Familia tunahisi kijana ametuongopea kuwa amehitimu udsm 2026,

Mswati II

Senior Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
152
Reaction score
487
habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au anaidanganya familia, sababu aligoma kuonesha matokeo yake ya mwisho pia aligoma ndugu yoyote asiende kwenye mahafari hayo yaliyo fanyika october 15!

Wadau nilikuwa naomba mdau yoyote humu mwenye kitabu cha wahitimu udsm 2026 anisaidie kwenye website udsm sijafanikiwa kuona, ili niweze kutazama jina lake kama kweli ni miongoni mwa wahitimu!
 
Hamdanganyi mtu anajidanganya mwenyewe kama ni hivyo.....

Mwaka flani dogo alitoka kucheki matokeo yake ya form four, akarudi home analiaa vibaya sana kuwa kafeli, bi mkubwa kambembeleza pale kijana wake.

Baada ya siku kupita nikamuuliza ulipata four ya ngapi, points anazosema sio za four, kwenda kwenye shule kucheki matokeo jina halipo. Kumbe hakufanya pepa alitimliwa akiwa form two kwahiyo akawa na kazi ya kula ada kila term, anatumiwa pesa za matumizi akiwa huko mkoa wa tofauti, wakati wa likizo anatumiwa nauli, wakati wa kuondoka anafanyiwa shopping ya shule....kumbe yupo tu kitaa.

Matokeo anayaona leo, alikua anajidanganya mwenyewe
 
Bora angesema mapema, lingesolviwa.
 
habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au anaidanganya familia, sababu aligoma kuonesha matokeo yake ya mwisho pia aligoma ndugu yoyote asiende kwenye mahafari hayo yaliyo fanyika october 15!

Wadau nilikuwa naomba mdau yoyote humu mwenye kitabu cha wahitimu udsm 2026 anisaidie kwenye website udsm sijafanikiwa kuona, ili niweze kutazama jina lake kama kweli ni miongoni mwa wahitimu!

Iliwah kumtokea brother angu flan.
Situation ngumu sana hii.

Inawezekana ni kweli hajagraduate.
Na sababu inaweza ikawa labda amepata Supp na ameogopa kusema.
Au alikula ada mwaka huu wa tatu na ameamua kuprospond mwaka ili aendelee mwakani.
Au ali disco na kaogopa kusema home.

Bro yeye. Alikuwa anasoma Iringa. Na alivyofika mwaka wa 3. Alijiingiza kwa biashara ya Mbao.
Alikuwa ni Private.
Ada ilikuwa inalipwa yote mwanzon mwa Semister ya 1.
Almost 2.5 Mill.
Akaona ni mtaji afanye biashara ya mbao na ahairishe mwaka wa 3. Biashara ikabuma .

graduation hakufanya.
All in all alipambana na ndan ya miaka 2 akamaliza.

kwahiyo degree ya miaka 3. Alisoma miaka 5.
Cha muhimu gamba alipata at last.
 
Hii ilishatokea kwa mpwa wangu ambaye nilikuwa namlipia karo, mwaka 2024 alitudanganya kuwa kahitimu shahada ya sheria pale TurDaco, kumbe kuna masomo alifeli mpaka sasa sijaona tena jina lake kwenye kitabu cha wahitimu.

Tuendelee kuwa makini.
 
Back
Top Bottom