Lema ametuma ujumbe mzito kwa wote walio nyuma ya Mange!!

Lema ametuma ujumbe mzito kwa wote walio nyuma ya Mange!!

What do you know about physiology?let alone about spot diagnosis....kaa kimya kwenye sayansi hiyo kwa sababu utaumbuka...rudi kwenye mada dunderhead!
First learn the difference between pathophysiology and physiology.

Hayo mengine siongei bali naweza yadadavua (pathophysiology) ya magonjwa ya uzeeni and it takes to end a life.

Didn’t I tell you kunifuata mimi huku nikutaka kukuthibitishia kifo cha ‘Alute Lissu’ ni foul play.

Do you even know what does understanding of “pathophysiology” of medical conditions entails (not all doctors know that without referring to their books, on all conditions)..
 
ni mpuuzi,mwendawazimu na gaidi anayetaka madaraka ya Rais yapunguzwe...Unataka apunguziwe nani ???ili afanyie nini??
Lazima awepo mtu/kiumbe ambaye anakasamiwa NGUVU za kipekee na za maamuzi ya mwisho ili nchi na dunia iwe salama kwa wote.
Pole, kama huo ndio msimamo wako.

No further comment in response to that.

Just sad.
 
Else I can attest at the time I was the only member advocating madaraka ya raisi ni shida. Wakati wengine shida yao ikiwa serikali ya majimbo.

I remember that for certain.
Saying it so, doesn’t make it so.

I can also say the same thing.

Where are your receipts?
 
ni mpuuzi,mwendawazimu na gaidi anayetaka madaraka ya Rais yapunguzwe...Unataka apunguziwe nani ???ili afanyie nini??
Lazima awepo mtu/kiumbe ambaye anakasamiwa NGUVU za kipekee na za maamuzi ya mwisho ili nchi na dunia iwe salama kwa wote.
🖕🖕
 
Kutaka mabadiliko ya kisiasa hapa Tanzania kwa mazungumzo ya kidemokrasia haitawezekana kamwe maana kwa nini mmoja awe na notebook yake mezani mwingine kaficha panga chini ya meza?
Sasa ni lazima kujifunza vitabuni kuwa ilikuwaje Jerry Rawlings wa Ghana alifanikiwa kuifanya nchi yake kuheshimika? Au mtu au kundi likamuone Ibrahim Traore wa Bukina Faso atufundishe nini tufanye ili tuwaachie watoto wetu nchi nzuri na ya kuheshimika?
 
Saying it so, doesn’t make it so.

I can also say the same thing.

Where are your receipts?
Unfortunately ID’s change over time.

At the time I was the only member advocating for the reduction of presidential powers.

Not sure if I was Eric Cartman or what username.

I can’t hold to that, but then I always say things which happen.

I am certain I was the first to say in this forum huyu mama box; tumepigwa. Na huko mbele ata vuruga hakuna atakaeweza mvumilia.

Surely you can remember me stating those claims before anyone. If not I have no time to argue (it is, what it is).
 
First learn the difference between pathophysiology and physiology.

Hayo mengine siongei bali naweza yadadavua (pathophysiology) ya magonjwa ya uzeeni and it takes to end a life.

Didn’t I tell you kunifuata mimi huku nikutaka kukuthibitishia kifo cha ‘Alute Lissu’ ni foul play.

Do you even know what does understanding of “pathophysiology” of medical conditions entails (not even doctors know that without referring to their books, on all conditions)..
Dunderhead!
Physiology is normalcy....Pathophysiology is ab-normalcy....Again ...do you recognize Spot Diagnosis?
 
Dunderhead!
Physiology is normalcy....Pathophysiology is ab-normalcy....Again ...do you recognize Spot Diagnosis?
Aargh (acha kulazimisha mijadala ya vitu ambavyo) you have no knowledge off.

The nonsense
 
Hii press ilikua ni ya Lema na sio chadema muelewe na ndiyo maana ame adress zaidi ishu zinazomkabili kuna unafiki sana kwenye hili taifa watu wanachoneana bila hofu rafiki wa karibu ni adui yako ndiyo anabeba taarifa huku anapeleka zinapohitajika
 
Unfortunately ID’s change over time.

