Nashukuru october 29 imepita salama kwangu na familia yangu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
9,722
Reaction score
15,117
Nashukuru, October 29, 2025 imepita salama kwangu na familia yangu. Sio mjomba, shangazi, kaka, dada, shemeji, ndugu au jamaa. Ijapokuwa watu wangu wamesambaa ktk miji mbali mbali yaliotokea vurugu, lkn mwaka sasa sijasikia taarifa ya athari kwa upande wangu iliotokea.

Namshukuru sana Allah .
Allah awajaalie waathirika subra, hekima na busara ktk kipindi hichi kigumu.
 
Je umesha fahamu wangapi wamètekwa kuùliwa na kupotezwa pale jamhuri ya maĺawi?
 
Back
Top Bottom