Vikwazo vya kiuchumi si tatizo Sana kwa bilionea Paul, vikwazo vya madaraka ni kikwazo kikubwa kufikia ndoto zake hapa Duniani. Upo mkwamo ndani yake na Hana budi kuvuka vinginevyo mkwamo huu utafifisha kila hatua aliyowahi kupiga kwenye siasa.
Tunajifunza kwa waliofanikiwa,naamu tunajifunza...
LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO:
Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti.
Ujumbe huo. Watanzania inafika point huna pakupumua kila sehemu tozo bank tozo kwenye...
Habari zenu ndugu wana JF, leo usiku niliona maono au niliota ndoto mtu mwenye silaha ya kivita (SMG, AK47) akimnyooshea hayati Magufuli kana kwamba anataka kulipa kisasi na watu wanaoshuhudia wakiwa hawana la kufanya. Baadaye ilionekana kama hayati alifanikiwa kukimbia na yule mtu kumkimbiza...
"Umefikia kikomo au umesitisha malipo ya kadri umavyotumia.
Tafadhali jiunge na bando lingine au ruhusu matumizi. Piga *149*01#>8 - Huduma Xtra> Matumizi Bila Bando."
Huu ujumbe wenu unakera mno. Yaani mnatuma ujumbe saa 7 z usiku mara saa 8 usiku mara saa 9 usiku mara saa 10 alfajiri yaani...
Mtandao wa WhatsApp unao milikiwa na kampuni ya facebook unafanya maboresho kwenye ujumbe sauti yaani voice notes.
Awali mtandao huo ulikuwa unalazimika mtumiaji kurudi kwenye Application yake endapo akitumiwa ujumbe wa sauti.
Hivyo mwanzo ukitumiwa ujumbe wa sauti endapo haupo kwenye...
Wana msemo wao wanasema "eyes wide shut"; ni "wide" (wazi) lakini hapohapo "shut" (yamefungwa)
Yaani wanadai tuko "macho kodo lakini hatuoni"
Na ndio maana wanatuita "sheeple" au kondoo;
na pia "goyim".
Ukiweza, tafadhali tazama scene hii mojawapo kwenye drama ya Utopia,
inayoitwa "Utopia...
Kwako mheshimiwa balozi wa China Tanzania
Naamini huu ujumbe utakufikia
Mimi nakuuliza swali, kwa nini ndani ya nchi yenu China kumekuwa na kampeni mbaya kabisa za kibaguzi dhidi ya watu weusi, mnafikia hatua za kuwafundiha watoto wenu chuki.
Kwa nini mnawabrainwash watoto wenu kupitia chuki...
Mwenyekiti wa Chadema Mbeya Mjini , Mh John Mwambigija alikuwa miongoni mwa wanachama wa Chadema waliosafiri hadi gereza la Ukonga kumuona Mwamba Freeman Mbowe anayeshikiliwa kwenye gereza hilo akituhumiwa kwa makosa ya Ugaidi.
Baada ya kuonana naye Mh Mbowe alimpa ujumbe Maalum Mwambigija ili...
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada.
Chanzo: Swahili times
My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti.
===
Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo...
Waziri wa Tehama Dkt. Ndugulile amesema kuanzia sasa ni namba 100 pekee itatumika kwa mawasiliano ya kampuni ya simu na mteja wake.
Hii ni katika lengo la kuondoa utapeli na wizi na kwa maana hiyo namby za kawaida haziruhusiwi kutumika.
Pamoja na kutokuwa Muslim ila huwa nasikiliza mara kwa mara mafundisho ya Mashehe, huwa wanakuwa na maneno yakutoa ujumbe mzuri sana kwa jamii, hasa vijana wa kileo. Tunajisahau na kusahau tulikotoka hasa tukiwa na vijisenti vya kubadilisha mboga.
Nawewe msikilize huyu Mheshimiwa.
Jamani mimi leo naandika ni siku ya 23 tangia nipone au kupata nafuu na ugonjwa wa korona, pia nikamwambukiza mke wangu na mamaangu mzazi alikuwa amekuja kututembelea pia ikampiga na binti wa kazi pia aikumbakiza na shemeji alikuwa amkuja salimia naye akubaki salama, yaani nyumba nzima...
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete yupo nchini Comoro na leo amekutana na Rais wa nchi hiyo Azali Assoumani na kumpatia Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais Samia Suluhu Hassani.
Habari
Mimi ni mtaalamu wa masuala ya I.T
Nimefanikiwa kutengeneza mobile apps za food delivery kama ambavyo ilivyokuwa inafanya kazi jumiafood au ubereats
Hapa kunakuwa na apps 3 ambazo ni
1.application ya mteja anaye order chakula
2.application ya mmiliki wa restaurant ambaye anakuwa...
ASKOFU MWAMALANGA ATUMA UJUMBE MZITO KUHUSU FREEMAN MBOWE!
"Mpendwa Askofu Mwamakula, nakutumia ujumbe huo ninataka usomwe na watu wote!
Kukamatwa kwa Mheshimiwa Freeman Mbowe na kubambikiwa Kesi ya Ugaidi ni kitendo cha kulibandika kinyesi Taifa la Tanzania mbele ya mataifa. Kwetu sote...
Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali?
Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
Kuna mwanasiasa kasema mkishanunua IST na VItz na kuanza kuvaa kaptura fupi weekend mnajiona mmepatia sana maisha, mnajihisi ni middle class kumbe ni masikini wenye nafuu! Mjumbe hauwawi, weekend njema!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.