Lema ametuma ujumbe mzito kwa wote walio nyuma ya Mange!!

Lema ametuma ujumbe mzito kwa wote walio nyuma ya Mange!!

Nchi hii kuna machizi mengi sana na ccm itanendelea kutawala kwa sababu watz wengi ni wanafiki,machizi na waoga.Wazee wetu wangekua na unafiki kama huu wasingeweza kuwaondoa wakoloni.
 
Kama huna akili huwezi kumwelewa Lema
Lema anajaribu kutumia njia ambazo zitakinusuru chama katika mazingira magumu tuliyopo ila akili fupi haziwezi kuelewa
Lema ni mpiga dili, acheni kuremba mwandiko...
Kila siku vijana wao wanatekwa na kuuawa kikatili, halafu anaandika barua ya kichawa ya pole kwenda msibani... yule jamaa ni ms3ng3 na unabii wake fake...

Ameanza kupiga chenga kwamba anatafuta siasa za amani baada ya kushtukiwa....
 
Punguza upotoshaji. Yule Mzee mgonjwa. Acha stori za vijiweni. Waliouawa wanajulikana.
Hata kama ni mgonjwa, suala la ndugu yake kwa anayopitia ilipelekea pia hali yake ya kiafya kudhoofika zaidi...

Japo naamini kuna mkono wa mtu..

Mzee Warioba hadi anaanguka jukwaani na kuzirai lakini yupo anaendelea kudunda, how comes huyu katoka kweye interview sasa kifo kimemkuta?
 
Maandamano lazima yawe na justification. Oct 29 yalitokea kwa sababu ya justification.
Justification ! Sio kwa sababu ya Mange wala si kwa sababu ya other KEYPADS WARRIORS ?!
That’s it !
Sasa tumefikaje hapo na tunatokaje hapo ndio sehemu inayohitaji Akili kubwa sio zile Akili za mihemko !
 
Tatizo baadhi yetu Keypads Warriors tunajifanya kujua sana kuliko The Warriors on the Ground 😳🙄 !
 
Wanaharakati wanawatesa Sana CCM. Ndio maana hapa kuna watu watatumua nguvu zote kushawishi Chadema ione wanaharakati ni shida.
Baada ya hapo CCM itawamaliza Chadema kirahisi sana Kama walivyofanya kwa CUF na NCCR.
Uwepo wa Wanaharakati na Diaspora unawatesa CCM. Hawana control na haya makundi mawili.
Hiyo ndio tofauti ya Sasa nia miaka 20 iliyopita.
 
Wewe ulitaka huo mjadala nikakuonya sasa hivi unaukimbia...dunderhead
Nje ya mada.
Kama wewe ni daktari .....tumepigwa!

Wagonjwa wanaopitia mikonini mwako wanakiona cha Mtema kuni.
 
Kama huna akili huwezi kumwelewa Lema
Lema anajaribu kutumia njia ambazo zitakinusuru chama katika mazingira magumu tuliyopo ila akili fupi haziwezi kuelewa
Wewe ni CCM, tujuze tu ni wa tawi gani.
Aliyewaweka kwenye mazingira magumu nyie wenye akili ndefu anataka mfanye hilo la lema wenu
Btw, sasa hivi lema siyo mwizi wa magari mstaafu kama mnavyomrejea mkiwa na uniform zenu za kijani na njano?
 
Nachangia JF kwa zaidi ya 20 waulize mods ata kwa IP yangu watakwambia 98% ya michango ya ni siasa.

2% iliyobaki ni international forum, habari na business: Yaani mimi na malaya wa chitchat if only.

Uvumilivu ni kwamba JF lazima ili kudumu lazima liwe jukwaa la watanzania halisi.

Or else niulizie mimi na malaya wa chitchat wanaochangia humu kwenye siasa (god knows) how I hate them.

Ushawahi kuniona mimi chitchat au nina mazoea na Malaya yeyote au wachangiaji wa chitchat.

Hujui tu ni kiwango gani Sipendi mazoea na watu wajinga wajinga kwenye maisha yangu,

Actually ndio sababu ya kupunguza kuchangia JF ni sababu ya kujadiliana na mataahira kama wewe.

Sio mimi tu, ndio sababu ya msingi ya watu wengi kupoteaJF ni kukwepa ku-deal na sakapoko kama wewe.

Yaani mnakera hamjui tu

But then ndio watanzania ambao JF lazima iwafikie.
povu la nini?mbona sijawahi kukuona kwenye mijadala ya jukwaa la siasa kwa narrative na tone hii?
 
Shida ya viongozi wa CHADEMA ni uchanga wa uelewa wa siasa.

Na kusikiliza wanaharakati uchwara.

Miaka hiyo ya mjadala wa katiba (yours truly) nilikuwa nawaambia bandugu; muhimu kwenye katiba mpya ni kupunguza madaraka ya raisi.

Wanaharakati wa wakati huo wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3 and other stupid vita yao ilikuwa serikali ya majimbo bara na serikali tatu za muungano.

Hakuna hata mmoja alikuwa anapigania kupunguza madaraka ya raisi.

Na hiyo rasimu ya Warioba aijagusia kuondoa madaraka ya raisi. Ni rasimu ya ujinga mtupu if you know anything about politics.

The whole thing is nonsense, Lissu anaumia bure.

Hata kifo cha Alute ni miscalculated moves za wanaharakati kumtaka aropoke aliyo ropoka kwenye interview aliyofanya kufanya watu wajihami.

Kaazi kweli kweli
Hivi ni kama mtu unajisikia tu kutaja majina au basi tu?
 
Back
Top Bottom