Bendera yenye nembo ya TRA na picha ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa na ujumbe wa kodi wa “TUWAJIBIKE kulipa kodi kwa hiari kwa maendeleo ya Taifa letu” imefika katika kilele cha mlima Kilimanjaro tarehe 09 Desemba, 2024, mlima mrefu kuliko yote...
Leo tunapoadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika kupata uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961, tunakumbushwa juu ya safari ya kujitawala, mshikamano, na kujenga taifa lenye matumaini.
Ni siku ya kukumbuka juhudi za mashujaa wetu waliopigania uhuru kwa nia ya kuleta haki, usawa, na maendeleo kwa kila...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) leo imepokea ziara ya Naibu Waziri Msaidizi wa Shirika la Kimataifa la Dawa za Kulevya na Masuala ya Sheria (INL), Maggie Nardi, pamoja na ujumbe wake.
Ziara hiyo imelenga kuipongeza DCEA kwa mafanikio makubwa katika kudhibiti biashara...
Wanaukumbi.
Thirty three Zionist captives were killed and some of them are missing, because of the criminal Netanyahu and his fascist army. By continuing your insane war, you may lose your captives forever. Do what you must do before it is too late.
==============
Hamas yatuma ujumbe kwa...
Hapa kuna aya za Biblia zinazokemea tawala dhalimu zinazofanya mauaji, unyanyasaji, au kuteka watu wasio na hatia:
1. Kutoka 20:13 "Usiue."
Hii ni mojawapo ya Amri Kumi ambayo inakemea waziwazi mauaji ya watu wasio na hatia.
2. Mhubiri 3:16-17
"Tena nikaona chini ya jua mahali pa hukumu...
Oh na na naaaaa! Eyaaaah INACHOMA
1.
Nimeajiriwa kwenye Ajira niliyojiajiriii,
Na ninasifiwa utendaji Wangu wa kazi ni nzuri,
Navumilia huenda nitapata kivuli,
Nitapata kivuli imeshakata miaka miwiliii,
Ndimu na ugali,maisha Makali,elimu iko mbaliii,
Lile jasho la halali,mpaka kabaliiii,
Bosi...
Salaam, Shalom!!
Palikuwa na ujumbe usemao:
"Bila Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi, hapatafanyika uchaguzi wowote wa HAKI ( uchaguzi utayeyuka).
Swali: 1.
Palikuwapo uchaguzi, au uchaguzi uliyeyuka na kuota mbawa?
Swali no 2.
Na kama uchaguzi uliyeyuka, lini tutafanya uchaguzi huo wa...
Wanabodi
Huu ni ujumbe kwa wote waliopokea ujumbe huu siku ya leo
“Habari Ndg. PASCAL ANDREW MAYALLA,
Mimi Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT.
Kwa heshima napenda kukumbusha kesho tarehe 27 Novemba, 2024 kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa...
CHANGAMOTO ZA WALIMU KATIKA TAIFA LETU LA TANZANIA..
"kutokana na uhalisia kwamba hali ya elimu kuzidi kuwa mbaya nchini hali hii imetokana na Changamoto zinawakabili walimu kama ifuatavyo:-
1: miundo mbinu mibovu.Hali hii husababishwa na serikali na wananchi kutotilia mkazo katika swala...
Moderators please, can you spare this clip for the benefit of democracy and strong opposition parties!
Makosa ya NCCR Mageuzi wakati wa MREMA LYATONGA yasirudiwe kamwe na upinzani.
https://www.youtube.com/watch?v=ZkYXvbAX0mY
Erythrocyte ,
Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
Muziki wa injili umekuwa sehemu muhimu ya utamaduni wa Tanzania kwa miongo kadhaa. Hata hivyo, wengi wamekuwa wakilinganisha nyimbo za injili za zamani na za sasa, huku wakidai kuwa nyimbo za zamani zilikuwa na ujumbe wenye nguvu zaidi na wa kina kuliko hizi za sasa.
Je, madai haya yana...
Kwenye geti la chuo kikuu Cha Cape Town nchini Africa kusini kuna maandish yasemayo"
"Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomic.
Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. "Ruhusu mbumbumbu waonekane wamefaulu na wasonge...
Toka Jana Jioni kumekua na Shida ya Internet Kwa maeneo ya Dar es salaam (Sijui mikoani) mpaka muda huu naandika tatizo ni lile lile!
Sijui changamoto hii itaisha saa ngapi, sijasoma Wala kusikia mahali mkieleza kwamba kutakua ama Kuna Tatizo la Mtandao.
Kwa sisi ambao Huwa tunajiunga na...
HABARI WAKUU WANGU WA JAMII FORUM!
Awali ya yote natumia fursa hii KUWASHUKURU sana kwa maoni yenu mliyokuwa mkinipatia tangu nilipoweka post ya kutengenezewa zengwe na mkuu wa shule na mzazi wa mwanafunzi mpaka nikafukuzwa kazi hivyo kuwaomba ushauri wa namna yoyote ile.
Kwa post hii ya Leo...
Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.