kumbukumbu

The Kumbukumbu Room, or Kumbukumbu Room: Africa, Memory and Heritage, or Kumbukumbu Exhibition, was one of the spaces of the National Museum of Brazil, destroyed by the fire of 2018. The name of the room refers to a word in Swahili, used for "objects, people or events that make us think about the past."
In the room, objects from the African and Afro-Brazilian collections were on display. In particular, the collections Police of the Court and Heloísa Alberto Torres were featured. Also in the room were the set of gifts from Africa sent to John, the Clement, in 1810, including the Throne of the King of Dahomey. Most of the objects on display were from the 19th century.
The room was organized from nine showcases, six side and three central, and a map from which one could establish the origin of the exposed pieces. According to the official book of presentation of the exhibition:

View More On Wikipedia.org
  1. secretarybird

    Tukio gani limekukuta la kusahau kitu ulichokuwa unataka kufanya na unakijua hadi ukajicheka mwenyewe baada ya kumbukumbu kurejea

    Katika maisha kuna muda akili zetu zinasahau vitu vidogo vidogo tunavyovijua ila baada ya dakika chache kumbukumbu hurudi. Kuna stori moja nilishawahi kuisoma humu JF mtu mmoja alienda msituni kutafuta kuni na shoka lake begani lakini alipofika kule alilala kwa dakika 15, alipoamka alianza...
  2. ubongokid

    Mnara wa Kumbukumbu ya Waliopotea ambao Hawajapatikana

    Ni wazo Tu, Kama Itawapendeza.Kuna watu wengi sana ambao wamepotea na kuuwawa katika harakati mbalimbali za kidemokrasia.Je itakuwa ni Jambo zuri kama Tukiwajengea Mnara wa Kumbukumbu ambapo Orodha ya Majina yao itawekwa na Picha ili Tuwaenzi na Ndugu zao waweze kutembelea hapo kama sehemu ya...
  3. Mohamed Said

    Kumbukumbu: Abdul Sykes (12 October 1968)na Julius Nyerere (14 October 1999)

    https://youtu.be/GR0DQyhAdHs?si=0zwCfmI-Z0MLnRNp
  4. Z

    Bibi anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, tumpe dawa ghani?

    Habari za usiku wanajf, Bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe. Pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
  5. J

    Bibi anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, tumpe dawa ghani?

    Habari za usiku wanaJF, bibi yangu miaka 87 anapoteza kumbukumbu, anaongea mwenyewe, pia vitu vimetokea zamani anasema vimetokea jana. Atumie dawa gani
  6. Da Gladiator

    Msimu wa MAHAFALI za kidato Cha NNE ndio huu, tupe kumbukumbu yako.

    Habarini za mchana, Ijumaa nilipokea mwaliko wa kuhudhuria MAHAFALI ya kidato Cha NNE huku nyanda za juu, kiukweli nimekumbuka mengi sana. 1.KWAYA "Haikuwa rahisi kuifikia siku hii yenye mafanikio, oooh tazama.. tazama wote kwa shangwe furaraha nasema Asante Mungu baba" Kama kuna anaekumbuka...
  7. Mag3

    Kwa kumbukumbu tu kuna wakati Bashe wa CCM na Sugu Chadema waliweza kuongea lugha moja bungeni lakini hawakusikilizwa!

    Watanzania tu watu wa ajabu sana... https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI Sina cha kuongezea!
  8. milele amina

    Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro anatakiwa kuwa na sifa hizi

    Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro hujulikana kwa sifa kadhaa, ambazo ni pamoja na: 1. Elimu: Mara nyingi, inatarajiwa kuwa mwenyekiti ana elimu ya juu, kama digrii katika fani zinazohusiana na elimu, siasa, au sayansi ya jamii. Ingawa umakini zaidi...
  9. Mshana Jr

    Kumbukumbu zisizokoma

    Kuna jambo moja la ajabu sana kuhusiana na uhifadhi wao nyaraka ndani ya medulla ya binadamu. Jambo hili lipo hata katika baadhi ya wanyama kama tembo japo kwa mtazamo tofauti kidogo. Hawa wanyama wana uhifadhi wa kumbukumbu wa kutisha mno. Mfanyie jema au baya, Jambo hilo litakaa kwenye...
  10. Jumanne Mwita

    Kuna udhaifu mkubwa katika teknolojia inayochukua kumbukumbu za kadi ya mpiga kura

    Ningependa kushare na nyinyi kile ambacho nimebaini, ingawa siyo mhusika wala msimamizi/mwandikishaji. Majuzi, tarehe 5, nilikwenda Katoro kwenye kata yangu na kuamua kubadilisha kadi yangu ya mpiga kura ili kurekebisha taarifa, saini, na picha. Nilipofika kwenye kata moja, nilipanga mstari na...
  11. Kyambamasimbi

