familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Hivi ikitokea akafa leo japo hatuombei litokee- Unaweza kweli kujiendesha na kuitunza Familia pekee yako ??

    Hivi ikitokea akafa leo japo hatuombei litokee- Unaweza kweli kujiendesha na kuitunza Familia pekee yako ??
  2. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Hivi ikitokea akafa leo japo hatuombei litokee- Unaweza kweli kujiendesha na kuitunza Familia pekee yako ??

    Hivi ikitokea akafa leo japo hatuombei litokee- Unaweza kweli kujiendesha na kuitunza Familia pekee yako ??
  3. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Kaa mbali na Vitu hivi Kwa ustawi wa maisha yako

    Salaam jamiiforum. Wanaume wenzangu chungeni hivi vitu,kuweni navyo makini na kama ukihisi huna uwezo wa kuvimudu usijihusishe navyo. 👉Pombe. Hii kitu inaweza kugharimu maisha yako na ukaharibu ndoto zako zote. 👉 Mapenzi. Usiiingie kwenye huu mtego kama huna akili timamu utaharibu future...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ccm acheni upumbavu aliyekufa leo ni mwaccm mwenzenu ingawa alidai yeye ni wa Nyerere sio wenu nyie matapeli toeni pole tu kwa familia ya Lissu mbona.

    Mbona Lissu alimpa pole Samia hata alipokuwa jera? Nawakumbusha tu alute ni mwanaccm mkongwe jamani toeni pole .
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tumesema mara zote, Lema Huwa anaongea na Akina Mafwele , ndio Dalali Kati ya Familia ya Lissu na LISSU.

    Simmemsikia mwenyewe ?. Huyu ndie Huwa napewa habari za uhakika zà nani atakufa ,alafu anakuja kujifanya anatoa utabiri !!!. Simmesikia ,anasema aliongea na Nchimbi.?.
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi familia kuwa na Account moja ya kuhifadhia fedha?

    Yani mkipiga vibunda vyenu uko mnaelekeza kwenye Account moja ya kibenki, kama ni mishahara yote ikiingia mnaihamishia kwenye Account Moja fast. Let say father umepiga 15m wife kapiga 20m yote hio inaelekezwa kwenye account Moja then mnakaa chini kuzipangia matumizi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nashukuru october 29 imepita salama kwangu na familia yangu

    Nashukuru, October 29, 2025 imepita salama kwangu na familia yangu. Sio mjomba, shangazi, kaka, dada, shemeji, ndugu au jamaa. Ijapokuwa watu wangu wamesambaa ktk miji mbali mbali yaliotokea vurugu, lkn mwaka sasa sijasikia taarifa ya athari kwa upande wangu iliotokea. Namshukuru sana Allah...
  8. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua kuna wanaume wa 30+ na hawana experience ya mahusiano? (Hata kuhandle familia hawawezi)

    Hii inaletlelezwa na kukosa confidence na effect ya social anxiety. Kuna jamaa mpaka wa leo nadhani haja wahi kufanya mapenzi, maana last time alibwagwa na demu baada ya demu kuona jamaa hana maamuzi ya kiuanaume. Ilikuwa jamaa kila muda anamuuliza demu maswali ya kijinga na hana stori za...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Napenda kuwapa pole Familia na ndugu waliowapoteza ndugu zao siku kama ya Leo 29/10/2025 RIP the all

    Napenda kuwapa pole Familia na ndugu waliowapoteza ndugu zao siku kama ya Leo 29/10/2025 RIP the all
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mke wa Marehemu kaka aliachiwa nyumba na familia lakini mwanaume mwengine kahamia

    Mwanaume na mwanamke waliishi pamoja kwa takribani miaka mitatu kwa makubaliano ya “sogea tuishi” bila ndoa rasmi, na katika kipindi hicho wakapata mtoto. Kwa bahati mbaya, mwanaume akafariki mwaka huu. Familia ya marehemu ilikuwa inaweza kuichukua nyumba na kwa wakati ule mwanamke angekubali...
  11. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Wengine waliongea nini na Mungu wakiwa tumboni hadi wakazaliwa familia yenye watu wenye majina makubwa?

