kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wewe kijana Acha Upuuzi wa Kupoteza Muda, Amka Upige Pesa!

    wanangu, hebu tusidanganyane hapa mtaani. Maisha ya sasa hayana pause wala rewatch, yanakwenda mbio kuliko sana. Unajikuta kijana unakomaa kutwa nzima kwenye vijiwe vya kahawa unajadili mipango ya mpira au unapoteza data kusubiri miujiza kwenye mitandao ya kijamii wakati mfuko wako unasoma zero...
  2. BR Stationary

    JamiiForums Tanzania Chukua Code kijana

    Mwanaume. 1. Kuwa adimu, usipatikane kila sehemu. 2. Kuwa na LOGIC, usiendeshwe na HISIA. 3. Jua unataka nini, usiwe mfuasi na shibiki 4. Kuwa na mipaka, sio kila mtu ni wa waku-engage nae. 5. Linda attention yako, sio kila jambo nilakufatilia. Being MAN isn’t easy.
  3. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania HII SASA IMETOSHA AISEE: Kijana (21) amefariki dunia kwa kujinyonga Manispaa ya Geita huku chanzo kikidaiwa kuwa ni changamoto ya mahusiano

    .
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msimuue kijana wa watu hana kosa, mpelekeni mahakamani

    Watekaji, kama ni kweli msimuue Twaha Mwaipaya! Hana kosa, hata kama ana kosa mpelekeni mahakamani! Chances are very feeble kuwa atasalimika maana hii ni mission from Malawi!
  5. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Nashauri kijana anayejitafuta amuangalie Rostm Aziz kama icon kwenye kujenga mipaka

    Habarini! Nadhani kwa umri ninaweza kuwa mkubwa kidogo kuliko RA, ambaye ni mdogo wangu. Lakini nina jambo ambalo ningependa kuwashauri wale wote walio tayari kushaurika, hasa vijana wanaojitafuta na wanaotaka kufika mbali kimaisha. RA ni mtu smart, ingawa kama binadamu mwingine yeyote anaweza...
  6. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania 2026 eti unakuta kijana anatafuta mke wa pili. Hivi kwanini ni ngumu kutenganisha Mwafrika na hili jambo?

    2026 eti unakuta kijana anatafuta mke wa pili. Hivi kwanini ni ngumu kutenganisha Mwafrika na hili jambo? 🚮
  7. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kijana usiishi kimazoea. Usiishi kwa imani jifunze kuloga na kujikinga

    Hakuna atakayekwambia haya maneno. Usiishi kama ndezi utachelewa sana maana kwa sasa ulimwengu ni uwanja wa dhambi usipo wahi utawahiwa. Jifunze kuloga na kujikinga si kila anayecheka na wewe anakupenda. Hata hao unaowaona ni watu wa dini either wanapishana vilingeni kuweka mambo sawa, au...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Familia tunahisi kijana ametuongopea kuwa amehitimu udsm 2026,

    habari ya wakat huu wadau? kama tittle inavyojieleza nina mjomba wangu ambae alikuwa akisoma udsm na mwaka huu ndio alitakiwa kuhitimu lakin kama familia tunashindwa kuelewa kama kweli kahitimu au anaidanganya familia, sababu aligoma kuonesha matokeo yake ya mwisho pia aligoma ndugu yoyote...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Inashangaza kijana anasimu kubwa lakini anasema Hana office wala kazi.

    INASHANGAZA KIJANA ANASIMU KUBWA LAKINI ANASEMA HANA OFFICE WALA KAZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Shahidi. Moja ya mambo yanayonifanya nishangae ni kuona kijana wa miaka 18 -40 mwenye simu kubwa lakini anakuambia sina office, sina kazi, na analalamika, anashutumu, analaani watu wengine...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hope T. Godfrey ni Nani? Mwanamke Kijana Mtanzania Anayeunganisha Ujasiriamali, Afya ya Jamii na Athari Chanya kwa Jamii

    Kuna vijana ambao hawasubiri kila kitu kiwe tayari ndipo waanze kufikiria namna ya kuleta mabadiliko. Badala yake, huanza na wazo, hutafuta fursa za kujifunza, hujenga mahusiano na kujaribu kubadilisha maono yao kuwa kitu chenye manufaa kwa jamii. Miongoni mwa vijana wanaovutia kuangaliwa...
  11. min -me

