Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
SGR tayari imewaumbua huko; chuma imekula vumbi.
Fedheha za wizi na ufisaidi zinazomhusisha bi mkubwa na familia yake hakika hazimithiliki; hata wao naamini wanajiuliza ilikuwaje tukajisahau tukaiba sana hivi?? Imekuwaje “tumekuwa na tamaa ya mali hadi tukaanza kutamani na kunyang’anya mali za yatima na wajane???”
Sasa badala wajibu, wanatumia mapesa yote hayo kuhonga huku na huku na kudhibiti umma; swali langu kwao, wanaamini wanayo energy ya kutosha kupambana hadi mwisho na umma wa watu mil.70 kwa miaka mitano ijayo??? Watatoboa?
Imani yangu inaniambia mateso yajayo kwa familia hii ni makali mno.
Baada ya Uchafuzi, hakuna atakayemsikiliza zaidi ya familia yake. Machawa wa sasa wanapiga hesabu za mbele hivyo watamwacha.
Mchuma janga hula na nduguze👋🏽