Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Kijana mkenya Walter kipkoech umri wamiaka 23, amuua mpenzi wake na kumkata kichwa, kisha kukimbia nacho.
Jeshi la polisi lafanikiwa kumkamata, ambapo inasemekana chanzo ni kutoka kua mwaminifu Binti huyo wa miaka kumi nana 18 mwanafunzi wa kidato cha nne.
Baada ya kutekeleza shambulio hilo dogo aliandika ukutani kwa damu, I LOVE YOU BUT SORRY