Huu Ndio Ujumbe Mzito Wa Rais Wetu Mpendwa Katika Kumbukumbu Ya Hayati Mwalimu Nyerere

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Siku Ambayo ndio Aliaga Dunia.

Ujumbe Wake Rais wetu Mpendwa ni Huu Hapa
Screenshot_20261014-113355_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Siku Ambayo ndio Aliaga Dunia.

Ujumbe Wake Rais wetu Mpendwa ni Huu HapaView attachment 3690428

Hili limamama sijui lina mtindio wa ubongo... Halina hata chembe ya aibu.
 
Thank you Mom.

As a nation,
we all love you to the maximum Mama,

And no body can do anything about that light truth MamaTanzania,
Dr. Samia Suluhu Hassan 🙏
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Siku Ambayo ndio Aliaga Dunia.

Ujumbe Wake Rais wetu Mpendwa ni Huu HapaView attachment 3690428

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huwezi kupewa hata ubalozi wa Kijiji hata ukisia ukiwa uchi
 
Ukiwa mnafki jitahid kufinya unafki hata chooni,ukiua watu 500 ndo unakumbuka Aman.
 
Kesi ya ufisadi wa Wicknell Chivayo inamsubiri
 
Ndugu zangu Watanzania,

Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.

Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Siku Ambayo ndio Aliaga Dunia.

Ujumbe Wake Rais wetu Mpendwa ni Huu HapaView attachment 3690428

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa nini kuanzia miaka 2016 hivi hotuba za Mwalimu Nyererere hazirushwi kwenye television ya taifa.Tunaomba utuulizie huko mkuu
 
Huyo takataka aliyeita KATIBA kijitabu ambacho Nyerere alieheshim!!. Mpeleke zimbabwe kwa Bwana yake...takataka.
 
Jamani wanaume wenzangu nyeto ni muhimu sana kuna vizazi tunavileta ni hasara bora ukakimwaga chooni ama kwenye taulo ...mfano bora ni huyu mwamba
 
Hili limamama sijui lina mtindio wa ubongo... Halina hata chembe ya aibu.
Usidhalilishe wamama, Hilo jamaa siyo limama, ni liupinde unajisumbua kuhangaika nae hayanaga aibu hayo majibu.
 
Back
Top Bottom