Spy Catcher: Kuna Ujumbe wa siri ulitolewa hapa na Dkt; Nchimbi kabla Kujiuzulu kwake. | Code +255

mrxtz2026

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2026
Posts
609
Reaction score
1,314
Mnamo mwaka 1987 Nchini uingereza kuliibuka tetesi kwamba Idara ya ujajusi wa ndani MI5 kupitia kwa maafisa wake walihusika katika mpango wa kumdhoofisha aliekuwa waziri mkuu "Harold Wilson", na kumlazimisha Kuondoka Madarakani kwa kujiuzulu.

Jina la Spy Catcher Linasomeka moja ya vitabu katika Maktaba ya mzee Joseph Sinde Warioba wakati alipotembelewa na Dkt; Nchimbi tarehe 04 July 2026 na ni kabla ya kutoa taarifa ya kutaka kujiuzulu, tarehe 25 Agosti 2026.

Spy Catcher.jpg

Nakala Original
17155.jpg

8ed8cdf0-a2cb-11f1-a291-b542ee92de7c.jpg.webp

Embu tuachane na picha hizo na tuegemee kwenye Kitabu chenyewe, Kinausu nini haswa..? Na kwa mtazamo wa kilichotokea Je kuna ujumbe ulitolewa kabla ya jambo husika kutokea...?

Kitabu cha Spy Catcher kiliandikwa na Afisa muandamizi wa idara ya MI5 "Peter Wright ", Afisa Muhimu katika ujasusi wa MI5 kwa wakati huo, aliandika kitabu hiki kwa kuamua kutema Bungo baada ya madudu, mabaya na mipango ya siri iliyopita miiko ya Usalama wa taifa aliyoiona, Kwaajili ya maslahi mapana ya taifa na usalama wa watu wake, pia ni kutokana na unyama na kutwezwa kwa utu wa kibinadamu ndipo akaamua kujitenga na kumwaga mboga yote.

Serikali ya Uingereza ya wakati huo, ilipambana kuhakikisha kitabu akifiki kwa walaji kwa kupiga banning za nguvu, Yaani kufungia vyombo vya habari vilivyotaja jina Spy Catcher, kuwafunga wapinzani waliotumia yale yaliyondani ya kitabu kukosoa serikali na pia walifunga movie production company zilizotumia sehemu ya kitabu hicho kuunda Movie za kipelelezi.

Lakini kama unavyojua kadri unavyowaambia watu Pombe haifai basi ndio wanaongeza kuinywa ili wajioone madhara yake wenyewe.

Nguvu zote zilizotumika kudhibiti ziliangukia Sifuri na baadae kitabu kikapenya kwa kasi kubwa sana ndani na njee ya Uingereza kiasi cha kuuza millions of Copy kwa muda mfupi sana.

Hatimae baadae, House of Lords iliondoa kizuizi kikubwa dhidi ya magazeti ya Uingereza mwaka 1988 na magazeti hayo yakaendelea kuchapisha habari kuhusiana na kitabu hicho.
Ruhusa hiyo haikutolewa hivi hivi bali ni kwa juhudi za wanasheria mbaka mahakama ikaruhusu kuachiwa huru kwa kazi za kiandishi maana si tu ilikuwa ni siri bali ilihusishwa na hakimiliki za Uandishi. (Hama kweli Mahakama yenye kuheshimu sheria, na haki za watu haiwezi kufungwa na aibu za viongozi wa kisiasa walio Madarakani).

"It's F****ng too late to catch the moving train",

Kitabu kinabeba siri kadhaa kama,
• Operation ya MI5 dhidi ya watu waliotuhumiwa kuwa ni majajusi ya Soviet..
• Tuhuma kwamba Robert Hollis aliyewai kuwa Mkuu wa MI15 kwamba alikuwa ni Mmoja wa Soviet, ....
• Tuhuma kuhusu namna Siasa ilivyoingizwa ndani ya vyombo vya Ujasusi mbaka kufikia kuwa ujasusi ni unafki na mwisho kuuwana wenyewe kwa wenyewe......

