

Wanaharakati wa wakati huo wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3 and other stupid vita yao ilikuwa serikali ya majimbo bara na serikali tatu za muungano.

Hakuna hata mmoja alikuwa anapigania kupunguza madaraka ya raisi.

Na hiyo rasimu ya Warioba aijagusia kuondoa madaraka ya raisi. Ni rasimu ya ujinga mtupu if you know anything about politics.

The whole thing is nonsense, Lissu anaumia bure.

Hata kifo cha Alute ni miscalculated moves za wanaharakati kumtaka aropoke aliyo ropoka kwenye interview aliyofanya kufanya watu wajihami.

Kaazi kweli kweli
Hauko sahihi.

Tokea enzi za nyenzi.com watu tumekuwa tukisema kuwa urais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba iliyopo ni umungu mtu.

Sikumbuki mtu yeyote aliyekuwa pro Katiba mpya ambaye alikuwa halizingumzii hilo suala la kupunguza madaraka ya Rais.

Unaweza labda kuweka ushahidi wa hao ambao walikuwa hawazungumzi kuhusu kupunguza hayo madaraka?

Mtu ambaye sikumbuki yeye kuwa pro Katiba mpya ni Mzee Mwanakijiji.

Wengine wote waliokuwa wanazungumzia Katiba mpya, moja ya hoja zao ilikuwa ni madaraka makubwa ya Rais.
 
Unajua watanzania wangapi wa umri wa Alute Lissu, wanaishi na old age medical conditions.

Na what it takes to exacerbate the condition to cause death?

Hili sio jukwaa la kuandika ujinga kama hujui pathophysiology ya magonjwa.

Unadhani watu ufariki tu kishamba kisa wanaishi na magonjwa.
What do you know about physiology?let alone about spot diagnosis....kaa kimya kwenye sayansi hiyo kwa sababu utaumbuka...rudi kwenye mada dunderhead!
 
Hauko sahihi.

Tokea enzi za nyenzi.com watu tumekuwa tukisema kuwa urais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba iliyopo ni umungu mtu.

Sikumbuki mtu yeyote aliyekuwa pro Katiba mpya ambaye alikuwa halizingumzii hilo suala la kupunguza madaraka ya Rais.

Unaweza labda kuweka ushahidi wa hao ambao walikuwa hawazungumzi kuhusu kupunguza hayo madaraka?

Mtu ambaye sikumbuki yeye kuwa pro Katiba mpya ni Mzee Mwanakijiji.

Wengine wote waliokuwa wanazungumzia Katiba mpya, moja ya hoja zao ilikuwa ni madaraka makubwa ya Rais.
That’s not rocket science rasimu ya jaji Warioba na madaraka ya raisi sio shida zake.

If anything sehemu kubwa ya mapendekezo ya rasimu yake ni maswala ambayo hakuna nchi duniani inaweza guarantee

Else I can attest at the time I was the only member advocating madaraka ya raisi ni shida. Wakati wengine shida yao ikiwa serikali ya majimbo.

I remember that for certain.
 
ni mpuuzi,mwendawazimu na gaidi anayetaka madaraka ya Rais yapunguzwe ...Unataka apunguziwe nani ???ili afanyie nini??
Lazima awepo mtu/kiumbe ambaye anakasamiwa NGUVU za kipekee na za maamuzi ya mwisho ili nchi na dunia iwe salama kwa wote.
 
Back
Top Bottom