Pakome JF-Expert Member Joined Dec 8, 2024 Posts 1,651 Reaction score 1,129 Oct 25, 2026 #1 20/10/2026 Yoweri Museveni wa Uganda alimpa mjukuu wake Ruhamya Kainerugaba mwana wa Jenerali Muhoozi cheo cha Luteni wa Pili
20/10/2026 Yoweri Museveni wa Uganda alimpa mjukuu wake Ruhamya Kainerugaba mwana wa Jenerali Muhoozi cheo cha Luteni wa Pili
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 7,885 Reaction score 18,636 Oct 25, 2026 #2 Inawezekana mjukuu akawa na utulivu wa akili kuliko Baba yake. Wengine wangesema "Mjukuu ana akili kuliko Baba yake"
Inawezekana mjukuu akawa na utulivu wa akili kuliko Baba yake. Wengine wangesema "Mjukuu ana akili kuliko Baba yake"
Dallas green JF-Expert Member Joined Nov 17, 2019 Posts 1,821 Reaction score 3,625 Oct 25, 2026 #3 Nashindwa kuelewa yan mambo ya uganda