Kitabu kimeeleza mambo mengi sana kiasi siwezi kuyamaliza yote hapa lakini ninachoweza kusema nini tunaweza kukipata kutokana na picha hii.....?

Nawakaribisha majasusi wote wa JF, Wachambuzi wa maswala ya Demokrasia ya kisiasa, Waandishi wa habari na Raia yeyote atakaekuwa na mtazamo wa njee ya box kutoa maoni yake kuhusu hili. Mimi maoni yangu ni hayoapo chini.

Kwa maoni yangu Mimi nadhani hiki kitabu hakikuwepo kwa bahati mbaya, bali Nchimbi alienda kuchukuwa Ushauri kuhusu kujiuzulu kutokana na mashinikizo dhidi yake,.....

Kwa maoni yangu Dkt; Nchimbi alijaribu kuueleza umma kwamba Nalazimishwa kujiuzulu kama ilivyotokea kwa kile kilicho ndani ya kitabu hiki hapa,....

Kwa moani yangu na kile nilichotokea kwa gazeti la mwanahalisi kufungiwa baada ya kuandika "Nchimbi agoma kujiuzulu", napata jibu la moja kwa moja kwamba Nchimbi hakuachia ngazi kwa ridhaa yake bali kwa shinikizo,.....

Kwa maoni yangu Kauli za Nchimbi kuhusu katiba mpya ndio sababu kuu ya Kuradhinishwa kujiuzulu,........ "Pambaneni mpate katiba mpya",

vielezo Picha vilivyotumika ilikuwa ni 04 July 2026, yaani miezi miwili kabra ya Kujiuzulu, na pia vielezo picha vilivyotumika kwenye Thread hii vimepakuliwa kutokea Kwenye Tovuti iliyo nyuma ya maandishi haya Hapa

UPDATED THREAD
Soma
Update ya Uzi huu baada ya kuona vitabu vingine viwili na wadau kuibua hoja Kuhusu vitabu hivyo. Mwisho Nikaoa niongezee uchambuzi, upekuzi na kuunganisha dots za vitabu hivyo. Vitabu hivyo ni
•. Spy Catcher
1. Power of Woman
2. The Icarus Agenda
UPDATED THREAD

PIA SOMA:
Pendekezo la katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania lenye muundo wa dola wenye mihimili minne ya kitaifa.
***********************
Uhuru wa Mahakama Haulindwi kwa Maneno, Bali kwa Muundo: Kwanini Kauli ya kikatiba kwamba "Mahakama ni huru", bila muundo bora ni Udhaifu mkubwa..?
************************
Je wajua Taifa bila mihimili minne huru na imara ni taifa Mfu..? "Huu ulikuwa ni uzi wa mzee Pascal Mayalla nami nikaweka maoni yangu kuunga mkono hoja zake .
*************************
 
Mname mwaka 1987 Nchini uingereza kuliibuka tetesi kwamba Idara ya ujajusi wa ndani MI15 kupitia kwa maafisa wake walihusika katika mpango wa kumdhoofisha aliekuwa waziri mkuu "Harold Wilson", na kumlazimisha Kuondoka Madarakani kwa kujiuzulu.

Jina la Spy Catcher Linasomeka moja ya vitabu katika Maktaba ya mzee Joseph Sinde Warioba wakati alipotembelewa na Dkt; Nchimbi tarehe 04 July 2026 na ni kabra ya kutoa taarifa ya kutaka kujiuzulu, tarehe 25 Agosti 2026.

View attachment 3669182

Nakala Original
View attachment 3669183

View attachment 3669184

Embu tuachane na picha hizo na tuegemee kwenye Kitabu chenyewe, Kinausu nini haswa..? Na kwa mtazamo wa kilichotokea Je kuna ujumbe ulitolewa kabra ya jambo husika kutokea...?

