kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Vijana waliopoteza maisha siku ya uchaguzi wa October 29 wengi wao 98% walikuwa hawaijui katiba ilivyo wala inasema nini, wala hawaijui hiyo tume ya uchaguzi inafananaje. Watu wenye akili zao likiwemo kanisa waliwatumia vijana wasioijua katiba wala Tume ya uchaguzi kutaka kufanikisha agenda zao. Watu hao wenye akili na elimu ya Katiba na Tume ya uchaguzi walikuwa wanajua kuwa vijana wale watakwenda kufa na kujeruhiwa wengi sana, ndiyo maana wao hawakutaka watoto na wajukuu wao washiriki kwenye zoezi ile la mapinduzi.
Waliwadanganya wakaenda kufa na kujeruhuwa bila bila kufanikisha malengo ya waliowatuma. Dhambi hii ya kuwasukuma vijana kwenye shimo refu la mauti na damu za vijana hawa ndio kusudi hasa la misa tulizoziona jana Octoba 29 mwaka mmoja baada ya jaribio la mapinduzi kushindwa na damu nyingi za watoto wasiokuwa na hatia kumwagika. Kanisa linajiona limeshiriki kwenye hadaa iliyozaa mauti ya vijana. Walidhaani wachache wangekufa lakini wengi wangefanikisha, badala yake ikawa kinyume chake wachache wakanusurika na wengi wakafa.
Damu za vijana hawa zinawafuata hadi vitandani mwao, na hii ikapelekea kuandaa misa za kuomba radhi ba kuungama makosa.
Nijuavyo mimi.