    Iwekwe siku ya kumbukumbu na kuenzi mchango wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya Kiswahili

    Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na wengi walisthiriwa na vilugha vyao. Lakini wanamuziki wa enzi hizo kwa majitoleo na uzalendo mkubwa...
  12. Pfizer

    Dar: RC Chalamila ameongoza viongozi na mamia ya wananchi wa Mkoa, katika maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya mashujaa wa Tanzania

    RC CHALAMILA AONGOZA VIONGOZI NA MAMIA YA WANANCHI KUADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA-DSM. -Amtaja Rais Dkt Samia kuwa shujaa aliye hai kutokana na kazi kubwa anayoifanya ndani ya Taifa hili. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 25,2024 ameongoza viongozi na mamia ya...
  13. jingalao

    KUMBUKUMBU SAWA: Wanachama wa CHADEMA wanapomchangia mhalifu ni kuunga mkono uhalifu!!!

    Katika siasa lazima uwe makini sana na matendo na mwenendo wa wanachama chako lakini pia uwe mwepesi kujisafisha na kuweka kumbukumbu sawa pale ambapo jambo lillilotokea lina uhalifu au sifa chafu ndani yake. Yupo mtuhumiwa aliyehukumiwa hivi karibuni kwa kosa la kumkashifu Mh. Rais wa Jamhuri...
  14. BARD AI

    Hii picha inakupa kumbukumbu gani mdau?

    Mwaka 2018 kulitokea mambo ya ajabu sana kwenye suala la ukamataji Samaki wenye umbo dogo au samaki ambao hawajakomaa! Samaki hao wenye urefu chini ya sentimita 25 kutoka Ziwa Victoria walikamatwa katika mgahawa wa Lamba Catering Service. Ni kati ya kilo 100 za samaki waliokuwapo mgahawani hapo...
  15. Paul Alex

    Vita kuu ya tatu ya dunia imeshaanza, sababu na matukio tukitumia kumbukumbu ya vita kuu ya pili ya dunia

    Hegemony ndio sababu ya hii vita. US + NATO hawakujua wapi waishie kwenye kuitawala dunia.. Kama wangekua na heshima kidogo kwa Russia na China na North Korea, na Vietnam Basi tusingekuwa na situation tuliyonayo leo. Naomba nianze mada na moja kichwani, Ujerumani ni bomu lisilo la kuamini! Hiyo...
  16. Mohamed Said

    Kumbukumbu ya kifo cha Leila Sheikh Namkumbuka Bibi Titi Mohamed

    Mwaka mmoja umetimu toka Leila Sheikh arejee kwa Mola Wake. Tunamuombea dua Allah amsamehe makosa yake na amtie Firdaus. Amin. https://youtu.be/ja_cL5te4Lw?si=bPBJoBLV7xEMjdGP
  17. B

    SoC04 Maboresho ya utunzaji wa kumbukumbu

    Utunzaji wa kumbukumbu ni msingi mkuu wa taasisi yoyote duniani bila ya kumbukumbu taasisi haiwezi kufanya kazi zake kwa ufasaha na inaweza kupelekea kuvuja kwa taarifa za siri za taasisi, kupoteza nyaraka muhimu za taasisi ambazo zinakuwa zimebeba taswira ya taasisi. Utunzaji mzuri wa...
  18. LIKUD

    Miaka 27 ya MV Bukoba. Leo wachezaji wakae kimya kwa dakika moja kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu wa MV Bukoba.

    Tarehe 21 mwezi May mwaka 1996 ilitokea ajali mbaya ya meli kwenye Ziwa Victoria kilomita chache kabla ya kufika kwenye bandari ya jiji la Mwanza. Meli ya MV Bukoba ilipinduka na kuchukua maisha ya watu takribani elfu moja. Leo imetimia miaka 28 tangu kutokea tukio hilo ambalo ni miongoni mwa...
  19. King Jody

    Mwanaume unnanzaje kusherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa

    Unakuta mwanaume kabisa tena mtu mzima unaweka status kibao eti kumbukizi ya siku ya kuzaliwa, 'Birthday Party' ni kwa ajili ya wanawake na watoto, mwanaume hupaswi hata kujua kama ulizaliwa. Nb. uzi tayari :DojaDance:
  20. ElietSe

    Jinsi ya kuongeza ufanisi wa kutunza kumbukumbu za biashara

    Kutunza taarifa za biashara ni eneo la muhimu kwa kila mfanyabiashara. Hii husaidia kujua mali ilyotoka, iliyoingia, mali zilizopo, madeni, mauzo na faida au hasara iliyopatikana. Wengine hutunza taarifa zao kwa kutumia vitabu maalum na wengine hutumia digital tools kama computer au simu...
Back
Top Bottom