kutubu

  1. mzee wa kasumba

    Ni sahihi mke kutubu kwa mumewe baada ya kuchepuka?

    Nawasalimu. Ama baada ya salamu. Nimekuja hapa nikiwa nimevaa viatu vya mwalimu wangu aliyenisomesha baadhi ya vitu katika maisha. Huyu jamaa ni muislamu. Kama inavofahamika kuwa uislamu unaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Miezi kadhaa nyuma aliamua kuongeza mke wa pili. Tukio lile lilileta...
  2. R

    Majanga yanayoikumba Dunia, chanzo adhabu Toka Kwa Mungu, tugeuke na kutubu

    Salaam ,Shalom!! Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni adhabu Toka Kwa Mungu. Mafuriko katika Nchi zenye jangwa kama Dubai, Saudi Arabia nk nk, Milima...
  3. Mr Why

    Bobby Blake mcheza pono maarufu wa zamani aliyeamua kutubu

    WanaJF tusijione wakosefu sana kwenye maisha yetu tunaweza kubadilika. Bobby Blake ni raia wa Marekani mwenye historia ya kutisha kwa kiasi chake. Huyu jamaa alikuwa kwenye kiwanda cha pono za jinsia moja tangu ujana wake. Alikuwa ni mcheza pono maarufu sana Marekani kwa miongo kadhaa. Huyu...
Back
Top Bottom