Miaka 27 ya Kumbukumbu ya Hayati Julius Kambarage Nyerere

Miaka 27 ya Kumbukumbu ya Hayati Julius Kambarage Nyerere

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
MIAKA 27 YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE

Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

#TanzaniaYetu #DearNye
IMG-20261014-WA0004.jpg
rere
 
Kumbukumbu ya Mwl. J. K. Nyerere, huyo mwingine ameingiaje kwenye picha
 
Namkubali sana huyu mzee sababubya sisi wabongo muislam kumuoa mkristo na mchaga kjmuoa msukuma bila shida ni huyu mzee.

Ni kawaida mtu kuhudhuria msiba wa mtu asiyemjua kwenye nzengo na kuchanga michango yote kiroho safi kabisa

Ni kawaida mbongo kumsaidia mttu mwingine hata kama hawajuani.

ni kazi ya huyu mzee kupitia sera yake ya ujamaa ambayo iliota mizizi na kuwa mbuyu mkubwa ambao bado unaishi ktk jamii hadi leo licha ya mfumo wa kiuchumi kubadilishwa ila misingi ya undungu bado inaishi.

Wengi huona ni kawaida bilavkujua kazi kubwa aliyoifanya huyu mzee. Baada ya kuona watu wanakaidi kutii sera ya ujamaa akaagiza jeshi liwaweke wachaga wasukuma wagogo wahaya n.k kijiji kimoja (wachanganyikane,) ktk maeneo tofauti nchini akilenga kujenga umoja na utamaduni wa psmoja huku kiswahili kikifundishwa kwa nguvu kubwa ili waweze kuwasiliana kwa lugha moja

Apumzike kwa amani.
 
Dear Nyerere siku hizi adui Yako wa kwanza ni yule unaefunga nae ndoa na kuahidiana maisha ya milele
 
Back
Top Bottom