    JamiiForums Tanzania Hakuna kazi ngumu kama hii kwa kijana aliyefanikiwa hata kidogo tu🤔

    Ukishafanikiwa kimaisha hata kwa level ya kawaida tu kama kijana wa kiume , ni ngumu sana kutafuta mwenza sahihi wa maisha . Vijana wengi huishia tu kuwa watu wa usiku mmoja , kwa kuogopa kuingia mkenge na sio kwamba ni wakataa ndoa🤔 Wadada wengi siku hizi wameweka vipaumbele vyao vya pesa...
  12. Red black

    JamiiForums Tanzania Kijana investment ni muhimu sana hata kama itakupa shilling 500 iheshimu

    Kama una 10M Yas kibubu, M.wekeza Utt amis
  13. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Nikiwa kijana nilikuwa nina hulka ya kupenda wamama wakubwa wakubwa

    maisha yanakwenda kasi sana... habarini. kimsingi umri umesogea kwa sasa ila kuna mambo nikikumbuka nastaajabu mno. at only 23 up, nilikuwa sivutiwi na wanawake slim.. nilipenda sana big size... thick thrills. kama hilo halitoshi, nilipenda akina mama watu wazima na karibu wote ni maria...
  14. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Kama kijana niliyelelewa kwenye maadili

    Nimelelewa na wazazi na kufundishwa kuwa muadilifu, mtiifu, mwenye heshima kwa mkubwa na mdogo As nimekulia kileji katika harakati za utafutaji nikaibukia town, niseme tu life ya town ni tofauti sana kwa kijana mwenye maadili na alielelewa katika kuheshimu, kuwa na haya na kutenganisha masuala...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Kijana usipeleke mwanamke/demu ghetto kwako first time asije akakufia sijui utauelezea nini Umma.

    kuna kipindi mwanangu alipataga demu akamset fresh then akampleka ghetto kufika jamaaa kaanza maneuver ghafla demu haongei kimya kazima sjui alikuwa anatatizo gani Mwanangu alipanic vibaya sana akanicheki kunielezea situation nzima ananiambia mkali nshaua huku mtoto haongei mapigo ya moyo...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Bad News: Kijana wa Sri Lanka kunyongwa Saudi Arabia kwa kumkashifu Muhammad.

    Mfanyakazi mhamiaji Mtamil kutoka Sri Lanka, Sivarasa Anojan, amehukumiwa kifo nchini Saudi Arabia kwa sababu ya maoni aliyoyaandika kwenye Facebook ambayo yalionekana kuwa ya kumdhalilisha Uislamu na Mtume Muhammad. Kesi hiyo ilianza baada ya video kusambaa nchini Sri Lanka ikimuonyesha...
  18. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kijana amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, atokomea nacho

    Kijana mkenya Walter kipkoech umri wamiaka 23, amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, kisha kukimbia nacho. Jeshi la polisi lafanikiwa kumkamata, ambapo inasemekana chanzo ni kutoka kua mwaminifu Binti huyo wa miaka kumi nana 18 mwanafunzi wa kidato cha nne. Baada ya kutekeleza shambulio hilo...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?

    Hakuna kitu wanaume tunavutiwa na kuwa na mwanamke mzuri(pisi kali), mrembo na ukamuoa akawa mke wa kupendezesha nyumba. Lakini wiki iliyopita mume aitwaye Kweka kamuua huyo dada mrembo kwa risasi na kwa hasira kisha kajisalimisha polisi. Wakuu mwenye details za huu mkasa wa kusikitisha. UPDATE...
  20. M

    JamiiForums Tanzania India: Kijana ajitupa ghorofa refu kwa stress za kushindwa kumudu malipo makubwa ya talaka huku akiwa na madeni ya matibabu ya mtoto.

    Sambhav Jain alikuwa na miaka 28 tu. Aliwahi kuwa mume, baba, na mwana ambaye alijaribu kubeba majukumu yake yote kwa nguvu zake zote.. Alisoma kwa bidi, Alijituma, Alijenga ujuzi wake hadi akawa Software Engineer, Kazi kama hiyo haiji tu na kukaa ukisubiri. Alioa mwaka 2023, na baadaye...
Back
Top Bottom