    Hivi ulishawahi kujiuliza wengine wanafanyafanyaje wanajikuta wamezaliwa katika familia ya watu wazito na kwanini familia zingine kila mtu ni masikini na familia zingine mtu anazaliwa anakuta ana ndugu matajiri watu wenye vyeo vikubwa? Mimi najiuliza hivi wengine tulimkosea nini Mungu? Sisi...
  12. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Swali kwenu ma firstborn kwenye familia

    Ndugu firstborn hapo kwa ur baba and ur mama... Nini kilikufanya ukaamini 💯% wewe ndio ulizaliwa wa kwanza kutoka kwenye viuno vya babayo na tumbo la mama yako?..je , haukuwahi kujiuliza kwamba Kuna bro wako mkubwa au sister yako mkubwa alikutangulia sema mimba yake ilikuwa aborted (unplanned...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kati ya kumuoa au kuolewa na mtu asiyefaa au kuingia katika familia isiyofaa... ni kipi kibaya zaidi?

    Kuoa au kuolewa na mtu asiye sahihi ni kubaya zaidi kuliko kuingia kwenye familia mbaya. Hii ni kwa sababu mwenzi wako ndiye mtu utakayeishi naye kila siku, mtakayeshirikiana chumba kimoja, na unayemtegemea kwa usalama wako wa kihisia na kimwili. Ingawa hali zote mbili zina changamoto kubwa...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tambua kama mwanaume kila msimamo utakaochukua lazima ukugharimu na hakuna namna ya kukwepa hili katika kutengeneza familia na ufalme.

    Swali ni unaweza kubeba na kubembeleza consquences za maamuzi yako au utasukumia kwa wengine kinamna.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TTCL yafafanua hoja ya kuweka mnara Kibiti kisha kutoilipa familia husika

    UFAFANUZI KUHUSU HOJA YA MADAI YA FIDIA YA MAZAO KATIKA ENEO LA UJENZI WA MNARA WA TTCL – KIBITI Kufuatia hoja iliyowasilishwa kupitia mtandao wa JamiiForums yenye kichwa cha habari “TTCL wameweka mnara eneo letu Kibiti, mazao yameharibika na hatujalipwa fidia,” Shirika la Mawasiliano Tanzania...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Familia tunahisi kijana ametuongopea kuwa amehitimu udsm 2026,

    habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au anaidanganya familia, sababu aligoma kuonesha matokeo yake ya mwisho pia aligoma ndugu yoyote...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Marais waislam na familia zao, hatukuona kwa Mkapa, Magufuli hata kipindi cha Nyerere

    Nyerere hakutaka kuhusisha urais wake na familia yake, Mkapa hakutaka hata tuwajue watoto wake, Magufuli vile vile sijui hata ana mtoto wa kiume. Sasa njoo kwa wenzetu, Karume rais mtoto wake rais, Mwinyi rais mtoto wake rais, Kikwete rais mtoto wake waziri, mke wake mbunge, Samia rais mtoto...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya roho huja duniani ili tu kufunga kurasa ambazo familia zao waliziacha wazi

    Ishara kwamba pengine hutazaliwa tena upya (hutaingia kwenye mzunguko mwingine wa roho) Reincarnation... 1. Hukuwahi kupata watoto, na wala hukuwa na hamu nao kabisa. Hukuona sababu ya kuacha uzao nyuma yako ili kuthibitisha kuwa umetimiza yaliyokuleta duniani. Ni kana kwamba mikosi, laana, au...
  20. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Nimechoka Kusikiliza Uongo Kwenye Mazishi!" - Padri Gichure Ailipukia Familia Wakati wa Mazishi

    Mazishi yanapaswa kuwa wakati wa kuaga wapendwa, kutafakari maisha yao na kuwafariji waliofiwa. Lakini kwa Padri Gichure, hafla ya mazishi ilikuwa pia wakati wa kuhoji ukweli wa simulizi zinazotolewa kuhusu marehemu. Padri huyo aliikosoa familia iliyokuwa ikiwasilisha historia ya marehemu...
Back
Top Bottom