Naomba tusome hii story ya Jerry Muro akijitetea baada ya kumkamatwa wakili nakumweka ndani kinyume kabisha na sheria.
DC anadai alifanyiwa vurugu, kwa Jerry Muro huyu afanyiwe vurugu tusione clip mtaani? Hata Wananchi anaowasingizia wasipige hata picha? Vijana mnapewa madaraka kwanini...
Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
Picha kama hii inaonesha ni namna gani vitu vitatu vinaweza kukutana kwa pamoja na kutoa ujumbe tofauti kabisa na ambao mpiga picha alikusudia(Perfect timing photography)
Object +Time+ Photographer
Mkuu Emmanuel Kasomi asante kwa kunikumbusha kuhusu hizi picha za namna hii. Wacha niweke hapa...
Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.
Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru.
Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na...
Ujumbe wangu ni huu:
Kusifiwa au kupongezwa ni haki ya kila mtu anaefanya vizuri licha ya kuwa haki hiyo haipo kikatiba wala kisheria. Lakini ukianza kujisifia mwenyewe au kutumia nguvu au watu ili usifiwe, haki hiyo hupotea, na kwakuwa haipo kisheria, huwezi na wala huna haki ya kuidai popote...
HATARI YA MTAWALA KUJIPA SIFA YA "mungu"
Kwa Mkono wa Robert Heriel.
Mwaka Juzi niliandika makala niliyoipa kichwa kisemacho "NJAMA ZA IKULU, HATA RAIS/MFALME ANAWEZA KUDANGANYWA"
Soma hapa 👉👉👉👉Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi
katika makala hiyo nilieleza kinaga ubaga namna...
Ujumbe wangu binafsi na maoni yangu binafsi Mimi Mtanzania mwenzenu kwenu enyi Watanzania wenzetu watu wa Chato.
Mimi binafsi Sina chuki Wala tatizo kuhusu nyinyi kuletewa maendeleo, kwani ni haki yenu na mnastahili Kama wanavyostahili Maeneo mengine ya Tanzania, kwa sababu nyie pia ni sehemu...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Jumanne Muliro amesema watu wawili wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 40-42 yaliyotokea katika mtaa wa Kanyerere kata ya Mkuyuni mkoani humo.
"Kando ya mwili wa marehemu kulikutwa ujumbe uliosomeka...
Katika hotuba yake kwenye mazishi ya JPM, Jakaya alisema:
"Mimi na wenzangu tuko na wewe. Tutume tutaitika. Usipotutuma tutaendelea na mambo yetu"- JK
My Take: wenzake kina nani? Mambo yao yepi?
TAREHE 17/03/2020
Tanzani ilitangaza rasmi kuvamiwa na janga la korona na taasisi zote za elimu kufungwa na hatua mbalimbali za tahadhari zikatolewa.
TAREHE 17/02/2021
Kifo cha makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar Hayati Maalim Seif Shariff Hamadi. (RIP)
TAREHE 17/02/2021
Kifo cha Katibu mkuu...
Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika.
Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua.
Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa kipaumbele na JPM ameshindwa kumlinda na husda za wazungu mpaka wakafanikiwa kumuondoa.
Waziri Ndugulile najua umechukua hii Wizara hivi karibuni. Baada ya kusimamia suala la vifurushi vizuri; nashauri sasa ugeukie Vibao vya Anuani za Makazi ili tuwe na mfumo rasmi wa utambuzi wa Makazi na zoezi hili liwe la lazima na liwe na vibao vya udongo inavyofanana kote nchini ili tuwe na...
Mwanamke ni sehemu muhimu ya jamii, awe ni mama, dada, binti, rafiki wa kike, nk
Siku ya Wanawake Duniani 2021 ina kampeni iliyo na kaulimbiu "SelectToChallenge".
Siku ya Wanawake Duniani ni siku ya kimataifa kuadhimisha mafanikio ya wanawake kijamii, kiuchumi, kitamaduni na kisiasa.
Hii ni...
Endapo umetapeliwa au umetumiwa ujumbe wa utapeli, tuma ujumbe husika na namba ya aliyekutapeli au kukutumia ujumbe wa utapeli kwenda 15040. Huduma hii ni bure.
Tushirikiane kutokomeza utapeli kupitia simu za mikononi.
Sambaza ujumbe huu
cc @TCRA_Tz
@ConsumerCcc
Waziri Mkuu ametilia shaka barakoa kutoka nje kuwa tujishonee wenyewe. Kuna watu wanabeza hii kauli, Kuna wanaodhihaki hata kutoa kauli chafu, kuna wanaotetea hii kauli kwasababu tu imetolewa na mwenzetu ktk serikali au chama. Kuna wanaoongea kwa hofu kwanini PM atoe kauli hii.
Kuna wanaofikiri...
Mseven adressing the nation
======
Rais Yoweri Museveni amewaonya wananchi wanaoenda kinyume na taratibu wakati huu wa vita dhidi ya #CoronaVirus akisema, Mungu ana kazi nyingi na hawezi kuwa Uganda tu akiwaangalia wajinga
Ameongeza kuwa Mungu amewalinda na hakuna kifo...
====
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA
KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.