the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Kila binadamu anaweza kuwa na upuuzi wake mwingi kichwani. Unaweza kuwa na upuuzi wa kiwango cha juu umeubeba kichwani ila kwa kuwa haujulikani kwa watu basi unaendelea kuheshimika. Siku ukiamua kuubwaga upuuzi uliobeba kisha watu wakausikia hapo ndipo dharau zitaanza. Hata wewe hutaamini kwamba...
Mtu hakuomba mumzae, nyie starehe zenu zimemleta mtoto Duniani.
Anakula kwa shida
Analala mahali pana vumbi
Anavaa nguo used aka Mtumba.
Hapo akikutoa kafara ili aondokane na umaskini yuko sawa tu
Kampuni ya SUMAJKT GUARD hawaweki pesa kwenye mfuko wa PSSSF kwa wafanyakazi wake kila wakiulizwa wanakuwa wakali sana.
Nipo Dodoma na shida ipo kote Tanzania zima, Kanda ya Kati ila tatizo lipo kotekote Tanzania nzima. Suma JKT Guard Dodoma.
k
Anonymous
Thread
fedha
guard
jkt
psssf
sana
suma jkt
wafanyakazi
wakali
wake
Watawala wauaji na wapambe zao huwa mwisho wao ni mbaya.Hii ni kwa sababu damu hudai na pia huwa wanaviburi kiasi kwamba wanahalalisha mauaji.huu ndo muelekeo wa utawala huu ovu wa nchi yetu.haiepukiki.
Tukiendelea kuwalilia na kuwakumbuka wenzetu waliouwawa October 29,2025, tujikumbushe kidogo historia.
Hapo nchi jirani DRC yalianzia Mambo hivi hivi, dhulma, utekaji na mauaji wakati huo Kuna watu Fulani, walidhani wao hawawezi kufikiwa.
Sasa ilitokea siku moja mlinzi wa karibu wa Raulent...
Unapozungumzia nchi zinazowajali raia wao kuliko zote duniani, jibu linategemea kabisa swali moja la msingi: Je, unatafuta utajiri wa mali za kifahari kwa wachache, au unatafuta mfumo wa haki na usalama kwa kila mwanadamu?
Kabla ya kukimbilia nchi za Ulaya Kaskazini, hebu tuangalie mfano wa...
Ambaye baba yake alipoteza maisha siku kama ya leo.
Ana umri wa kama miaka 4 hivi kwa sasa.
Ndugu zake hawajulikani.
Mama yake nae alifariki katika majambo haya haya na wala wote hawakuwa wahusika kwa namna yeyote ile.
Kila ninapopita kwenye kile ki ''short kati'' na kumuona roho yangu...
Habari ya kuyimuka Wadau,
Humu ndani ya jukwaa mwanzoni tulikuwa na mijadala mizuri na yenye tija Kwa nchi yetu kwasasa haionekani.
Kuna changamoto nyingi kwenye maneo ya miundo mbinu yetu hasa Barabara. Barabara zetu nyingi ni mbovu zina mashimo yayosababisha uharibifu WA magari na wakati...
Kuna taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii iliyotolewa Oktoba 26, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia ikijulisha umma kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026...
Kwa heshima na taadhima ya JF haipaswi kutaja watu humu
Ila uchawa ni choice.
Na vitu unavyopaswa kuvifanya ili udumu katika fani ya uchawa ni KUPIGA CHINI UTASHI WAKO, KUPIGA CHINI UTU WAKO NA KUKUBALI KUWA MTUMWA.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, ameanza mgomo wa kula kuanzia Oktoba 26, 2026, huku chama hicho kikilalamikia kuzuiwa kwa mawakili wake kumwona gerezani.
Hatua hiyo inafuatia taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Dk...
Mpendwa wetu Tundu Lissu ametangaza mgomo wa kula na kunywa kushinikiza kutimizwa haki zake kama zilivyoamriwa na mahakama.
Sasa jeshi la Magereza Tanzania wameendelea kumnyima haki ya kuongea kwa faragha na mawakili wake.
Hivyo basi nami kwa kutambua kwamba mtetezi wa wanyonge anapita kwenye...
Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti .
Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo
Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu
Mod usiunganishe uzi
We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels, meaning...
Ndugu zangu Watanzania,
Kama wewe ni Mzalendo wa kweli wa Taifa hili na unayependa Amani na usalama wa Taifa hili kwa Tanzania bora ya leo na kesho basi hupaswi hata kidogo hata chembe kuwa na huruma na Lissu.
Hakuna Mtanzania Anapaswa hata kupoteza muda kumuombea Lissu. Hii ni Kwa kuwa mtu...
Sasa hivi mmesahau. Match ya pili tukija wachapa mtaanza kutoa milio chief Mangungu andoke. Je kwa sasa aendelee au bado yupo yupo kwanza?
Tuambiane mapema nyie mikia. Maana yeye ndo huwa mnamwangushia Jumba bovu. Maana kwa sasa tumewapumzisha naye baada ya kuwaachia mpate ushindi hii match moja.
hivyo
ila
ili
inawezekana
katika
kiwanja
kununua
kusema
mashetani
mtaa
mtu
nataka
shetani
siku
upimaji
upimaji wa viwanja
ushetani
viwanja
wake
wamarekani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.