kumbukumbu

The Kumbukumbu Room, or Kumbukumbu Room: Africa, Memory and Heritage, or Kumbukumbu Exhibition, was one of the spaces of the National Museum of Brazil, destroyed by the fire of 2018. The name of the room refers to a word in Swahili, used for "objects, people or events that make us think about the past."
In the room, objects from the African and Afro-Brazilian collections were on display. In particular, the collections Police of the Court and Heloísa Alberto Torres were featured. Also in the room were the set of gifts from Africa sent to John, the Clement, in 1810, including the Throne of the King of Dahomey. Most of the objects on display were from the 19th century.
The room was organized from nine showcases, six side and three central, and a map from which one could establish the origin of the exposed pieces. According to the official book of presentation of the exhibition:

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwakani 2027 kumbukumbu za mauaji ya watanzania (mauaji ya kimbari) zinapaswa kuwa siku ya maombolezo ya kitaifa. Wananchi tuweke mkakati.

    Hakuna haja ya kusubiri watuhumiwa wajadiliane namna ya kukumbuka marehemu wetu. We are the nation.
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Zilikuwa ni misa za kuungama na kutubu dhambi badala ya kumbukumbu ya October 29

    Vijana waliopoteza maisha siku ya uchaguzi wa October 29 wengi wao 98% walikuwa hawaijui katiba ilivyo wala inasema nini, wala hawaijui hiyo tume ya uchaguzi inafananaje. Watu wenye akili zao likiwemo kanisa waliwatumia vijana wasioijua katiba wala Tume ya uchaguzi kutaka kufanikisha agenda...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya utangazaji DW na BBC mtuletee pia kumbukumbu ya mauaji aliyofanya Hitler huko Ujerumani kila mwaka

    DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida. DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania wajitokeza kwa wingi kuomboleza kumbukumbu ya mauaji ya 29.10.2025

    WATANZANIA WAJITOKEZA KWA WINGI KUOMBOLEZA MAUAJI YA 29.10.2025. Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na serikali ilitangaza kuwa watu 518 walikufa katika ghasia zilizohusiana na uchaguzi wa Oktoba 2025. Samia Suluhu Hassan ambaye anasema ni rais baada ya mauaji haya, hajatoa fidia kwa majeruhi na...
  5. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Memories and attachments to pain ndo msingi wa suffering.

    Sometimes kinacho tu umiza sio, watu, ni kumbukumbu. Imagine, mtu wako wa karibu, anaondoka maishani mwako. Means that hauta mwona tena maisha yako yote. Then flashbacks za mambo mliyo experience, the way alikumake feel, alafu ndo hivyo tena. Kuna film moja nilicheki juzi kati, inaelezea how...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Oktoba 29: Je, Umeshasahau Ulipokuwa na Ulichokuwa Unawaza Muda Kama Huu Mwaka Jana? (Uzi Maalumu wa Kumbukumbu)

    Ni ngumu kuamini kuwa tayari tunakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu nchi yetu ipitie moja ya vipindi vyake vigumu na vyenye taharuki kubwa katika historia ya hivi karibuni—matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Muda kama huu, wiki moja kabla ya tarehe 29 mwaka jana, anga la kisiasa na...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Leo katika kumbukumbu

    19 Oktoba 2021 — Rais Samia alifanya ziara Mikoa ya Kilimanjaro na Arusha Katika ziara hiyo, Rais Samia alifungua barabara ya Sanya Juu–Elerai yenye urefu wa kilomita 32.2 na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, Kilimanjaro.
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Kumbukizi ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere-Octoba 14

  11. L

    JamiiForums Tanzania Huu Ndio Ujumbe Mzito Wa Rais Wetu Mpendwa Katika Kumbukumbu Ya Hayati Mwalimu Nyerere

    Ndugu zangu Watanzania, Huu ndio Ujumbe Mzito wa RAIS wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ambapo Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ametoa Ujumbe huo Mzito katika Siku ya Kumbukumbu ya Hayati Baba Wa Taifa...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Miaka 27 ya Kumbukumbu ya Hayati Julius Kambarage Nyerere

    MIAKA 27 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #TanzaniaYetu #DearNyerere
  13. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu zangu kwenye mitongozo

    Kutongoza ni arts ambayo ukiiwezea utacharaza mboko kijiji kizima lakini usipokuwa fundi utaaibika usione pa kupitia ukienda kwenye mishe mishe zako. 1. Hapa nikiwa form2 way back 2010 hiyoo, kulikuwa na classmate namzimika kinoumah sasa kila nikitaka nitupie swaga aibu kibao kwani alikuwa mtu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Zilipendwa: Historia, Maudhui na Ujanja wa Kisiasa Nyuma ya Wimbo "Nakei Nairobi" (1984)

    Habari za muda huu Wana JamiiForums! Leo katika jukwaa letu, nawaletea kumbukumbu safi kabisa ya Zilipendwa, ikiwa ni muendelezo wa makala zetu za kiweledi zinazoangazia nyimbo za zamani zilizoacha alama kubwa barani Afrika. Kwa vijana wa sasa na wahenga wenzangu waliobahatika kuishi zama za...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2026: Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://youtu.be/8_rapZFjZ88
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu Tamu: Wajumbe wa IPU waaga Arusha

    Hatimaye, wajumbe wanaondoka Arusha, lakini kumbukumbu ya ukarimu, amani na uzuri wa Tanzania inabaki kuwa sehemu ya simulizi yao kuhusu nchi hii. #IPU2026 #IPUArusha #Tanzania #Arusha #AmaniNaUmoja #Diplomasia #TanzaniaYaFursa #Documentary
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oct 07,2023.

    Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7. ● Wanajeshi 970 wameanguka katika hali ya uendeshaji vitani tangu Oktoba 7, 2023. ● 70% ya wanajeshi waliojeruhiwa vitani wamerejea kazini. ● Jeshi la IDF limeshambulia takriban malengo 100,000 katika...
  18. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto Aongoza Hafla ya Kutoa Heshima na Kukabidhi Jumba la Kumbukumbu la Raila Odinga Kaunti ya Siaya

    Rais William Ruto ameongoza hafla rasmi ya kuweka wakfu na kukabidhi jumba la kumbukumbu la Raila Amolo Odinga (Raila Odinga Mausoleum) katika eneo la Kang’o ka Jaramogi, Kaunti ya Siaya. Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali, Rais Ruto aliungana na Mama Ida Odinga kufungua...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2026: Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    https://youtu.be/dB0Fte5XLTg?si=1ELIsna7kObFGKwO
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Katika miaka ya 1980 na miaka ya nyuma yake, machapisho na barua za siri au za asiyekuwa na jina zilizokuwa zikifichua kashfa, udaku, na masuala mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Mlimani) zilifahamika sana kama "Poisoned Pens" (au Poison Letters). Mwandishi au waandishi wa...
Back
Top Bottom