At the time I was the only member advocating for the reduction of presidential powers.

Not sure if I was Eric Cartman or what username.

I can’t hold to that, but then I always say things which happen.

I am certain I was the first to say in this forum huyu mama box; tumepigwa. Na huko mbele ata vuruga hakuna atakaeweza mvumilia.

Surely you can remember me stating those claims before anyone. If not I have no time to argue (it is, what it is).
Hebu ondoka kwenye forum hii nenda jukwaa la mapenzi huko ...hatutaki walevi kwenye hoja za maana
 
Hebu ondoka kwenye forum hii nenda jukwaa la mapenzi huko ...hatutaki walevi kwenye hoja za maana
Nachangia JF kwa zaidi ya 20 waulize mods ata kwa IP yangu watakwambia 98% ya michango ya ni siasa.

2% iliyobaki ni international forum, habari na business: Yaani mimi na malaya wa chitchat if only.

Uvumilivu ni kwamba JF lazima ili kudumu lazima liwe jukwaa la watanzania halisi.

Or else niulizie mimi na malaya wa chitchat wanaochangia humu kwenye siasa (god knows) how I hate them.

Ushawahi kuniona mimi chitchat au nina mazoea na Malaya yeyote au wachangiaji wa chitchat.

Hujui tu ni kiwango gani Sipendi mazoea na watu wajinga wajinga kwenye maisha yangu,

Actually ndio sababu ya kupunguza kuchangia JF ni sababu ya kujadiliana na mataahira kama wewe.

Sio mimi tu, ndio sababu ya msingi ya watu wengi kupoteaJF ni kukwepa ku-deal na sakapoko kama wewe.

Yaani mnakera hamjui tu

But then ndio watanzania ambao JF lazima iwafikie.
 
Politicians eeh?! = Prostitutes, liars, gamblers, not trustworthy, thieves, murderers, snakes, rogues, 2 faced, traitors, con artists.......
 
Kama huna akili huwezi kumwelewa Lema
Lema anajaribu kutumia njia ambazo zitakinusuru chama katika mazingira magumu tuliyopo ila akili fupi haziwezi kuelewa
Kama wewe umeelewa hivyo usiite wengine akili ndogo. Unaweza kuwa wewe ndio akili ndogo. Kwa maana nyingine wewe na Lema mnataka CHADEMA waipigie magoti CCM hii ya watekaji na wauaji. Huo ndio ujinga wa mwisho.
 
Shida ya viongozi wa CHADEMA ni uchanga wa uelewa wa siasa.

Na kusikiliza wanaharakati uchwara.

Miaka hiyo ya mjadala wa katiba (yours truly) nilikuwa nawaambia bandugu; muhimu kwenye katiba mpya ni kupunguza madaraka ya raisi.

Wanaharakati wa wakati huo wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3 and other stupid vita yao ilikuwa serikali ya majimbo bara na serikali tatu za muungano.

Hakuna hata mmoja alikuwa anapigania kupunguza madaraka ya raisi.

Na hiyo rasimu ya Warioba aijagusia kuondoa madaraka ya raisi. Ni rasimu ya ujinga mtupu if you know anything about politics.

The whole thing is nonsense, Lissu anaumia bure.

Hata kifo cha Alute ni miscalculated moves za wanaharakati kumtaka aropoke aliyo ropoka kwenye interview aliyofanya kufanya watu wajihami.

Kaazi kweli kweli
Acha upotoshaji wewe. Allute alikuwa ana umwa muda mrefu muondoe kwenye upuuzi wako. Hivi aliye haribu mchakato wa Katiba Mpya ni nani? Unaongea kana kwamba watu wawili wangeweza kupitisha katiba mpya, ila wale wajinga wa bunge la Katiba huwaoni?.
 
Unajua watanzania wangapi wa umri wa Alute Lissu, wanaishi na old age medical conditions.

Na what it takes to exacerbate the condition to cause death?

Hili sio jukwaa la kuandika ujinga kama hujui pathophysiology ya magonjwa.

Unadhani watu ufariki tu kishamba kisa wanaishi na magonjwa.
Punguza upotoshaji. Yule Mzee mgonjwa. Acha stori za vijiweni. Waliouawa wanajulikana.
 
Back
Top Bottom