Kitabu cha Spy Catcher kiliandikwa na Afisa muandamizi wa idara ya MI15 "Peter Wright ", Afisa Muhimu katika ujasusi wa MI15 kwa wakati huo, aliandika kitabu hiki kwa kuamua kutema Bungo baada ya madudu, mabaya na mipango ya siri aliyoona ni mibaya kwa maslahi ya pamoja kama taifa au yenye kushiliki katika kutweza utu wa mwanadamu.

Serikali ya Uingereza ya wakati huo, ilipambana kuhakikisha kitabu akifiki kwa walaji kwa kupiga banning za nguvu, kufungia vyombo vya habari vilivyotaja jina Spy Catcher, kuwafunga wapinzani waliotumia yale yaliyondani ya kitabu kukosoa serikali na pia walifunga movie production company zilizotumia sehemu ya kitabu hicho kuunda Movie za kipelelezi.

Lakini kama unavyojua kadri unavyowaambia watu Pombe haifai basi ndio wanaongeza kuinywa ili wajioone madhara yake wenyewe.

Nguvu zote zilizotumika kudhibiti ziliangukia Sifuri na baadae kitabu kikapenya kwa kasi kubwa sana ndani na njee ya Uingereza kiasi cha kuuza millions of Copy kwa muda mfupi sana.

Hatimae baadae, House of Lords iliondoa kizuizi kikubwa dhidi ya magazeti ya Uingereza mwaka 1988 na magazeti hayo yakaendelea kuchapisha habari kuhusiana na kitabu hicho. Ruhusa hiyo haikutolewa hivi hivi bali ni kwa juhudi za wanasheria mbaka mahakama ikaruhusu kuachiwa huru kwa kazi za kiandishi maana si tu ilikuwa ni siri bali ilihusishwa na hakimiliki za Uandishi. (Hama kweli Mahakama yenye kuheshimu sheria, na haki za watu haiwezi kufungwa na aibu za viongozi wa kisiasa walio Madarakani).

"It's F****ng too late to catch the moving train",

Kitabu kinabeba siri kazaa kama,
• Operation ya MI15 dhidi ya watu waliotuhumiwa kuwa ni majajusi ya Soviet..
• Tuhuma kwamba Robert Hollis aliyewai kuwa Mkuu wa MI15 kwamba alikuwa ni Mmoja wa Soviet, ....
• Tuhuma kuhusu namna Siasa ilivyoingizwa ndani ya vyombo vya Ujasusi mbaka kufikia kuwa ujasusi ni unafki na mwisho kuuwana wenyewe kwa wenyewe......

Kitabu kimeeleza mambo mengi sana kiasi siwezi kuyamaliza yote hapa lakini ninachoweza kusema nini tunaweza kukipata kutokana na picha hii.....?

Nawakaribisha majasusi wote wa JF, Wachambuzi wa maswala ya Demokrasia ya kisiasa, Waandishi wa habari na Raia yeyote atakaekuwa na mtazamo wa njee ya box kutoa maoni yake kuhusu hili. Mimi maoni yangu ni hayoapo chini.

Kwa maoni yangu Mimi nadhani hiki kitabu hakikuwepo kwa bahati mbaya, bali Nchimbi alienda kuchukuwa Ushauri kuhusu kujiudhuru kutokana na mashinikizo dhidi yake,.....

Kwa maoni yangu Dkt; Nchimbi alijaribu kuueleza umma kwamba Nalazimishwa kujiudhuru kama ilivyotokea kwa kile kilicho ndani ya kitabu hiki hapa,....

Kwa moani yangu na kile nilichotokea kwa gazeti la mwanahalisi kufungiwa baada ya kuandika "Nchimbi agoma kujiudhuru", napata jibu la moja kwa moja kwamba Nchimbi hakuachia ngazi kwa ridhaa yake bali kwa shinikizo,.....

