Askofu Nyaisonga kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) asema wanatambua Dunia nzima inahangaika kupambana na maradhi ya #COVID19 yanayosabishwa na #VirusiVyaCorona
Awahimiza Watanzania kutokuwa watumwa wa hofu na kuchukua tahadhari. Asema ni wajibu wa kila mtu kuufuata ukweli na...
Jill Biden ameweka alama za moyo na katika kila moyo ameandika ujumbe
Healing, Courage, Love, Compassion, Gratitude, Peace, Amor, Strength, Kindness, Family, Unity. Love Jill
Akitoa salamu zake za rambirambi wakati wa kumuaga mwendazake Nditiye, Spika wa bunge mh Ndugai amesema marehemu alimtumia meseji kwa njia ya simu akisema " mh Spika nimefanya ibada mara mbili nikikuombea kwa Mungu aendelee kukuweka hai kwa jinsi ulivyoniinua tangu niingie bungeni "
Spika...
Mh. Speaker, ningependa kufikisha ujumbe huu kwa ufupi sana. Nimeamua kuandika baada ya kukusikia kwa mara ya pili ukiongelea ugumu wa ajira kwa vijana.
Sitaki kujikita sana kwa wajibu wa serikali duniani kote kutengeneza ajira na kuhakikisha sekta binafsi inakuwa kwa kasi ili kutoa fursa za...
Wanajukwaa jumapili njema,
Hivi hii kitu vodacoma wameleta wakati mtu unapiga simu kwenda voda mnaionaje? Wameshindwa kutuma ujumbe mmoja kwa kila mteja waache kutupigia kelele kila tunapotaka kupiga simu?
Inafikia kiwango mpaka sasa mtu unaona tabu kupiga simu. Muda mwingine unapiga unaweka...
Hata mimi hapo zamani nilikuwa nawasema vibaya sana wakunga!
Ikanibidi nifanye utafiti; je lawama zile kwa wakunga zinawastahili!?
Katika chunguza chunguza niliweza kufika kwenye hospitali moja kama mme wa mzazi mmoja aliyekuwa leba kusubili kujifungua!
Nilifanikiwa kuwa karibu sana na...
Nilikuwa Nacheck game ya Simba kwa baba mwenye Nyumba ambaye ni shabiki wa Utopolo FC. Nimeshindwa kushangilia maana baada ya goli nimeonekana na uso wa tabasamu,
Mara nikamwona kasimama kaingia chumbani na kurudi na karatasi na kalamu Sijui alikuwa anataka kubeti lakini anasema ana ujumbe...
Ujumbe wa wazi wa Mkt Bavicha Taifa kwa Mhashamu baba Askofu Methodius Kilaini Askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba.
Na John Pambalu
Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismasi na mwaka mpya.
Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama...
Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismas na mwaka mpya.
Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama yalivyochapishwa katika gazeti la Mwananchi.
Umesema kutokana na changamoto za uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 umetaka tusameheane kwa yote yaliyotokea...
Mkeo amesafiri ameenda kula Sikukuu nyumbani. Anakutumia UJUMBE Kama huu.
Jana nilishindwa kukuwish heri ya mwaka mpya nilikua nangoja foleni iishe. Heri ya mwaka mpya mume wangu kipenzi najivunia kua na mume kama wewe, mchapakazi, mwenye upendo wa kweli, mvumilivu, smart man, mwelewa, usiejua...
Wasalaam wana jamvi
Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021
Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa.
namnukuu anasema
"Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia
Wapende wote
Sio wa kike anacheka wa...
Walezi wetu kiroho wametueleza nn leo makanisani?
Huku Kagera mafundisho yamejikita kwenye Mambo makuu manne;
1. Tuombe toba kwa Taifa letu
2. Tusameane
3. Tujifunze kuwasikiliza walio na mawazo tofauti na sisi
4. Tumuenzi kristo kwa kupendana
..huko ulipo Mambo ya rohoni yaliendeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.