Kwa maoni yangu Kauliza Nchimbi kuhusu katiba mpya ndio sababu kuu ya Kuradhinishwa kujiuzulu,........ "Pambaneni mpate katiba mpya",

vielezo Picha vilivyotumika ilikuwa ni 04 July 2026, yaani miezi miwili kabra ya Kujiuzulu, na pia vielezo picha vilivyotumika kwenye Thread hii vimepakuliwa kutokea
Hapa

PIA SOMA:
Pendekezo la katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania lenye muundo wa dola wenye mihimili minne ya kitaifa.
***********************
Uhuru wa Mahakama Haulindwi kwa Maneno, Bali kwa Muundo: Kwanini Kauli ya kikatiba kwamba "Mahakama ni huru", bila muundo bora ni Udhaifu mkubwa..?
************************
ok. :1Head:
 
Mnamo mwaka 1987 Nchini uingereza kuliibuka tetesi kwamba Idara ya ujajusi wa ndani MI15 kupitia kwa maafisa wake walihusika katika mpango wa kumdhoofisha aliekuwa waziri mkuu "Harold Wilson", na kumlazimisha Kuondoka Madarakani kwa kujiuzulu.

Dr. Nchimbi alijitolea na sasa ameodoka. Mara zote huwa nalinganisha na yaliyotokea 1984 kwa mzee Jumbe. Mwendo ni uleule - ukiwa uchawini, sisi huita wanga/wangani usitoe Siri za wanga, ukitoa utashuhulikiwa. Niwaambie tu tutahadharini kuingia kwenye wangani/wangani kwani ukishaingia hutoki. Hii ndo kanuni ya wanga. Halahala ujiti na jicho, ncha una hoho.
 
Dah, kweli mchawi akitoka uchawini wachawi umuwinda labda wakukate ulimi ndo watakuacha unapumua.
 
Peter Wright aliandika Spy Catcher kikiwa ni kumbukumbu ya kazi zake alipokuwa mtumishi wa MI5.

Hivyo ni Memoir inoelezea yale aliyaona idarani.

Jambo linofanya kitabu kizuiwe kuchapishwa nchini humo ni maelezo ya kina na utafiti wake bwana Wright juu ya maofisa ambao kuanzia mkurugenzi wake MI5 hadi maofisa wa ngazi za chini walikuwa ni double agents wakifanyia kazi KGB kwa tangia Mwaka 1930 hadi katikati ya miaka ya 1950s.

Ukisoma kitabu hicho utapata ile “inner working” ya hizi taasisi za ujasusi na kwamba kazi ya kupata double agents yaweza kuwa ni rahisi kuliko tunavyofikiria.

Baada ya vita kuu ya pili ya Dunia tiyari KGB ilikuwa ni shirika kubwa sana duniani la ujasusi na tiyari lilikuwa limechagua vijana kutoka sehemu mbalimbali barani Ulaya.

Hapohapo UK tiyari kwenye chuo vikuu maarufu kama Cambridge palikuwa na agents wa KGB ambao Wright ameeleza kwenye kitabu chake waliitwa Cambridge Five.

Hivyo (my understanding) kwamba kwanini mzee Warioba anacho hicho kitabu ni kwamba ametaka kuoanisha yale asemayo mwandishi Wright kuhusu idara ya usalama kwamba yaweza kuwa na watu waso na uzalendo wowote mioyoni meal.

Tukumbuke uzalendo kwa nchi yako na khasa kwa wale wa “intelligence community”huenda na royalty, honour na kujitoa mhanga.

Na ukimsikiliza kwa makini mzee Warioba katika matamshi yake yeye acheza between hao jamaa na CCM na kule juu, halengi kwa hao jamaa moja kwa moja.

Na si yeye tu, hata profess Tibaijuka, profesa Shivji na mzee Jenerali Ulimwengu kwa wote ni wasomi na wacheza between.
 
Back
Top Bottom